-
Darsa la Akhlaq | Kiongozi shahidi wa Mapinduzi:
DiniKukumbuka kuwa dunia inaisha humwacha mwanadamu huru kutokana na kushikamana nayo kupita kiasi
Hawza/ Kiongozi shahidi wa Mapinduzi akirejelea hadithi: «لِدْ لِلْمَوْتِ وَاجْمَعْ لِلْفَنَاءِ وَابْنِ لِلْخَرَابِ», alisisitiza kwamba; kila kitu ambacho mwanadamu hukikusanya duniani hatimaye…
-
DiniUfafanuzi wa Hadithi ya Akhlaq | Subira katika mitihani, utiifu na kuacha maasi kwa mujibu wa simulizi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi
Hawza/ Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, akirejelea hadithi: «فَإِنِ اسْتَطَعْتَ أَنْ تَعْمَلَ بِالصَّبْرِ مَعَ الْیَقِینِ فَافْعَل», alifafanua maana ya subira katika nyanja tatu: mitihani, utiifu…
-
DiniDarasa la Akhla'q | Watu wenye akili zaidi kwa mtazamo wa Mtume Muhammad (saww)
Hawza/ Ayatollah Sayyid Ali Khamenei katika ufafanuzi wa Hadithi kutoka kwa Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) mwanzoni mwa darsa ya Bahthul-Kharij ya Fiqhi, aliashiria umuhimu wa kuamiliana kwa upole…
-
DiniNeno la Walii | Tawfiki ya kushukuru: Neema kubwa katika mtazamo wa Qur’ani
Hawza/ Katika sehemu hii ya maelezo, imeashiriwa maana ya ibara ya Qur’ani «أَوْزِعْنِی» ambayo ina maana ya ilhamu na tawfiki ya kivitendo kwa ajili ya kushukuru. Kushukuru neema si tu kulipa…
-
DiniRafiki Mwenye Hekima kwa Mtazamo wa Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amoli
Hawza/ Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amoli amesema: uhusiano wa kindugu kwa kiwango cha jumla si jambo baya, na ni vyema kila Mwislamu awe na uhusiano mwema na Mwislamu mwenzake; lakini inapofikia…
-
DiniKumswalia Mtume na Athari Zake Katika Kutimizwa Haja kwa Mtazamo wa Ayatullah Udhma Jawadi Amoli
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Jawadi Amoli amesema: kumswalia Mtume na thawabu zake ni miongoni mwa kheri na malipo bora na ya juu kabisa.
-
DiniHijabu ya Mwanamke ni Haki ya Mwenyezi Mungu, Haina Mafungamano na Mtu Binafsi, Mwanaume Wala Familia
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Javadi Amuli amesema: “Mwanamke anatakiwa kuelewa kikamilifu kwamba hijabu yake si jambo linalomhusu yeye peke yake hadi aseme, ‘nimeachana na haki yangu’; hijabu ya…
-
Ayatullah Al-Udhma Subhani Katika Darsa la Akhlaq:
DiniElimu Ambayo Haiwahudumii Watu ni Sawa na Ujinga/ Mashindano ya Silaha ni Alama ya Ujinga
Hawza/ Pamoja na kutetea elimu, jihadharini; elimu inayopaswa kuenea ni ile ambayo itaiokoa jamii na kuipeleka kwenye daraja la ubinadamu. Lakini elimu inayosababisha binadamu kuwaua binadamu…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
DiniWito wa kuonana na Malakuti ni heshima ya juu kabisa kwa mwanadamu/ kufunguliwa njia ya kuwa arif
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Jawadi Amuli amesisitiza: Qur’ani ni kitabu cha adabu na kinaonesha heshima kamili kwa mwanadamu. Mwenyezi Mungu anasema: (فَاتَّبِعُوا مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا),…