-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (51)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Tatu)
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye…
تیتر دو پرونده
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (51)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Tatu)
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (49)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Qur’ani Tukufu imezungumzia kwa ujumla juu ya kudhihiri na kisimami cha Hujjat Imam Mahdi (aj), na imeonesha bishara ya kuundwa serikali…
-
Kuielekea Jamii Bora: Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 48
Wajibu na Majukumu Maalum ya Wenye kusubiri
Hawza / Katika zama hizi si haba watu ambao, kwa sababu mbalimbali, hawawezi kuvumilia katika kumuamini Imam aliye ghaibu na kumkumbuka yeye.…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 47
Wajibu na Majukumu ya Kawaida kwa Wanaosubiri (Al-Muntadhirīn)
Hawzah/ Wajibu na majukumu ya wanaosubiri hayako mahsusi kwa kipindi cha ghaiba tu; huenda kutajwa kwake miongoni mwa wajibu wa kipindi cha ghaiba…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 46
Nafasi na Daraja la Wenye subira ya Kweli juu ya Imam Mahdi (aj)
Hawza/ Kwa sababu ya hali maalumu inayowakumba watu waliopo katika zama za kusubiri, iwapo watakuwa na subira ya kweli, watapata hadhi na cheo…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as)– 45
Nafasi ya Intidhar (Kusubiri ) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Intidhār (kusubiri kudhihiri) hakubatilishi wajibu wala hakutoi ruhusa ya kuchelewesha utekelezaji wa matendo, uzembe katika majukumu…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imamu Mahdi [a.s] –44
Nafasi ya Intidhar (Kusubiri) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Tatu)
Hawza/ Intidhar (kusubiri) ni kusubiri kwa hamu mustakabali wenye sifa zote za jamii ya Kimungu, ambako mfano wake wa kipekee ni kipindi cha…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (a.s) – 43
Nafasi ya (Intidhar) Kusubiria faraja katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Pili)
Hawza / Katika maana hii, mafundisho ya dini yamekusudia, mbali na kubainisha fadhila ya “faraja ya kijamii” na matumaini ya siku zijazo na kuelekeza…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Mada Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 42
Nafasi ya Intidhari (Kusubiria Faraja) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Kile kinachomfanya mwanadamu awe na matumaini ya kuishi na kinachorahisisha kwake hofu na huzuni, ni intidhari (kusubiri) na matumaini…
-
Kuielekea jamii Bora: Mfululizo wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 41
Huruma ya Imam wa Zama (as)
Hawza / Imam, kutokana na wingi wa huruma na mapenzi aliyo nayo kwa wafuasi wake, ana uhusiano na mawasiliano makubwa zaidi kwa wao, Na kwa sababu…
-
“Kuielekea Jamii Bora” (mkusanyiko wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 40
Imam ni kioo cha rehema isiyo na kikomo ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Imam zaman (as) ingawa yupo kwenye ghaiba, lakini ni wingu la rehema linaloendelea kunyesha daima na kulipa uhai na bashasha jangwa kavu…
-
Kuielekea Jamii Bora: (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Iamam Maha (as)- 39)
Dalili za Wiyaatul-Faqih – Dalili za Nakili/Riwaya – Sehemu ya Pili)
Hawza/ Miongoni mwa riwaya ambazo fuqah'a wamezitolea dalili kwa ajili ya kuthibitisha Wilayatul-faqih, ni riwaya ambayo ameinukuhu Omari ibn…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 37
Hoja za wilayat Faqihi (Hoja ya Kiakili)
Hawza/ Hoja ya wilayat faqihi inaweza kuchambuliwa kwa mtazamo wa kiakili na vilevile wa kinakini; yaani, akili inamuamrisha Muislamu kumtii…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 36
Kuuongoza umma katika Kipindi cha Ghayba Kubra (kubwa)
Hawza/ Baada ya ghaiba ya Imam wa kumi na mbili (as), ni nani mwenye dhamana ya uongozi na uimamu juu ya umma? Je, mtu mmoja au watu fulani wana…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 35
Namna ya Ghaiba ya Imam Mahdi (as)
Hawzah/ Je, ghaiba ya Bwana wa Amri as iko vipi? Je, mwili wake mtukufu umefichika machoni mwa watu? Au kwamba mwili wake huonekana lakini hakuna…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 34
Uwezekano wa kufuzu kuonana na kuhudhuria mbele ya Imam wa zama (aj)
Hawza/ Kufuzu baadhi ya watu kuweza kuonana na Imam huyo mtukufu ni jambo lililothibiti, na uwongo na batili ya madai ya wale wanaodai uwakala…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 33
Makazi ya Imam Mahdi (as) katika Kipindi cha Ghaiba Kubwa
Hawza/ Ikiwa katika mada ya "ghaiba", mambo kama mahali alipo Imam (as), chakula chake n.k. yasibainike wazi, hilo halileti shaka wala dhana…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 32
Mfumo wa Uimamu ni mfumo wa kimungu usiokatika
Hawza/ Mfumo wa Uimamu ni mfumo wa kimungu, usiokatika, na hauna kipindi cha mapumziko (fatra); upo katika kila zama na kila wakati. Kuanzia…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 31
Hadhi na Vyeo vya Imamu Mahdi (aj) katika Dua
Hawzah/ Kuzingatia vyeo na nafasi za Imamu wa zama (aj) katika ulimwengu kunaweza kuwa sababu ya kumkaribisha zaidi mja kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 30
Sifa za Imam wa zama (aj) Katika Dua
Hawza/ Kwa kuzingatia sifa na tabia za Imam wa zama (a.f) kunaweza kuongeza na kuimarisha zaidi uhusiano wa kiroho na wa ndani kati ya mja na…