Habari mpya
Zilizo angaliwa sana
لیستی صفحه سرویس
-
Ayatollah Udhmah Nouri Hamadan:
Siku ya Quds ni siku ya kutangaza mshikamano wa waislamu dhidi ya uhalifu unaofanywa na utawala wa kizayuni
Ayatollah Nouri Hamadani katika ujumbe wake kuhusu Siku ya Quds aliiomba jamii ya waislamu duniani kuonyesha mshikamano wao na umoja dhidi ya uhalifu unaofanywa na utawala wa kinyama wa Kizayuni…
-
J'amiatul-Mudarisn katika tamko lao kuelekea kuadhimisha ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesema:
Siku ya Quds, ni siku ya kuufufua umma wa Kiislamu na kuonyesha nguvu ya umma mmoja
Watu wa Palestina waliokandamizwa kwa ajili ya uhuru wa Quds tukufu na ardhi zao za asili, wamepigania kwa umaskini na upweke kwa miaka mingi, na leo hii licha ya usaliti na kukosa ushirika kutoka…
-
Amirul-Muminin Ali (a.s) ni Qur'ani inayozungumza na ni mithili wa elimu ya Kimungu
Ayatollah Ulama alisema: "Imam Ali (a.s) mwenyewe alisema: 'Mimi ni Qur'ani inayozungumza," ambapo inamaanisha kwamba yeye ni Qur'ani inayosema kwa sauti, yeye ni mfano wa elimu ya Kimungu na…
-
Ayatollah Husseini katika mazungumzo yake na Shirika la habari la Hawza alisema:
Mwezi wa Ramadhani; Ni fursa ya Diplomasia ya kitamaduni kati ya umma wa kiislamu
Mwakilishi wa Kiongozi mkuu wa mapinduzi nchini Irak, alizungumzia kuhusiana na jukumu la Mwezi wa Ramadhani katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa ya Kiislamu, na alisisitiza…
-
Ayatollah A'arafi akilaani mauaji ya wasio na hatia nchini Syria:
Njia pekee ya kumaliza mgogoro wa Syria ni juhudi za kuleta amani na umoja wa kitaifa / Ulamaa wenye basira ulimwenguni na viongozi wa dini zote wakemee mauaji ya kikatili
Naomba vikundi vyote vyenye silaha nchini Syria, kuheshimu misingi ya Kiislamu na binadamu na kujiepusha na vurugu na mauaji ya wasio na hatia, katika kipindi hiki nyeti ambapo Marekani pamoja…
-
Ujumbe wa Ayatollah Subhani kuhusu maadhimisho ya Kumbukizi ya Ujenzi wa Msikiti wa Jamkaran
Ayatollah Subhani alitoa jumbe tofauti katika kuadhimisha miaka 1073 tangia ujenzi wa Msikiti mtukufu wa Jamkarani kwa amri ya Imaam wa zama (aj).
-
Ujumbe wa Ayatollah Makarem Shirazi kuhusu maadhimisho ya miaka 1073 ya ujenzi wa Msikiti wa Jamkaran
Ayatollah Makarem Shirazi alitoa jumbe tofauti katika kuadhimisha miaka 1073 tangia ujenzi wa Msikiti Mtakatifu wa Jamkaran kwa amri ya Imam wa zama (aj).
-
Ujumbe wa Ayatollah Nouri Hamedani kuhusu maadhimisho ya ujenzi wa Msikiti wa Jamkaran
Ayatollah Nouri Hamedani alitoa ujumbe maalum katika kuadhimisha miaka 1073 tangia ujenzi wa Msikiti Mtukufu wa Jamkaran kwa amri ya Imam wa zama (a.f).
-
Je! Ni vipi mwanadamu anweza kulelewa na Qur'ani?
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Rostamnejad alisema: Qur’ani kwa kutumia mbinu mbalimbali, kama vile kuelezea misingi inayoongoza maisha ya binadamu, inajihusisha na malezi na uundaji wa tabia ya…
-
Ayatullah Arafi:
Jumuiya za kielimu zina mchango mkubwa katika kutoa mawazo ya kimabadiliko katika Hawza za kidini
Tunaamini kuwa suala zima la kukuza, kustawi na mabadiliko katika Hawza lina misingi muhimu na nyeti, ambapo jambo hili linapaswa kuchunguzwa kwa kutumia akili ya pamoja na si kwa kujificha,…
-
AYATOLLAH SEYFI MAZANDARANI:
Kusaidia Wanyonge wa Yemen ni Jukumu la Kisheria na Kibinadamu
Mwalimu wa Hawza ya Kiislamu ya Qom ameweka wazi kuwa: "leo hii ni jukumu la kisheria na kibinadamu kwa Waumini na Waislamu wote duniani kuisaidia Yemen ambayo inapigana Jihadi kwa ajili ya Mwenyezi…
-
MFUASI WA JOPO LA WANAZUONI WA TAMADUNI NA FIKRA YA KIISLAMU:
Ikiwa hatutaipata akili mnemba tutabakia nyuma kimaendeleo
Mwanachuoni Izdehi amesisitiza kuwa Hawza ya kiislamu ni ya kila zama, alisema: "Masuala ya akili mnemba si kwamba ni teknolojia mpya tu, bali ni mlango mpya wa uwanja wa maarifa, na kama hatutafaulu…