Hawzah/ Mtume Mtukufu wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) katika riwaya moja ameeleza kuhusu fadhila na ubora wa kuswali jamaa ikilinganishwa na kuswali mtu peke yake.
Hawzah/ Ayatullah Shahidi Sayyid Ali Khamenei amejibu swali la kisheria kuhusu “kupokea posho ya masomo na msaada wa kifedha pasi na kuzingatia ratiba ya masomo.”
Hawzah/ Mtume Mtukufu (saww), katika riwaya anaeleza kuhusiana na nafasi yake tukufu na daraja lake la juu miongoni mwa manabii na mitume wote wa Mwenyezi Mungu.
Hawza/ Imam Musa Al-Kadhim (as), katika riwaya, anaeleza kuhusu kutotosheka mwanadamu katika kuifuata dunia, pamoja na umuhimu wa kujiepusha na kushikamana nayo kupita kiasi.
Hawza/ Imam Jaafar Swa'diq (as) katika riwaya moja ameashiria fadhila na malipo makubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kumuelekea mja wake ambae anafanya amali ndogo kwa ikhlasi.