hawza (478)
-
Msomi wa Dini kutoka India:
DuniaKarbala ni ufunuo wa milele wa ukweli katika kioo cha fasihi na utu
Hawza/ Hujjat al-Islam Sayyid Abbas B'aqeri, katika hotuba yake, akiwa amesisitiza nafasi isiyoweza kulinganishwa ya Ashura katika dhamiri ya kibinadamu na historia ya fasihi, amesema kuwa Karbala…
-
Mkurugenzi wa Ofisi ya Ayatollah al-‘Uzma Hafidh Bashir Najafi:
DuniaKuhuisha alama za Husseini ni jukumu la kidini na njia ya kuelekea kwenye kujikurubisha na Mwenyezi Mungu
Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sheikh Ali Najafi, katika hotuba yake huku akisisitiza upande wa islah (urekebishaji) wa harakati ya Imam Husayn (as), amekitambua kisimamo hicho kuwa ni mfano…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Imamiyya Bangladesh:
DuniaNjama za kijinga za Uzayuni wa Kimataifa ni dalili ya udhaifu na kukata tamaa kwao
Hawza/ Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Imamiyya Bangladesh amesema: Njama za kijinga za Uzayuni wa kimataifa si tu ni ishara ya udhaifu na kukata tamaa, bali pia ni dalili ya athari ya kina ya…
-
HawzaZaidi ya mafakihi na walimu 400 wa Hawza ya Qom waiunga mkono kikamilifu fatwa ya kihistoria ya maraaji’ wa taqlid
Hawza/ Zaidi ya watu 400 miongoni mwao ni mafakihi na walimu wanachama wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom "J'amiat Mudarisin" wametangaza uungaji mkono wao wa wazi na wa dhati kwa fatwa ya…
-
DuniaHizbullah ya Lebanon yalaani mauaji ya Sheikh Rasoul Shahhoud katika viunga vya Homs
Hawza/ Hizbullah ya Lebanon, katika tamko lake, imelaani jinai ya kikatili ya kulengwa mwanazuoni mashuhuri Sheikh Rasoul Shahhoud katika viunga vya Homs.
-
Ayatollah A'rafi:
HawzaLengo la juu kabisa la kuwa faqihi katika dini ni kuwaonya watu / Uhusiano wa kina kati ya muqawama wa taifa la Iran na harakati ya damu ya Ashura
Hawza/ Mkurugenzi wa vyuo vya kidini (hawza) Irani amebainisha kuwa: Katika hali ya hatari ya sasa ambapo maadui wameushambulia kwa nguvu zote na kila upande mfumo mtukufu wa Jamhuri ya Kiislamu…
-
DuniaJozef Borrell amesema nini kuhusu madai ya Netanyahu?
Hawza/ Jozef Borrell, mmoja wa wanasiasa wa Umoja wa Ulaya, alijibu ombi la Trump la kudai kuwa anastahiki kupokea Tuzo ya Amani ya Nobel.
-
DuniaMwanazuoni maarufu wa Kargil, India: Karbala ni somo la kusimama imara na uhuru kwa ajili ya historia yote
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Muhammad Rizwi, katika hotuba yake kuhusu ujumbe wa Ashura, aliielezea kuwa, Karbala kuwa ni chuo cha milele cha kusimama dhidi ya dhulma na ukandamizaji, na kusisitiza…
-
DuniaRadi amali ya Al-Azhar kuhusu safari ya “Maimamu wa jamaa katika misikiti ya Ulaya” kwenda Israel
Hawza/ Al-Azhar ya Misri imelitaja kundi la watu waliokwenda hivi karibuni Israel na kujieleza kuwa “Maimamu wa jamaa katika misikiti ya Ulaya” kuwa ni “kundi lililopotoka,” na kuilaani vikali…
-
DuniaMwanaharakati wa kisiasa wa Bahrain akamatwa
Hawza/ Mamlaka za Bahrain zimemkamata kijana mmoja kwa sababu ya kuchapisha maoni ya kuiunga mkono Iran kwenye mtandao wa Instagram, hatua hii imechukuliwa kama sehemu ya sera za kuendeleza ukandamiza…
-
Ayatollah Rajabiy asema:
HawzaKukubali mazungumzo na adui ni kutokuamini ahadi za Mwenyezi Mungu
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Imam Khomeini (rah) amesema: Kukubali kufanya mazungumzo na adui ni ushahidi wa wazi wa kutokuamini ahadi ya nusura ya Mwenyezi Mungu na kutokujua kwa hakika njama za…
-
DuniaWanafunzi wa Yemeni waanza mwaka mpya wa masomo kwa maandamano ya kuiunga mkono Ghaza
Hawza/ Wanafunzi wa Yemeni hufanya maandamano kila wiki kwa namna ya kishujaa kulaani kimya cha jumuiya ya kimataifa mbele ya mateso ya watu wa Ghaza.
-
DuniaKufanyika kwa maandamano ya kulaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Sheikh Shahoud huko Homs, Syria
Hawza/ Wanaharakati wa Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria wamerekodi maandamano katika vitongoji vya Homs yaliyoandaliwa kulaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Sheikh Rasul Shahoud,…
-
Ayatollah A’rafi katika kulaani mauaji ya Maulamaa wa Kishia nchini Syria:
HawzaTaasis za kimataifa zilaani mauaji ya maulamaa wa Kishia nchini Syria / Wahalifu na waungaji mkono wa jinai hii katika kanda hii wanapaswa kuhojiwa
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza Iran amesema kwa kusisitiza: Mimi binafsi naziomba taasisi zote za kimataifa, hasa Umoja wa Mataifa, Baraza la Haki za Binadamu, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu,…
-
DuniaKiongozi wa Harakati ya Minhaj-ul-Qur’an ya Pakistan: Mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as) ni sehemu isiyoepukika ya imani kwa mujibu wa Mtume Mtukufu (saw)
Hawza/ Katika kipindi cha kukaribia siku za maombolezo ya Muharram, mkutano wa “Ujumbe wa Imam Hussein (as) na Umoja wa Umma” ulifanyika katika mji wa Lahore, Pakistan kwa ushiriki mkubwa wa…
-
Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi:
HawzaHaki za binadamu zinazodaiwa na Magharibi maana yake ni jinai na kuua maelfu ya wanawake na watoto
Hawaza/ Mtukufu Ayatollah Makarim Shirazi amesisitiza kuwa: Haki za binadamu zinazodaiwa na Magharibi ni dhana isiyo na maana wala maudhui ya kweli, wao hawana imani na heshima ya mwanadamu wala…
-
HawzaUmuhimu wa kutambua nyakati kwa mtazamo wa Sheikh Ibrahim Zakzaky
Hawzah/ Ayatollah Sheikh Ibrahim Zakzaky amesema: “Hata kama chaguo la mwisho katika njia ya muqawama ni kufa kishahidi, bado hiyo ni furaha kubwa zaidi, kama alivyochagua Imam Hussein (as) katika…
-
Maulamaa wakubwa na mamufti wa nchi za kiislamu watoa wito:
DuniaMahakama ya kimataifa iwahukumu Trump na Netanyahu kama wanaoupiga vita uislamu na waharibifu duniani / Mwamko wa kumuunga mkono kiongozi Ayatollah al-udhma Imam Khamenei
Hawzah/ Maulamaa wakubwa, mumuft, wanazuoni na viongozi wa nchi za Kiislamu, huku wakitegemea aya za wazi za Qur’ani Tukufu, Sunna za Mtume Mtukufu (saw), misingi thabiti ya fiqhi ya Kiislamu…
-
DuniaSerikali ya Ufaransa Yaendelea Kuchochea Moto wa Chuki Dhidi ya Uislamu
Hawzah/ Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa, katika kipindi cha miezi mitano ya kwanza ya mwaka 2025, kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la matukio ya chuki dhidi…
-
DuniaRais wa Brazil aitaka Jumuiya ya kimataifa iiunge mkono Palestina
Hawzah/ Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva, ametoa wito kwa serikali duniani kuchukua hatua madhubuti na ya pamoja dhidi ya Israel, akisema kuwa dunia haiwezi kukaa kimya mbele ya mauaji…
-
DuniaWaislamu wa Uingereza hawajihisi kuwa na amani!
Hawzah/ Kwa Waislamu wengi, wakiwemo Waislamu wa Uingereza, tukio la kulipuliwa mabomu tarehe 7 Julai mwaka 2005 linawakumbusha kumbukumbu za majonzi makubwa, na hadi leo linazidi kuwachochea…
-
DuniaMkusanyiko wa wananchi Lisbon kwa ajili ya kuiunga mkono Palestina na amani mashariki ya kati
Hawza/ Maandamano makubwa yalifanyika katika mji mkuu wa Ureno, Lisbon yakiwa na lengo la kupinga mauaji ya halaiki yanayoendelea katika Ukanda wa Ghaza na kwa ajili ya kuwatetea wananchi wa…
-
DuniaMaombolezo yaliyofana ya Ashur'a yafanyika nchini India; Muungano wa Moyo na Karbala na Viongozi wa Mwamko wa Kiislamu
Hawza/ Siku ya Ashur'a, wananchi wa India katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo waliendesha maombolezo ya Imam Hussein (as) na kwa kubeba bendera za Husein pamoja na picha za viongozi wa kidini…
-
DuniaMchambuzi wa Kisiasa wa Iraq: Iran Imeshinda na Imesambaratisha Mpango mypa wa "Mashariki ya Kati"
Hawza/ Ibrahim al-Sirraj, mchambuzi wa kisiasa wa Iraq, anaamini kuwa Iran imeshinda dhidi ya utawala wa Kizayuni na Marekani, na imefanikiwa kusambaratisha mradi mpya wa "Mashariki ya Kati"…
-
DuniaWaislamu wa Georgia wakiwa wamebeba picha za Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, wametangaza mshikamano wao na Taifa la Iran
Hawza/ Imamu wa jamaa wa Msikiti wa Imam Ali (as) wa Marneuli, katika maandamano ya siku ya Tasu'a na Ashur'a ya Husein (as) ya Waislamu wa Kishia wa Georgia alisisitiza kuwa: Waislamu wa nchi…
-
DuniaRaisi wa Muungano wa Umoja wa India: Imam Khamenei si kiongozi wa Iran pekee, bali ni kiongozi wa Waislamu wote duniani
Hawza/ Salman Nadwi amesema: Imam Khamenei si Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pekee, bali ulimwengu mzima wa Kiislamu na mataifa yote ya Kiislamu yameamua kwamba yeye ni kiongozi…
-
HawzaTaarifa ya Walimu 102 wa Masomo ya wazi na Masomo ya Kiwango cha Juu wa Hawza ya Qom, kwa ajili ya kumuunga mkono Imam Khamenei
Hawza/ Kundi la walimu wa masomo ya wazi na ngazi za juu katika Hawza ya Qom wametangaza kwamba: Kwa kufuata na kuiga Marjaa wakubwa wa Taqlid na walimu wetu mashuhuri, tunatangaza kuwa tutalijibu…
-
DuniaMatembezi ya Ashura mwaka huu Arusha yavunja rekodi
Hawza/ Jiji la Arusha yamefanyika matembezi yaliyo fana mwaka huu, matembezi ambayo hayajawahi tokea katika miaka iliyopita.
-
DuniaLushoto Tanga Tanzania, wafanya matembezi ya Ashura yaliyo fana mwaka huu
Hawza/ Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wamefanya matembezi ya ashura yaliyofana kupita kiasi mwaka huu.
-
DuniaHivi ndivyo walivyo adhimisha matembezi ya Ashura mwaka huu mkoani Singida Tanzania
Hawza/ Mamia ya wafuasi wa madhehemu ya Ahlulbayt wamemiminika barabarani kwa ajili ya kuadhimisha maombolezo ya kuwawa Imam Husein (as) mkoani Singida Tanzania