-
DuniaMufti wa Uganda ataka kupigwa marufuku TikTok nchini humo
Mufti wa Uganda, Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje, ametoa mwito kwa serikali kuu kupiga marufuku programu ya mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo, ambayo anasisitiza kuwa inatumiwa na watu…
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivi katika maingiliano na watu
Ingilianeni na watu kwa namna ambayo mkifa wakulilieni, na mkiwa hai (na ikawa hawajakuoneni kwa muda) wawe na shauku ya kukuoneni.
-
Kiongozi wa mapinduzi katika mkutano wake na pamoja maafisa wa serikali na mabalozi wa nchi za kiislamu alisisitiza kuwa:
DuniaUmoja katika ulimwengu wa kiislamu ndiyo njia pekee ya kusimama dhidi ya uonevu unaofanywa na dola kubwa
Kwa mujibu wa shirika la habari la Hawza, kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, asubuhi ya leo hii, alipokutana na maafisa wa serikali, pamoja mabalozi wa nchi za kiislamu na wakiwepo na baadhi…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika hotuba ya swala ya Eid:
DuniaIkiwa Marekani na utawala wa Kizayuni watafanya uovu, hakika watapokea pigo kali/ kama wanataka kuzusha fitna ndani ya nchi, jibu kali litafuata
Hawza: Swala ya Eid al-Fitr leo asubuhi imeswaliwa kwa hali ya kipekee na kwa hamasa kubwa katika maeneo yote ya nchi, ambapo waumini wa Kiislamu walikusanyika kwa wingi kuadhimisha siku hii…
-
Raisi wa Shura ya Ulama wa kishia Pakistan:
DuniaEid al-Fitr ni kielelezo cha umoja na mshikamano kwa umma wa kiislamu
Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwa mnasaba wa Eid al-Fitr, ameeleza kuwa siku hii siyo tu alama ya furaha na shangwe, bali pia ni fursa ya kudhihirisha…
-
Hadithi ya leo:
DiniLipe uzito suala la haki za watu
Mwenye kula mali ya nduguye kwa dhulma na asimrudishie mwenyewe, basi chakula chake Siku ya Kiyama ni miali ya moto.
-
HawzaUjumbe wa Ayatollah Al-Udhma Bashir Najafi kwa Watoto na Walimu wa Shule ya Qur’ani
Hawza: Hadhrat Ayatollah Al-Udhma Haj Hafidh Bashir Hussein Najafi katika Markaz yake Najaf, alipokea kundi la wageni wakiwemo walimu na watoto kutoka bara ndogo la Hindi waliokuwa wakisoma katika…
-
DiniWosia wa kiroho wa Ayatollah Kishmiri kabla ya kulala
Hawza; Ayatollah Kishmiri usingizi anauona ni kama vile ndugu wa mauti, na anahusia mtu achukue udhu kabla ya kulala, alale akiwa ameelekea Qibla, na asome Ayat Kursii, Tasbihi za bibi Zahra…
-
DuniaVisa za wanafunzi 300 wanaoipinga Israel katika vyuo vikuu vya Marekani zafutwa
Marekani imefuta visa za wanafunzi wa kigeni 300 kwa sababu ya kushiriki maandamano ya kuunga mkono Palestina katika vyuo vikuu vya nchi hiyo.
-
DuniaNchini Iran, siku ya jumatatu ndio itakuwa Sikukuu ya Idd-al-Fitr
Mjumbe wa kamati ya uchunguzi wa mwandamo wa mwezi katika ofisi ya kiongozi wa mapinduzi amesema kuwa: Kwa mujibu wa utabiri ulio tolewa na wataalamu, jumatatu itakuwa sikukuu ya Idd-al-Fitr.…
-
HawzaMwakilishi wa Ayatollah Udhma Sistani akutana na Ayatollah Udhma Nouri Hamedani
Mwakilishi wa Ayatollah Udhma Sistani amekutana na kufanya mazungumzo pamoja na Ayatollah Udhma Nouri Hamedani.
-
DuniaMatembezi ya Siku ya kimataifa ya Quds nchini Niger
Sambamba na Siku ya Kimataifa ya Quds, Waislamu waliokuwa wamefunga nchini Niger, katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, walishiriki kwenye matembezi hayo ili kuonyesha mshikamano…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 29
Ee Mwenyezi Mungu! Nifunike katika mwezi huu kwa rehema, Uniruzuku uongofu na kulinda na machafu, Utahirishe moyo wangu usiingiwe na giza la shaka Ewe Mrehemevu wa waja wako walio wema.
-
Hadithi ya leo:
DiniUsicheleweshe kulipa ujira wa kibarua
Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.
-
DuniaKatika maadhimisho ya Siku ya Quds Indonesia na Malaysia; Mahathir miongoni mwa waandamanaji
Waislamu na watetezi wa haki duniani katika nchi za Indonesia na Malaysia wameshiriki kwa maelfu katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanayofanyika katika Ijumaa ya mwisho…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 28
Ee Mwenyezi Mungu! Niongezee fungu langu la mwezi huu kutokamana na nyongeza, unikirimu katika mwezi huu niyakinishe maombi. Njia zangu za kukufikia ziwe karibu miongoni mwa njia.
-
Hukumu za Kisheria:
DiniUnunuzi na uuzaji Noti
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi alijibu swali kuhusu "Ununuzi na uuzaji wa Noti".
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika ujumbe wa televisheni alisisitiza kuwa:
DuniaMatembezi ya mwaka huu ni miongoni mwa matembezi bora zaidi, yaliyo na heshima na utukufu zaidi kuliko matembezi mengine yaliyowahi kufanyika katika Siku ya Quds
Hawaza: Kiongozi wa Mapinduzi ya kiislamu, Hadhrat Ayatollah Khamenei, alisisitiza katika ujumbe wake wa televisheni usiku huu kuwa, matembezi ya mwaka huu ya Siku ya Quds ni muhimu zaidi kuliko…
-
DuniaWatu wa Jammu na Kishmiri wahudhuria kwa wingi katika matembezi adhimu ya siku ya Qudsi
Maelfu ya waumini wa Jammu na Kashmir walihudhuria kwa wingi katika matembezi makubwa ya siku ya Quds, huku wakipiga mayowe yaliyo ashiria "Kifo kwa Israeli" na "Uhuru kwa Palestina", kuonyesha…
-
DuniaMatembezi makubwa ya Siku ya Quds yafanyika katika Mji wa Islamabad Pakistan
Shura ya Ulamaa wa Kishia na Shirika la wanafunzi wa Jafariya Islamabad Pakistan waliongoza maandamano makubwa baada ya Swala ya Ijumaa, yakilenga kupinga uvamizi haramu wa Qibla cha kwanza…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 27
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu fadhila za usiku wa Laylatul Qadri, Uyageuze mambo yangu yaliyo mazito ili yawe mepesi. Uzikubali nyudhuru zangu, Uniepushe (na Unifutie) madhambi…
-
Katuni:
DuniaMvua ya makombora kutoka katika utawala wa kizayuni inawanyeshea wakimbizi wa Ghaza
Makombora ya utawala wa kizayuni yanaendelea kuwamiminikia wakimbizi wa Palestina walio na njaa katika ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Shura ya maulama wa kishi’a Pakistan:
DuniaKelele za Uhuru wa Quds nchini Pakistan ni umoja wa taifa katika kuunga mkono Palestina
Hujat al-Islam walmuslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika tamko lake, alisisitiza umuhimu wa siku ya Quds na aliwaomba watu wa Pakistan kushiriki kwa wingi Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani…
-
Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi:
HawzaViongozi na Wakuu wa Kiislamu wanapaswa kusimama dhidi ya uhalifu wa Wazayuni /wito wa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Quds
Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi aliwaambia Waislamu washiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Quds, aliweka wazi kuwa: Viongozi na marais wa nchi za kiislamu wanapaswa kuwa na azma thabiti…
-
DuniaMwanazuoni wa Kidini wa kihindi: Siri ya Maendeleo ya Binadamu imejificha katika Qur'ani tukufu
Hujjat-ul-Islam Sayyid Shahwar Naqvi Amrohwi, katika hotuba aliyotoa kwenye Msikiti mkuu wa Shia Mirza Quli Khan nchini India, alieleza kuwa siri ya maendeleo na ustawi wa binadamu iko katika…
-
Ayatollah Udhmah Nouri Hamadan:
HawzaSiku ya Quds ni siku ya kutangaza mshikamano wa waislamu dhidi ya uhalifu unaofanywa na utawala wa kizayuni
Ayatollah Nouri Hamadani katika ujumbe wake kuhusu Siku ya Quds aliiomba jamii ya waislamu duniani kuonyesha mshikamano wao na umoja dhidi ya uhalifu unaofanywa na utawala wa kinyama wa Kizayuni…
-
J'amiatul-Mudarisn katika tamko lao kuelekea kuadhimisha ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesema:
HawzaSiku ya Quds, ni siku ya kuufufua umma wa Kiislamu na kuonyesha nguvu ya umma mmoja
Watu wa Palestina waliokandamizwa kwa ajili ya uhuru wa Quds tukufu na ardhi zao za asili, wamepigania kwa umaskini na upweke kwa miaka mingi, na leo hii licha ya usaliti na kukosa ushirika kutoka…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 25
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe mwenye kuwapenda watu wako (uwapendao) na unijaalie niwe mwenye kutenda Sunna za Mtume wako wa mwisho (Muhammad (s.a.w.)). Ewe Mwenye kuzitakasa…
-
HawzaAmirul-Muminin Ali (a.s) ni Qur'ani inayozungumza na ni mithili wa elimu ya Kimungu
Ayatollah Ulama alisema: "Imam Ali (a.s) mwenyewe alisema: 'Mimi ni Qur'ani inayozungumza," ambapo inamaanisha kwamba yeye ni Qur'ani inayosema kwa sauti, yeye ni mfano wa elimu ya Kimungu na…
-
DuniaUlamaa wa Yemen wamesisitiza kuhamasisha umma kukabiliana na mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza
Taasisi ya Ulamaa wa Yemen imesema: "Katika kukabiliana na kuvunjwa kwa makubaliano na adui Muisraeli na uvunjwaji wa masharti ya mkataba, kutokana na kuanza tena vita vya uharibifu na kutekeleza…