Akili Mnemba (AI) ni moja ya maendeleo makubwa ya kiteknolojia katika zama za kisasa na inatumiwa katika maeneo mengi, ikiwemo kuchakata maandiko ya kidini.
Ghaibu ya Imam ni wakati wa mtihani kwa Waumini. Lakini imani kwa Imam al-Mahdi ni wa lazima sana kwa ukombozi.