Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika mazishi ya kiongozi shahidi wa mapinduzi ndani ya haram takatifu ya Imam Ali (as)
Video| Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika mazishi ya kiongozi shahidi wa mapinduzi ndani ya haram takatifu ya Imam Ali (as)
Mazishi makubwa na ya heshima ya kiongozi shahidi wa umma yamefanyika kwa kuhudhuriwa na wanazuoni pamoja na wananchi wa Iraq ndani ya haram ya Amir al-Mu'minin Ali (as).
Maoni yako