Alhamisi 19 Februari 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Polisi wa Australia washambulia swala ya jamaa ya watu wanaoiunga mkono Palestina

    DuniaPolisi wa Australia washambulia swala ya jamaa ya watu wanaoiunga mkono Palestina

    Hawza/ Viongozi wa Waislamu wameeleza hasira na masikitiko yao kufuatia kitendo cha polisi wa Sydney kudharau swala ya jamaa ya Waislamu, wakati waandamanaji walipokuwa wakiswali baada ya kuandamana…

    2026-02-19 17:55
  • Je! Ukisahau nia ya kufunga, funga yako itakuwa sahihi?

    Hukumu za Kisheria

    DiniJe! Ukisahau nia ya kufunga, funga yako itakuwa sahihi?

    Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amejibu istifta (swali la kisheria) kuhusiana na mwenye “kusahau nia ya kufunga.”

    2026-02-19 17:24
  • Hatima ya wafungwa wa Kipalestina na Walebanon walioko mikononi mwa maafisa wa “Epstein”

    Kumbukumbu ya mama wa Kipalestina:

    DuniaHatima ya wafungwa wa Kipalestina na Walebanon walioko mikononi mwa maafisa wa “Epstein”

    Hawza/ “Widad al-Barghouthi”, mwandishi wa Kipalestina, aliandika katika makala yake: Maelfu ya wafungwa waliokuwa wakisubiri kuachiwa huru kupitia makubaliano ya kubadilishana wafungwa, pamoja…

    2026-02-19 02:00
  • Shinikizo na vitisho vyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kwa sababu ni nchi huru

    Hassan Fadlullah:

    DuniaShinikizo na vitisho vyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kwa sababu ni nchi huru

    Hawza/ Hasan Fadlallah, mwakilishi wa kambi ya “Uaminifu kwa Muqawama”, alionya kuhusu juhudi za adui kuwarudisha walowezi wake katika maeneo ya mipakani.

    2026-02-19 01:00
  • Mradi mkubwa zaidi wa upanuzi wa Haram ya Imamu Hussein (as) wenye ukubwa wa mita za mraba 330,000 waanza

    DuniaMradi mkubwa zaidi wa upanuzi wa Haram ya Imamu Hussein (as) wenye ukubwa wa mita za mraba 330,000 waanza

    Hawza/ Idara ya miradi ya maendeleo ya Ataba Tukufu ya Husseini imetangaza sifa za mradi wa uwanja wa Sahn Rasul A’dham (Swalla-Llahu alayhi wa Aalihi wa sallam).

    2026-02-19 00:30

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom