Dini
لیستی صفحه سرویس
-
Maafisa wa Haram ya Imamu Husein (a.s) wafanya Ziara katika Ubalozi wa Vatikani ulioko Baghdad
Hawza/ Kwa ushirikiano na Ofisi ya Ushauri ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq, Idara ya Masuala ya Kitamaduni, pamoja na Bodi ya Usimamizi ya Sekretarieti ya Haram ya Imamu Husein (a.s), walifanya…
-
Kiongozi Mpya wa Kanisa Katoliki Aapishwa
Hawza/ Papa Leo wa Kumi na Nne, siku ya Jumapili baada ya kuongoza ibada yake ya kwanza takatifu, alitawazwa rasmi kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki.
-
António Guterres akosoa vikali kuhusiana na kutojali kwa jamii ya kimataifa dhidi ya mateso yasiyo na kikomo wanayo yapitia watu wa Ghaza
Hawza/ Mkutano wa thelathini na nne wa nchi kuu za Kiarabu ulianza rasmi siku ya Jumamosi huku nchi ya Iraq wakiwa ndio wenyeji wa mkutano huo, mkutano huo ulikuwa na kaulimbiu isemayo: “Majadiliano,…
-
Rais wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan: Ukombozi wa Quds ni ahadi ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Katika kumbukumbu ya siku ya kukaliwa kimabavu kwa mji mtakatifu wa Quds, Seneta Raja Nasir Abbas Jafari, katika tamko alilolitoa, amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni na…
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky aomba kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa nchini Nigeria
Hawza/ Sheikh Sayyid Ibrahim Zakzaky amekutana na baadhi ya watu waliokuwa wamefungwa kwa muda wa miaka sita lakini hatimaye wameachiwa huru baada ya kufutiwa mashtaka.
-
Raisi Mwinyi: Kipaumbele chetu kiwe ni Madrasa pamoja na kuwasaidia Masheikh na Walimu
Hawza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Waislamu, wahisani na wafadhili kuelekeza nguvu zao katika kuziimarisha Madrassa pamoja…
-
Tamasha la kimataifa la Qur'ani kufanyika nchini Tanzania
Hawza/ Tamasha la kimataifa la Qur'ani limepangwa kufanyika nchini Tanzania huku likishirikisha Taasisi nne mashuhuri nchini humo.
-
Njaa na ukame huko Ghaza ni ishara ya ukosefu wa maadili ya kibinadamu duniani
Hawza/ Mgogoro wa Ghaza ni janga la kibinadamu ambalo athari zake mbaya zinawakumba watu wa tabaka lote, lakini mzigo mkubwa zaidi unabebwa na watoto. Mzigo huu unavunja mifupa yao, kwa hakika,…
-
Hijabu nchini Nigeria yateka vyombo vya Habari
Hawza/ Bi Hamda Adenike alishindwa kushiriki katika kikao cha mtihani wa taasisi ya kielimu kwa sababu ya kuwa na hijabu.
-
Rais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan: Israeli ni utawala wa kimabavu, usio halali na ni tishio kwa amani ya dunia
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwenye mnasaba wa Siku ya Nakba (15 Mei), amelieleza utawala wa Kizayuni kuwa ni utawala wa kunyang’anya kwa nguvu…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi: Kusimama Imara Mbele ya Madhalimu Ndio Sababu ya Uadui Wao Dhidi Yetu
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tatizo kuu la mabeberu wa Magharibi ni kuwa Jamhuri ya Kiislamu inakataa utamaduni wao batili.
-
Wasanii Mashuhuri Duniani watia saini kwenye Waraka mmoja
Hawza/ Zaidi ya watu mashuhuri 350 katika ulimwengu wa sinema na nyota wa Cannes na Hollywood, wakiwemo mastaa kama Richard Gere na Susan Sarandon, wamelaani “mauaji ya halaiki” yanayoendelea…