-
DuniaWaandamanaji wa Kijerumani wametaka mateka waliopo katika magereza ya Israel waachiliwe huru
Hawza/ jiji la Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, lilishuhudia maandamano ya mamia ya watu waliopinga ukiukwaji unaoendelea wa usitishaji mapigano na utawala wa Kizayuni. Waandamanaji hao pia walitaka…
-
DuniaOnyo kuhusu ongezeko la vurugu zisizo na kifani za Israel katika vita vya kimya kimya vinavyo endelea Ukingo wa Magharibi
Hawza/ Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa onyo kwamba Ukingo wa Magharibi unashuhudia “vita vya kimya kimya” na kiwango cha vurugu ambacho hakijawahi…
-
DuniaAthari za Kieneo za Vita vya Marekani dhidi ya Iran; kuanzia kufungwa kwa Mlango wa Hormuz hadi Yemen kuwa karata ya ushindi mikononi mwa Jihadi ya Muqawama
Hawza/ Mwandishi wa Kilebanoni ameandika katika tahariri kwamba, endapo vita kati ya Marekani na Iran vitatokea, kwa mtazamo wa kikanda moto wa vita utaenea kwa kasi; Ghuba ya Uajemi itawekwa…
-
DuniaHizbullah katika eneo la Biqaa yatoa shukrani kwa Balozi wa Iran
Hawza/ Hizbullah katika eneo la Biqaa ilimuenzi Mojtaba Amani, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon, kwa mnasaba wa kumalizika kwa jukumu lake katika nchi hiyo, katika hafla iliyofanyi…
-
DuniaUandishi wa Qur’ani Tukufu kwa hati ya kisanaa wakamilika baada ya miaka 6
Hawza/ Ali Zaman, msanii mashuhuri na mtaalamu wa khati (calligraphy) kutoka Iraq, amekamilisha uandishi wa Qur’ani Tukufu kwa mwandiko wa kisanaa (kaligrafia) baada ya miaka sita ya juhudi endelevu.
-
Ayatullah A‘rafi mbele ya walimu wa taaluma ya tablighi (da‘wa):
HawzaFani za kielimu Hawza zimeongezeka kutoka 10–15 hadi zaidi ya fani 100 za utekelezaji/ Kubuni ramani ya njia (roadmap) na hati 100 za kimkakati za Hawza
Hawza/ Ayatullah A‘rafi alirejelea uandaaji wa “hati mia (100) za kimkakati za Hawza za kielimu” kama mojawapo ya programu za msingi, na akasema: miaka miwili iliyopita huko Mashhad Iran, katika…