-
DuniaTrump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la…
-
DuniaMufti wa Uganda ataka kupigwa marufuku TikTok nchini humo
Mufti wa Uganda, Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje, ametoa mwito kwa serikali kuu kupiga marufuku programu ya mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo, ambayo anasisitiza kuwa inatumiwa na watu…
-
Kiongozi wa mapinduzi katika mkutano wake na pamoja maafisa wa serikali na mabalozi wa nchi za kiislamu alisisitiza kuwa:
DuniaUmoja katika ulimwengu wa kiislamu ndiyo njia pekee ya kusimama dhidi ya uonevu unaofanywa na dola kubwa
Kwa mujibu wa shirika la habari la Hawza, kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, asubuhi ya leo hii, alipokutana na maafisa wa serikali, pamoja mabalozi wa nchi za kiislamu na wakiwepo na baadhi…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika hotuba ya swala ya Eid:
DuniaIkiwa Marekani na utawala wa Kizayuni watafanya uovu, hakika watapokea pigo kali/ kama wanataka kuzusha fitna ndani ya nchi, jibu kali litafuata
Hawza: Swala ya Eid al-Fitr leo asubuhi imeswaliwa kwa hali ya kipekee na kwa hamasa kubwa katika maeneo yote ya nchi, ambapo waumini wa Kiislamu walikusanyika kwa wingi kuadhimisha siku hii…
-
Raisi wa Shura ya Ulama wa kishia Pakistan:
DuniaEid al-Fitr ni kielelezo cha umoja na mshikamano kwa umma wa kiislamu
Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwa mnasaba wa Eid al-Fitr, ameeleza kuwa siku hii siyo tu alama ya furaha na shangwe, bali pia ni fursa ya kudhihirisha…
-
DuniaVisa za wanafunzi 300 wanaoipinga Israel katika vyuo vikuu vya Marekani zafutwa
Marekani imefuta visa za wanafunzi wa kigeni 300 kwa sababu ya kushiriki maandamano ya kuunga mkono Palestina katika vyuo vikuu vya nchi hiyo.
-
DuniaNchini Iran, siku ya jumatatu ndio itakuwa Sikukuu ya Idd-al-Fitr
Mjumbe wa kamati ya uchunguzi wa mwandamo wa mwezi katika ofisi ya kiongozi wa mapinduzi amesema kuwa: Kwa mujibu wa utabiri ulio tolewa na wataalamu, jumatatu itakuwa sikukuu ya Idd-al-Fitr.…
-
DuniaMatembezi ya Siku ya kimataifa ya Quds nchini Niger
Sambamba na Siku ya Kimataifa ya Quds, Waislamu waliokuwa wamefunga nchini Niger, katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, walishiriki kwenye matembezi hayo ili kuonyesha mshikamano…
-
DuniaKatika maadhimisho ya Siku ya Quds Indonesia na Malaysia; Mahathir miongoni mwa waandamanaji
Waislamu na watetezi wa haki duniani katika nchi za Indonesia na Malaysia wameshiriki kwa maelfu katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanayofanyika katika Ijumaa ya mwisho…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika ujumbe wa televisheni alisisitiza kuwa:
DuniaMatembezi ya mwaka huu ni miongoni mwa matembezi bora zaidi, yaliyo na heshima na utukufu zaidi kuliko matembezi mengine yaliyowahi kufanyika katika Siku ya Quds
Hawaza: Kiongozi wa Mapinduzi ya kiislamu, Hadhrat Ayatollah Khamenei, alisisitiza katika ujumbe wake wa televisheni usiku huu kuwa, matembezi ya mwaka huu ya Siku ya Quds ni muhimu zaidi kuliko…
-
DuniaWatu wa Jammu na Kishmiri wahudhuria kwa wingi katika matembezi adhimu ya siku ya Qudsi
Maelfu ya waumini wa Jammu na Kashmir walihudhuria kwa wingi katika matembezi makubwa ya siku ya Quds, huku wakipiga mayowe yaliyo ashiria "Kifo kwa Israeli" na "Uhuru kwa Palestina", kuonyesha…
-
DuniaMatembezi makubwa ya Siku ya Quds yafanyika katika Mji wa Islamabad Pakistan
Shura ya Ulamaa wa Kishia na Shirika la wanafunzi wa Jafariya Islamabad Pakistan waliongoza maandamano makubwa baada ya Swala ya Ijumaa, yakilenga kupinga uvamizi haramu wa Qibla cha kwanza…
-
Katuni:
DuniaMvua ya makombora kutoka katika utawala wa kizayuni inawanyeshea wakimbizi wa Ghaza
Makombora ya utawala wa kizayuni yanaendelea kuwamiminikia wakimbizi wa Palestina walio na njaa katika ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Shura ya maulama wa kishi’a Pakistan:
DuniaKelele za Uhuru wa Quds nchini Pakistan ni umoja wa taifa katika kuunga mkono Palestina
Hujat al-Islam walmuslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika tamko lake, alisisitiza umuhimu wa siku ya Quds na aliwaomba watu wa Pakistan kushiriki kwa wingi Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani…
-
DuniaMwanazuoni wa Kidini wa kihindi: Siri ya Maendeleo ya Binadamu imejificha katika Qur'ani tukufu
Hujjat-ul-Islam Sayyid Shahwar Naqvi Amrohwi, katika hotuba aliyotoa kwenye Msikiti mkuu wa Shia Mirza Quli Khan nchini India, alieleza kuwa siri ya maendeleo na ustawi wa binadamu iko katika…
-
DuniaUlamaa wa Yemen wamesisitiza kuhamasisha umma kukabiliana na mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza
Taasisi ya Ulamaa wa Yemen imesema: "Katika kukabiliana na kuvunjwa kwa makubaliano na adui Muisraeli na uvunjwaji wa masharti ya mkataba, kutokana na kuanza tena vita vya uharibifu na kutekeleza…
-
DuniaHaram tukufu ya Imaam Ali (a.s) imetangaza mahudhurio ya zaidi ya wageni milioni 6 katika tukio la kumbukumbu ya shahada ya Amirul Mu’minin (AS)
Mkuu wa Haram tukufu ya Ahlul Bayt alitangaza kwamba zaidi ya wageni milioni 6.3 waliingia katika mkoa wa Najaf Ashraf kwa ajili ya ziara ya Haram ya Hadhrat Amirul Mu’minin Imam Ali bin Abi…
-
DuniaSiku ya Kimataifa ya Quds ni fursa ya Umma kufungamana na Palestina
Siku ya Kimataifa ya Quds ni fursa ya kuonyesha msaada wa umma kwa taifa la Palestina na ukombozi wa al-Quds, amesema afisa mwandamizi nchini Iran.
-
Mtafakuri wa ahalu sunna:
DuniaMafundisho ya Imam Ali (a.s) Ni Njia ya Ukombozi kwa Umma wa Kiislamu
Dkt. Muhammad Tahir al-Qadri, katika hotuba yake aliyoitoa kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya shahada ya Imam Ali (a.s), alielezea tukio hili kuwa ni janga kubwa katika historia ya Uislamu.
-
DuniaMaandamano Makubwa ya Wapakistani kwa ajili ya kuwahami wapalestina
Kundi la Eslami ya Multan, liliandaa maandamano makubwa kwa ajili ya kuwahami watu wa Palestina, huku ilikemea vikali uhalifu unaofanywa na Israel huko Gaza.
-
DuniaKudhihirisha Upendo wa Wapakistani kwa Imam Ali (a.s)
Nchini Pakistan; Kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kifo cha Imam Ali (a.s), miji ya nchi hiyo iligubikwa na hali ya majonzi. Makundi maalum ya kuomboleza yaliyo andaliwa kwa heshima maalum…
-
DuniaAyatullah Khamenei: Ikiwa Marekani itafanya ukhabithi dhidi ya taifa la Iran, itazabwa kofi kali
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.
-
DuniaMawakibu zinaomboleza kumbukumbu ya kifo cha Imamu Ali (a.s) mbele ya malalo yake takatifu
Mji wa Najafu-Ashrafu umeshuhudia mawakibu za waombolezaji katika malalo ya Imamu Ali bun Abu Twalib (a.s) zikiomboleza kifo chake.
-
DuniaTrump atahadharishwa: Vita na Iran havifanani na utembeaji kwenye 'maonyesho ya mitindo'
Ted Galen Carpenter, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi wa Marekani amemtahadharisha rais wa nchi hiyo Donald Trump na matokeo hatari ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.
-
DuniaNchi 51 zinashiriki Tuzo ya Qur'ani ya Kimataifa ya Jordan
Jordan imezindua mashindano yake ya 32 ya Qur'ani ya kimataifa, yanayojulikana kama Tuzo ya Qur'ani ya Kimataifa ya Jordan , kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 51.
-
DuniaMaelfu ya Wapalestina watekeleza Swala ya Ijumaa licha ya vizuizi vya Israel
Takriban Wapalestina 80,000 wameswali Swala ya Ijumaa ya tatu ya mwezi wa Ramadhani hii leo katika Msikiti wa Al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, licha ya vikwazo vya Israel…
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuingia Mwaka Mpya wa 1404:
DuniaMwaka wa "Uwekezaji katika Uzalishaji" / Mwaka wa 1403, Mwaka wa Kuonyesha Uwezo, Nguvu ya Mapenzi na Roho ya Juu ya Kiimani kwa Watu wa Iran
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Khamenei, alitoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1404 Hijria Shamsia, akitangaza kuwa mwaka huu utakuwa mwaka wa "Uwekezaji katika Uzalishaji."
-
DuniaUzinduzi wa tafsiri ya Qur'ani tukufu kwa Kiswahili iliyoandikwa na sheikh Hassan Ally Mwalupa
Tafsiri ya Qur'ani tukufu iliyoandikwa na sheikh Hassan Ally Mwalupa ni hazina ya kipekee inayowezesha waumini kuelewa na kutafakari ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa lugha nyepesi na fasaha.
-
DuniaDarul-Qur'an yafunguliwa Arusha
Taasisi ya Sayyid al-Shuhadaa (a.s) Jijini Arusha, Tanzania, imezindua Kituo muhimu cha Qur'an Tukufu.
-
DuniaUNICEF: Asilimia 90 ya wakazi wa Ghaza wanashindwa kupata maji safi ya kunywa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuwa uhaba mkubwa wa maji katika Ukanda wa Ghaza umefikia hatua mbaya na ya maafa, kwa ababu karibu asilimia 90 ya wakazi…