-
Maswali na Majigu:
DiniJe! Ni jinsi gani tunaweza kurekebisha tabia zinazoharibu Mtoto?
Badala ya kumuadhibu kwa kumpiga, boresha zaidi ujuzi wako wa kuongea, haijalishi tabia ya mtoto ni mbaya kiasi gani, kwa kuzungumza naye kwa upole na kumuelezea makosa yake, unaweza kumfundisha…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsiache wajibu hizi mbili kubwa za Mwenyezi Mungu
Kwa hakika kuamrisha mema na kukataza maovu ni faradhi mbili kubwa, kwazo faradhi husimamishwa.
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivi katika maingiliano na watu
Ingilianeni na watu kwa namna ambayo mkifa wakulilieni, na mkiwa hai (na ikawa hawajakuoneni kwa muda) wawe na shauku ya kukuoneni.
-
Hadithi ya leo:
DiniLipe uzito suala la haki za watu
Mwenye kula mali ya nduguye kwa dhulma na asimrudishie mwenyewe, basi chakula chake Siku ya Kiyama ni miali ya moto.
-
DiniWosia wa kiroho wa Ayatollah Kishmiri kabla ya kulala
Hawza; Ayatollah Kishmiri usingizi anauona ni kama vile ndugu wa mauti, na anahusia mtu achukue udhu kabla ya kulala, alale akiwa ameelekea Qibla, na asome Ayat Kursii, Tasbihi za bibi Zahra…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 29
Ee Mwenyezi Mungu! Nifunike katika mwezi huu kwa rehema, Uniruzuku uongofu na kulinda na machafu, Utahirishe moyo wangu usiingiwe na giza la shaka Ewe Mrehemevu wa waja wako walio wema.
-
Hadithi ya leo:
DiniUsicheleweshe kulipa ujira wa kibarua
Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 28
Ee Mwenyezi Mungu! Niongezee fungu langu la mwezi huu kutokamana na nyongeza, unikirimu katika mwezi huu niyakinishe maombi. Njia zangu za kukufikia ziwe karibu miongoni mwa njia.
-
Hukumu za Kisheria:
DiniUnunuzi na uuzaji Noti
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi alijibu swali kuhusu "Ununuzi na uuzaji wa Noti".
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 27
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu fadhila za usiku wa Laylatul Qadri, Uyageuze mambo yangu yaliyo mazito ili yawe mepesi. Uzikubali nyudhuru zangu, Uniepushe (na Unifutie) madhambi…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 25
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe mwenye kuwapenda watu wako (uwapendao) na unijaalie niwe mwenye kutenda Sunna za Mtume wako wa mwisho (Muhammad (s.a.w.)). Ewe Mwenye kuzitakasa…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 24
Ee Mwenyezi Mungu! Ninakuomba katika mwezi huu (Unijaalie niyatende) yanayokuridhisha. Na ninajilinda kwako na yanayokuudhi. Na ninakuomba kuniwafikia katika mwezi huu nikutii pasina kukuasi,…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 23
Ee Mwenyezi Mungu! Nisafishe katika mwezi huu ili nitokamane na madhambi, Unitakase na aibu (zote) Uuonjeshe moyo wangu Taqwa ya nyoyo (za wanaokuogopa) Ewe Msamehevu wa matelezo ya wenye dhambi.
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 22
Ee Mwenyezi Mungu! Nifungulie katika mwezi huu milango ya fadhila zako, na Uniteremshie katika mwezi huu baraka zako Uniwafikie katika mwezi huu niyatende yanifikishayo kwenye Radhi yako, Uniweke…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya ishirini na moja
Ee Mwenyezi Mungu! Nioneshe njia ya kuifikia Radhi yako, wala Usimpe Shetani nafasi ya kunihangaisha katika mwezi huu. Uijaalie Pepo iwe ndiyo mashukio yangu na mapumziko. Ewe Mwenye kuzitekeleza…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya ishirini
Ee Mwenyezi Mungu! Nifungulie milango ya peponi (ili niingie kwa haraka), na Unifungie milango ya moto (ili nisipate kuingia humo) Uniwafikie kuisoma Qur'ani kwa wingi sana katika mwezi huu,…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tisa
Ee Mwenyezi Mungu! Niongezee fungu langu la baraka za mwezi huu, na Unisahilishie njia ya kuyafikia mema ya mwezi huu, wala Usininyime kukubaliwa mema, Ewe Aongozaye kwenye haki iliyo wazi.
-
DiniChangamoto za Matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika Kuchakata Aya za Qur'ani
Akili Mnemba (AI) ni moja ya maendeleo makubwa ya kiteknolojia katika zama za kisasa na inatumiwa katika maeneo mengi, ikiwemo kuchakata maandiko ya kidini.
-
Hadithi ya leo:
DiniSema haki, kwani kuokoka kwako kuko katika hilo
Mche (muogope) Mwenyezi Mungu na sema haki hata kama utaangamia, kwani (kwa hakika) kuokoka kwako kuko katika hilo. Mche Mwenyezi Mungu na acha batili hata kama kuokoka kwako kuko katika hilo,…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na nane
Ee Mwenyezi Mungu! Nizindushe katika mwezi huu ili nipate baraka za masiku yake, Uninawirishe moyo wangu kwa mwangaza wa nuru zake (Nuru za mwezi huu wa Ramadhani) Uvishike viungo vyangu vyote…
-
Ayatullah Javadi Amoli:
DiniNi muda gani yatupasa kufanya Istikhara?
Ayatollah Jawadi Amuli amesema: Istikhara ni kuomba kheri, lakini ile istikhara ambayo mtu huifanya kabla ya kufikiria, kabla ya kushauriana, kabla ya kufanya tathmini, na kuamua moja kwa moja…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na saba
Ee Mwenyezi Mungu! Niongoze katika mwezi huu kwenye amali njema, Unitekelezee katika mwezi huu haja zangu na mataraji yangu, Ewe Usiyehitaji ufasiri na kuuliza (ndipo ukaifahamu haja ya mja,…
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na sita
Ee Mwenyezi Mungu! Niwafikie katika mwezi huu kwa kusikizana na watu wema, na Uniepushe katika mwezi huu kurafikiana na wabaya, Uniweke kwa Rehema yako kwenye Nyumba ya Utulivu kwa Utukufu wako…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsipuuze sauti ya wengine ya kuomba msaada
Mwenye kusikia sauti ya mwenye kuomba msaada na asiende kumsaidia, huyo sio Muislamu.
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tano
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku utiifu wa wenye kunyenyekea katika mwezi huu, na Unikunjue kifua changu katika mwezi huu kwa toba za wenye kunyenyekea kwa Amani yako ewe Amani ya wenye kuogopa.
-
Hadithi ya leo:
DiniKatu usifanye khiana katika amana
Mcheni Mwenyezi Mungu na rudisheni amana kwa yule aliyekuaminini.
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na nne
Ee Mwenyezi Mungu! Usinihukumu/kunilaumu kwa makosa, katika mwezi huu, Uniepushe na kunipunguzisha na makosa na matelezo, na wala Usinifanye lengo la balaa na maafa katika mwezi huu, Kwa Utukufu…
-
Hadithi ya leo:
DiniNi wajibu kwako kuchunga haki za kila mtu (awe Muislamu au sio Muislamu)
Kuna makundi mawili ya watu: Ama ni ndugu yako katika dini, au anayefanana na wewe katika uumbaji; kwa hali yoyote, unapaswa kuheshimu haki zao.
-
DiniDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tatu
Ee Mwenyezi Mungu! Nitakase nitokamane na taka na uchafu (mwengine), Unipe subira (ili nisubiri) katika mwezi huu juu ya matukio ya Kudira zako, Uniwafikie kwenye kukucha (kukuogopa) na kusuhubiana…
-
Hadithi ya leo:
DiniChunga (mazingira) asili
Itakapowadia Siku ya Kiyama na mmoja wenu akawa ana mche mkononi mwake, akiweza kuupanda kabla ya kusimama Kiyama, basi aupande.