Dini
لیستی صفحه سرویس
-
Video Kamili | Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi Yaongozwa na Mwanawe wa Kwanza
Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi imeongozwa na mwanawe wa kwanza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Mustafa Husseini Khamenei, na kufanyika katika Haram Tukufu ya Imam…
-
Video | Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as)
Mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, baada kusubiriwa na umati mkubwa wa wananchi wa Mashhad kwa mda mrefu, hatimae umeingia katika njia ya Imam Ridha na kuelekea kwenye…
-
Video | Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Barabarani na Wapokelewa kwa Heshima Kubwa na Umati waWaombolezaji
Hawza/ Mji mtukufu wa Mashhad umeshuhudia mandhari ya kipekee ya huzuni na uaminifu, baada ya umati mkubwa wa waombolezaji kujitokeza kuupokea mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ulipowasil…
-
Video| wakati mwili mtakatifu wa kiongozi aliyedhulumiwa, Shahid wa Mapinduzi Ulipokuwa Ukitolewa Katika Ndege
Hawza/ Video hii inaonesha moja ya nyakati zenye hisia na huzuni kubwa wakati mwili mtakatifu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, aliyedhulumiwa, ulipokuwa ukitolewa ndani ya ndege baada ya kuwasili…
-
Video | Sheikh Ibrahim Zakzaky Awasili Mashhad Kushiriki Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Iran
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amewasili muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashhad, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa…
-
Video | Ndege za kivita za jeshi zikiambatana na ndege iliyobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Video inayoonesha ndege za kivita za jeshi la Iran, zikiambatana na ndege inayobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu na mashahidi wa familia yake, muda mfupi kabla…
-
Video | Mazishi ya kishujaa na ya heshima ya mwili wa kiongozi shahidi wa umma ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as)
Dakika za kishujaa na za heshima wakati wa mazishi ya kiongozi shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamia ndani ya haram takatifu na yenye nuru ya Imam Hussein (as). 18/04/1405 H.S sawa na July 9 2026.
-
Video | Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki ukiingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) ukiwa umebebwa na waombolezaji
Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki uliingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) huku ukiwa umebebwa na waombolezaji.
-
Video | Muonekano wa umati mkubwa wa watu katika mazishi ya kiongozi wa umma huko Karbala
Umati mkubwa wa waombolezaji huko Karbala ulikuwa ukisubiri kwa masaa mengi katika hali ya joto ili kushuhudia kuwasili kwa jeneza la kiongozi shahidi katika eneo la Bayna al-Haramayn,Karbalaa.
-
Video| Wakati jeneza la kiongozi shahidi linaingizwa ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as) likiwa limebebwa na waombolezaji
Baada ya masaa mengi ya matembezi ya usindikizaji katika mji mtukufu wa Karbala, mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki ulizungushwa ndani ya haram ya Imam Hussein (as) huku…
-
Video | Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi
Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi katika mitaa ya Karbala.
-
Video| Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika mazishi ya kiongozi shahidi wa mapinduzi ndani ya haram takatifu ya Imam Ali (as)
Mazishi makubwa na ya heshima ya kiongozi shahidi wa umma yamefanyika kwa kuhudhuriwa na wanazuoni pamoja na wananchi wa Iraq ndani ya haram ya Amir al-Mu'minin Ali (as).

