-
Kiongozi wa Mashia wa Bahrain:
DuniaMamilioni ya watu wako tayari kujitoa muhanga kwa ajili ya Ayatullah Khamenei
Hawza/ Kiongozi wa Mashia wa Bahrain, katika taarifa aliyotoa, amesisitiza kuwa Ayatullah Khamenei ni shakhsia iliyofikia kilele cha juu kabisa kielimu, kiroho na kisiasa; ni kiongozi ambaye…
-
DuniaAjenda ya Marekani na Wazayuni dhidi ya waandishi wa habari wa Lebanon; kuanzia kuitwa mahakamani wakurugenzi wa vyombo vya habari vinavyounga mkono Muqawama hadi kuuawa waandishi wa habari
Hawza/ Wanahabari na waandishi wa habari wa Lebanon wanaounga mkono Muqawama katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita wamekuwa chini ya shinikizo la kisiasa, kufuatiliwa kisheria bila sababu halali,…
-
DuniaMradi wa Marekani na Israel ni kuondoa uhuru na muqawama katika eneo/ Vita vyovyote dhidi ya Iran vitahusisha eneo zima
Hawza/ Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hezbollah ya Lebanon, katika mkusanyiko wa mshikamano wa Walebanon na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alisisitiza kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni…
-
DuniaViongozi wa dini wa Lebanon wawaunga mkono wananchi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Hawza/ Kikao cha mshikamano na maelewano kati viongozi wa dini wa Lebanon kilichokuwa na kaulimbiu isemayo “Taifa la Iran litavunja fitina na waanzilishi wake na kuzima malengo ya uvamizi” kilifanyika…
-
DuniaAl-Walai: Imamu Khamenei ni kielelezo cha imani katika kukabiliana na tw'aghuti
Hawza/ Katibu Mkuu wa Kata’ib Sayyid al-Shuhadaa ya Iraq, akirejelea maendeleo ya kikanda na mipangilio ya kisiasa na usalama, alizungumza kuhusu harakati hii kuiunga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaUongozi wa hekima wa Ayatollah Khamenei unahakikisha mwendelezo wa ushindi
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousawi, katika tamko lake, ameutaja uongozi wa hekima wa Mtukufu Ayatollah Khamenei kuwa ni ufunguo wa kuendelea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu—ikiwemo ushindi…
-
DuniaHarakati ya Kata’ib Hizbullah ya Iraq yatoa Wito wa kujiandaa kwa “vita vya pande zote” kwa ajili ya kuiunga mkono Iran; mauti ya kutisha yanawasubiri wavamizi
Hawza/ Harakati ya Kata’ib Hizbullah ya Iraq, katika tamko kali, imewataka “wapiganaji wote wa jihadi Mashariki na Magharibi ya dunia” kujiandaa kwa “vita vya jumla” kwa ajili ya kuiunga mkono…
-
Ayatollah A‘arafi katika kikao cha Kamati ya Maendeleo ya Utamaduni wa Mahdawiyya na Kusubiri:
HawzaFikra ya Mahdawiyya na kusubiri imejengeka ndani ya roho ya Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Utamaduni wa Mahdawiyya na Kungoja amesisitiza kwamba: Mahdawiyya na kungoja ni fikra yenye nyanja nyingi iliyojikita ndani ya roho ya Mapinduzi ya…
-
Ayatullah Khatami katika mkusanyiko mkubwa wa wanazuoni wa Hawza:
DuniaGhasia za hivi karibuni zilikuwa mapinduzi ya kijeshi dhidi ya dini na watu / Viongozi wa ghasia wanahesabiwa kifiqhi kuwa ni “maharibu”
Hawza/ Mjumbe wa mafaqihi wa Baraza la viongozi alisisitiza: Imam Khomeini (rehma za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) katika kitabu chake cha "Tahrir al-Wasilah" anaeleza wazi kwamba mtu yeyote…
-
Mkuu wa Ofisi ya Kueneza Mafundisho ya Kiislamu afafanua:
DuniaUchambuzi wa hali ya dunia: Mashariki ya Kati na nafasi ya mhimili ya Israel kwa Magharibi/ Iran yenye nguvu, kikwazo kikuu cha mamlaka ya Magharibi na mkakati wa kuivunja
Hawza/ Mkuu wa Ofisi ya kueneza Mafundisho ya Kiislamu ya Hawza ya Qom amesema: Tatizo la dunia ya ubeberu na Magharibi—yaani Marekani na Ulaya—na Iran ni tatizo la jiografia ya kisiasa (geopolitics)…
-
Ayatullah al-‘Udhma Nouri Hamadani:
DuniaKuharibu Mazingira kwa makusudi ni “haramu”
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Nouri Hamedani amesisitiza: Uharibifu wa makusudi wa mazingira ya umma husababisha kupotezwa kwa haki za binadamu, kuwadhuru wengine, kusaliti amana ya umma, kukufuru…
-
DuniaBalozi wa Vatican: Mazungumzo ya viongozi wa dini yanaweza kufungua njia mpya kuelekea amani na kuishi kwa pamoja
Hawza/ Mehdi Zare‘-Bi‘Ayb, mshauri wa masuala ya kitamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Thailand, alipotembelea Ubalozi wa Vatican mjini Bangkok alikutana na Askofu Peter B. Wells,…
-
Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlul-Bayt wa Uturuki yatoa onyo kwa mabeberu:
DuniaJaribio lolote la kuivamia heshima ya Wilaya litajibiwa kwa tufani ya hasira ya Umma wa Kiislamu
Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlul-Bayt wa Uturuki, huku ikitoa onyo kwa Marekani na Israel, imesisitiza: Jaribio lolote la kuvunja au kuvamia heshima ya Wilaya na Uongozi ni mstari mwekundu…
-
Katika mazungumzo na kiongozi wa Kituo cha Basij cha Wahadhiri, Mameneja na Wataalamu wa Hawza ya Qom, ilijadiliwa:
DuniaChanzo cha uhasama wa Marekani dhidi ya taifa la Iran
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Hussein Akbari alieleza kuwa uhasama wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa asili na una mizizi ya kina, unaotokana na upinzani wake…
-
DuniaWananchi wa Pakistan wahuisha kiaga chao cha utii kwa Ayatullah Imam Khamenei
Hawza/ Kongamano tukufu la “Safari ya Imam Hussein (a.s.) na Kuhuishwa Ahadi ya Uaminifu” lilifanyika kwa fahari kubwa katika mji wa Karachi, Pakistan, kwa ushiriki wa wanazuoni wa dini, wasomi…
-
Ayatollah A’raafi katika mkutano na wajumbe wa Taasisi ya Fikra ya Hawza:
HawzaKuitambua dunia mpya na mikondo mipya inayoibuka ni jukumu letu kuu / Hawza ni kiongozi wa fikra na mawazo ya Uislamu katika zama za sasa
Hawza/ Ayatollah A’raafi, akibainisha kuwa taasisi ya dini ina majukumu mazito sana juu yake, alisisitiza akisema: jukumu letu la kwanza na la msingi kabisa ni kuitambua dunia mpya na mikondo…
-
Katibu wa Baraza Kuu la Hawza:
DuniaKumtukana Kiongozi wa Mapinduzi ni dalili ya ukosefu wa uchambuzi na uelewa pungufu wa adui/ Watekelezaji, wahusika wa moja kwa moja na wachochezi wa ghasia ni muharibi na waasi
Hawza/ Ayatollah Shab-Zendadar, huku akisisitiza kuwa kumtukana Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni dalili ya ukosefu wa uchambuzi sahihi na uelewa pungufu wa maadui, alisema: Katika fiqhi ya Kiislamu,…
-
Ayatullah udhma Jawadi Amoli katika somo la juu la fiqhi:
HawzaMarekani na utawala wa Kizayuni hawana uwezo wa kuidhuru Iran
Hawza/ Ayatullah Jawadi Amoli, huku akiongoza dua kwa ajili ya kulindwa mfumo wa Kiislamu, alisisitiza kuwa: Marekani na utawala wa Kizayuni hawana uwezo wa kuidhuru njia hii, na kwa idhini ya…
-
HawzaMwamko na msimamo mkali wa wanazuoni wa Hawza kote nchini wakilaani kudhihakiwa Qur’ani Tukufu na vitakatifu vya Kiislamu
Hawza/ Kufuatia kudhihakiwa na kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu na vitakatifu vya Kiislamu kulikofanywa na magaidi wa Marekani na Kizayuni katika ghasia za hivi karibuni, na pia kwa ajili ya…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (62)
DiniMagharibi na Mahdawiyya (Sehemu ya Pili)
Hawza/ Vyombo vya habari ni miongoni mwa nyenzo zenye ushawishi mkubwa zaidi katika dunia ya leo; kwani mbali na kazi zao za moja kwa moja za kuwaathiri watu binafsi, pia vina uwezo wa kuathiri…
-
Katibu wa Kongamano la Kimataifa la Umanā’u r-Rusul amefanunua:
DuniaKuanzia Karbala hadi Beirut; makongamano matatu ya kielimu kwa ajili ya kuhuisha urithi wa fikra wa wanazuoni wakubwa
Hawza/ Katika kikao cha Kamati ya Kielimu ya Kongamano la Kimataifa la Umanā’u r-Rusul, dhamira ya kielimu na kimkakati ya mihimili mitatu ya mkusanyiko wa makongamano ya Umanā’u r-Rusul ilifafanuliwa…
-
Radi amali ya Ayatullah Marvi kuhusiana na uchokozi wa Trump mwenye matatizo ya akili dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi
DuniaWenye akili timamu Marekani wamfahamishwe kuwa Iran si Venezuela
Hawza/ Ayatullah Haj Sheikh Jawad Marvi, Katibu wa Pili wa Baraza Kuu la Hawza za Elimu ya Kiislamu, katika hitimisho la darsa yake ya juu (Dars Kharij) ya fiqhi, sambamba na kutoa maelezo kuhusu…
-
Katibu wa Tamasha la Ammar:
DuniaLeo kauli mbiu ya “Kifo kwa Marekani” imekuwa ya kimataifa
Hawza/ Katibu wa Tamasha la Kumi na Sita la Filamu za Wananchi la Ammar, huku akisisitiza kuenea kimataifa kwa kauli mbiu isemayo “Kifo kwa Marekani”, amesema: leo hata ndani ya Marekani yenyewe…
-
Kutokana na mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa Qamar Bani Hashim (a.s.):
DiniMtukufu Abul-Fadhl al-Abbas (a.s.) na fadhila ya kufufuliwa pamoja na Malaika
Hawza/ Fadhila ya kufufuliwa pamoja na malaika, ambayo hakuna ladha iliyo juu yake, imetajwa katika riwaya pia kwa mja mwema wa Mwenyezi Mungu, Mtukufu Abul-Fadhl al-Abbas (a.s.). Malipo ya aina…
-
Kuielekea Jamii Bora (Jamii ya Kimaadili): Tafiti za Mahdawiya (61)
DiniMagharibi na Mahdawiya (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Uhusiano uliopo kati ya kudhihiri kwa mwokozi na sifa kama vile kuenea kwa haki, kupinga dhuluma, na kadhalika, umesababisha wanadamu wa dini na itikadi zote daima kuwa na hamu na shauku…
-
DuniaRais Dkt. Mwinyi aitaka misikiti iwe kitovu cha utatuzi wa changamoto za jamii
Hawza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu kuitumia misikiti kama vituo muhimu vya majadiliano, mshikamano…
-
Ayatollah Sa‘idi:
DuniaMpango wa Marekani kwa Iran katika matukio ya hivi karibuni ulikuwa na muundo unaofanana na Venezuela
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum alisema: Katika matukio ya hivi karibuni, mpango mkuu wa Marekani ulikuwa na mfano unaofanana na ule wa Venezuela. Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliwafikishia…
-
DuniaWaziri wa Ulinzi wa Pakistan: Katika hali yeyote tutasimama imara upande wa Iran
Hawza/ Khawaja Muhammad Asif, Waziri wa Ulinzi wa Pakistan, katika kikao chake na Reza Amiri Moghaddam, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Islamabad, walijadili na kubadilishana mawazo…
-
Harakati ya Amali ya Kiislamu:
DuniaKutishia kumuua Ayatollah udhma Khamenei ni njama ya kishetani; makelele ya Trump hayadumu na hatima yake ni pipa la taka la historia
Hawza/ Harakati ya Amali ya Kiislamu ya Lebanon, kwa kulaani vikali vitisho vya Donald Trump dhidi ya Ayatollah Khamenei, ilisema hatua hiyo kuwa ni njama ya kishetani na uonevu wa Kimarekani-Kizayuni…
-
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Nchi ya Iran katika Kituo cha Vita Mseto:
DuniaMfumo wa Mahakama wa nchi ya Iran hauathiriwi na mashinikizo ya nje/ Jeuri ya hivi karibuni ya Trump ni sawa na tangazo la vita kamili
Hawza/ Mwendesha Mashtaka Mkuu wa nchi ya Iran, huku akisisitiza kuwa mfumo wa mahakama kwa vyovyote vile hauathiriwi na mashinikizo ya kigeni, alisema wazi kwamba: jeuri na matusi ya hivi karibuni…