تیتر سه زیرسرویس
-
Wosia wa kiroho wa Ayatollah Kishmiri kabla ya kulala
Hawza; Ayatollah Kishmiri usingizi anauona ni kama vile ndugu wa mauti, na anahusia mtu achukue udhu kabla ya kulala, alale akiwa ameelekea Qibla, na asome Ayat Kursii, Tasbihi za bibi Zahra…
-
Maadili ya Kiislamu:
Hakika watu watajaribiwa
Wanadamu hawatajulikana hadi wajaribiwe. Kwa sababu ni wakati wa misiba na matatizo ndipo ukweli wa watu unadhihirika.
-
Maadili ya Kiislamu:
Ayatollah Javadi Amoli: Usitoke mahali pa swala mapema baada ya swala
Sababu iliyopelekea ikasemwa kwamba usitoke kwenye chumba cha Swala haraka / mapema baada ya Swala ni hii kwamba: Dua inajibiwa baada ya Swala ya Swala ya faradhi.
-
Maadili ya Kiislamu:
Malezi kwa Jamii yanapaswa kuzingatia Asili (Fitrah) ya Mwanadamu
Suluhisho la kwanza la kusahihisha ni kupitia Asili (Fitrah). Ni wakati ule tu ambao njia hizi hazifanyi kazi, ndipo itakapokuwa ni lazima kwa hatua zingine kuchukuliwa kama vile kuchukua hatua…
-
Maadili ya Kiislamu:
Kuheshimu Haki za majirani ni wajibu
Ayatollah Jawad A'mouli alifafanua: Mwenyezi Mungu Mtukufu amefanya kuwa ni wajibu kuheshimu Haki za majirani na yeyote asiyeheshimu Haki hizi anahusika na kauli hii: "Na wanakata yaliyoamrishwa…