-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (58)
DiniMapinduzi kabla ya kudhihiri Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Baadhi ya watu, wakitegemea baadhi ya riwaya, wamefikia hatua ya kudhania kwamba aina yoyote ya harakati dhidi ya watawala madhalimu kabla ya kudhihiri kwa Imam wa Zama (a.s.) ni haramu;…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (57)
DiniTawkī‘āt za Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Miongoni mwa njia zinazobainisha mas-ala na kuondoa shubha ni kutumia mwongozo na kunufaika na tawkī‘āt na maandiko ya mkono ambayo Imam Mahdi (a.s.) alikuwa akiyaandika kwa watu waliokuwa…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (56)
DiniNjia za Kumtambua Imam (a.s.)
Hawza/ Bila shaka mojawapo ya majukumu muhimu ya waja mbele ya Mola wao ni kumjua huyo Mwenye Hadhi Tukufu. Maarifa haya hufikia ukamilifu wakati Mitume wa Mungu – hasa hasa Mtume wa Mwisho (s.a.w.w)…
-
Kuielekea jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (55)
DiniMambo ya pamoja kati ya Ahlul-Sunna na Shia kuhusiana na suala la Mahdawiya
Hawza/ Ahlul-Sunna wametaja mara nyingi katika riwaya zao ukweli wa "fikra ya Mahdawiya". Ingawa katika baadhi ya maeneo inatofautiana na imani ya Kishia, bado kuna mambo mengi ya pamoja.
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyat (54)
DiniImamu Mahdi katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawzah/ Kwa kupitia kwa muhtasari vitabu vya riwaya vya Ahlus-Sunna, inadhihirika wazi kuwa suala la Imamu Mahdi (a.s.) limetajwa kwa wingi katika vyanzo vyao. Mbali na hadithi nyingi zilizomo…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiyya (53)
DiniMahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Mwisho)
Hawza/ Aya za Qur’ani wakati mwengine huwa na maana nyingi: moja ni ya dhahiri na ya wazi kwa watu wote, na nyingine ni ya ndani (maana ya batini), ambayo hakuna anayejua isipokuwa Mtume (saww),…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiya (52)
DiniMahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Mwenyezi Mungu amewaahidi waumini na watu wema ahadi ya utawala juu ya ardhi, utukufu wa dini ya haki, na usalama kamili. Hata hivyo, miongoni mwa wafasiri kuna mjadala kuhusiana na kuwa;…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (51)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Tatu)
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye dunia itakuwa ya wale wanaostahiki — yaani wacha…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki pia ni jambo la lazima. Wenye kunyongeshwa ulimwenguni…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (49)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Qur’ani Tukufu imezungumzia kwa ujumla juu ya kudhihiri na kisimami cha Hujjat Imam Mahdi (aj), na imeonesha bishara ya kuundwa serikali yenye uadilifu kimataifa na ushindi kwa watu wema.…
-
Kuielekea Jamii Bora: Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 48
DiniWajibu na Majukumu Maalum ya Wenye kusubiri
Hawza / Katika zama hizi si haba watu ambao, kwa sababu mbalimbali, hawawezi kuvumilia katika kumuamini Imam aliye ghaibu na kumkumbuka yeye. Kwa kuwa moja ya mafundisho muhimu ya dini ni subira…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 47
DiniWajibu na Majukumu ya Kawaida kwa Wanaosubiri (Al-Muntadhirīn)
Hawzah/ Wajibu na majukumu ya wanaosubiri hayako mahsusi kwa kipindi cha ghaiba tu; huenda kutajwa kwake miongoni mwa wajibu wa kipindi cha ghaiba ni kwa madhumuni ya kusisitiza tu.
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 46
DiniNafasi na Daraja la Wenye subira ya Kweli juu ya Imam Mahdi (aj)
Hawza/ Kwa sababu ya hali maalumu inayowakumba watu waliopo katika zama za kusubiri, iwapo watakuwa na subira ya kweli, watapata hadhi na cheo cha thamani kubwa mno.
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as)– 45
DiniNafasi ya Intidhar (Kusubiri ) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Intidhār (kusubiri kudhihiri) hakubatilishi wajibu wala hakutoi ruhusa ya kuchelewesha utekelezaji wa matendo, uzembe katika majukumu ya dini na kutojali dini, kwa namna yoyote ile, si…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imamu Mahdi [a.s] –44
DiniNafasi ya Intidhar (Kusubiri) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Tatu)
Hawza/ Intidhar (kusubiri) ni kusubiri kwa hamu mustakabali wenye sifa zote za jamii ya Kimungu, ambako mfano wake wa kipekee ni kipindi cha utawala wa hazina ya mwisho ya Mwenyezi Mungu, yaani…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (a.s) – 43
DiniNafasi ya (Intidhar) Kusubiria faraja katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Pili)
Hawza / Katika maana hii, mafundisho ya dini yamekusudia, mbali na kubainisha fadhila ya “faraja ya kijamii” na matumaini ya siku zijazo na kuelekeza wanadamu kwenye uwanja huu, kulaani pia kukata…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Mada Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 42
DiniNafasi ya Intidhari (Kusubiria Faraja) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Kile kinachomfanya mwanadamu awe na matumaini ya kuishi na kinachorahisisha kwake hofu na huzuni, ni intidhari (kusubiri) na matumaini ya mustakabali wenye mwanga na wa kustawisha, ambapo…
-
Kuielekea jamii Bora: Mfululizo wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 41
DiniHuruma ya Imam wa Zama (as)
Hawza / Imam, kutokana na wingi wa huruma na mapenzi aliyo nayo kwa wafuasi wake, ana uhusiano na mawasiliano makubwa zaidi kwa wao, Na kwa sababu ya mapenzi na urafiki huu, yeye hushiriki katika…
-
“Kuielekea Jamii Bora” (mkusanyiko wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 40
DiniImam ni kioo cha rehema isiyo na kikomo ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Imam zaman (as) ingawa yupo kwenye ghaiba, lakini ni wingu la rehema linaloendelea kunyesha daima na kulipa uhai na bashasha jangwa kavu la watu, na ni mwenye kunyimika yule ambaye hatanusa…
-
Kuielekea Jamii Bora: (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Iamam Maha (as)- 39)
DiniDalili za Wiyaatul-Faqih – Dalili za Nakili/Riwaya – Sehemu ya Pili)
Hawza/ Miongoni mwa riwaya ambazo fuqah'a wamezitolea dalili kwa ajili ya kuthibitisha Wilayatul-faqih, ni riwaya ambayo ameinukuhu Omari ibn Handhalah
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 37
DiniHoja za wilayat Faqihi (Hoja ya Kiakili)
Hawza/ Hoja ya wilayat faqihi inaweza kuchambuliwa kwa mtazamo wa kiakili na vilevile wa kinakini; yaani, akili inamuamrisha Muislamu kumtii faqihi katika zama za ghaiba, na vivyo hivyo riwaya…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 36
DiniKuuongoza umma katika Kipindi cha Ghayba Kubra (kubwa)
Hawza/ Baada ya ghaiba ya Imam wa kumi na mbili (as), ni nani mwenye dhamana ya uongozi na uimamu juu ya umma? Je, mtu mmoja au watu fulani wana mamlaka juu ya umma? Ikiwa kuna mamlaka, mipaka…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 35
DiniNamna ya Ghaiba ya Imam Mahdi (as)
Hawzah/ Je, ghaiba ya Bwana wa Amri as iko vipi? Je, mwili wake mtukufu umefichika machoni mwa watu? Au kwamba mwili wake huonekana lakini hakuna anayemjua?
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 34
DiniUwezekano wa kufuzu kuonana na kuhudhuria mbele ya Imam wa zama (aj)
Hawza/ Kufuzu baadhi ya watu kuweza kuonana na Imam huyo mtukufu ni jambo lililothibiti, na uwongo na batili ya madai ya wale wanaodai uwakala na uwakilishi maalumu baina ya Imam huyo na watu…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 33
DiniMakazi ya Imam Mahdi (as) katika Kipindi cha Ghaiba Kubwa
Hawza/ Ikiwa katika mada ya "ghaiba", mambo kama mahali alipo Imam (as), chakula chake n.k. yasibainike wazi, hilo halileti shaka wala dhana yoyote; vivyo hivyo, kubainika kwa mambo hayo hakuhusiki…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 32
DiniMfumo wa Uimamu ni mfumo wa kimungu usiokatika
Hawza/ Mfumo wa Uimamu ni mfumo wa kimungu, usiokatika, na hauna kipindi cha mapumziko (fatra); upo katika kila zama na kila wakati. Kuanzia zama za Mtume Mtukufu Muhammad (saw) hadi leo umeanzishwa,…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 31
DiniHadhi na Vyeo vya Imamu Mahdi (aj) katika Dua
Hawzah/ Kuzingatia vyeo na nafasi za Imamu wa zama (aj) katika ulimwengu kunaweza kuwa sababu ya kumkaribisha zaidi mja kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 30
DiniSifa za Imam wa zama (aj) Katika Dua
Hawza/ Kwa kuzingatia sifa na tabia za Imam wa zama (a.f) kunaweza kuongeza na kuimarisha zaidi uhusiano wa kiroho na wa ndani kati ya mja na Yeye.
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 29
DiniDua na Ziara Kuhusiana na Mahdawia
Hawza/ Moja kati ya nyenzo muhimu sana kwa wafuasi wa Imamu Mahdi (as) katika kipindi cha ghaiba yake ni dua na kuwa na mafungamano naye, ili wasimsahau, na kwa njia ya dhikri, dua na ziara,…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 28
DiniWadai uongo wa Mahdawiyya
Hawza / Kila Mshia mwenye ufahamu anawajibika kuwakadhibisha wale wanaodai kuwa na uhusiano au uwakilishi maalum (niyaba maaluma) na Imamu, na kufunga njia ya kupenyeza na kujinufaisha kwa watu…