Hawza/ Katibu wa Baraza Kuu la Hawza nchinibIran, amesema: “Ninatumaini kwamba viongozi wa serikali ya Azerbaijan wataamka na kuacha dhuluma hii kubwa wanayoifanya dhidi ya wanawake wanaovaa…
Hawza/ Ayatullah A‘rafi, akiwahutubia viongozi wa Azerbaijan, alisema: “Hakuna nchi yoyote ya Kiislamu yenye haki ya kuwanyang’anya wanawake na wasichana katika jamii haki yao ya kisheria na…
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin al-Mousawi, Imamu wa Ijumaa wa Baghdad, amekosoa marufuku ya hijabu katika shule za Jamhuri ya Azerbaijan pamoja na misimamo ya serikali ya Iraq inayopinga wananchi…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanchi, Imamu wa Ijumaa wa Najaf Ashraf, ameitaka serikali ya Iraq ilaani mashambulizi ya mara kwa mara ya mabomu dhidi ya wananchi wa Yemen…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Ali Al-Khatib, katika khutuba ya Swala ya Ijumaa, ameonya kuhusu shinikizo la Marekani dhidi ya Lebanon na juhudi za kuisukuma nchi hiyo katika makabiliano…
Hawza/ Waumini wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna-Asheri (KSIJ) ya Kampala, nchini Uganda, wameadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zainab (s.a.), siku ya tarehe 5 Jamadiul Awwal 1448, kwa…
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, katika ujumbe wake, aliipongeza timu ya taifa ya Iran ya mieleka, yenye wachezaji walio chini ya umri wa miaka 23, kwa kutwaa ubingwa katika…
Hawza/ Tangu kumalizika kipindi cha kupunguza mvutano nchini Yemen, idadi ya raia waliouawa na kujeruhiwa imeongezeka na kufikia watu 259, wakiwemo mashahidi 91 na majeruhi 168, wanawake na watoto…
Hawza/ Idara ya Mahusiano na Vyombo vya Habari ya Hizbullah imetoa taarifa kuhusu tukio lililotokea katika eneo la Ghaleri Samaan, ikieleza kuwa kundi hilo halina uhusiano wowote na ghala lililotajwa…
Hawza/ Huko Palestina, msimu wa mavuno ya zaituni, badala ya kuwa ishara ya siku zenye baraka na mafanikio kwa wakulima, wakati mwingine huambatana na machozi na damu. Hii ni katika hali ambayo…
Hawza/ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania (TIC) na Imam Mkuu wa Msikiti wa Ghadir, uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, ameitaka jamii kutoa…
Hawza/ Jumuiya ya AhlulBayt ya Kenya imeungana na Hawza ya Sayyida Zainab (s.a.), iliyopo Kirigiti, Kaunti ya Kiambu, katika kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zainab (s.a.), katika hafla…
Hawza/ Jeshi la kigaidi la utawala wa Kizayuni linaendelea kufanya mashambulizi ya angani na ya mizinga kusini mwa Lebanon. Sambamba na mashambulizi hayo, jeshi hilo limeing’oa miti ya zaituni…
Hawza/ Katibu Mkuu wa Kataib Sayyid al-Shuhada Iraq, huku akitoa onyo dhidi ya hatua zozote za kichokozi zinazolenga kuathiri ukamilifu wa ardhi na uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesisitiza…