-
Mshauri wa mudiri wa Hawza nchini Irani:
HawzaMapinduzi ya kiislamu ya Iran ni Utimilifu wa ndoto ya serikali ya miaka 1400
Hujjatul Islam wal Muslimin Zamani, ameelezea ushindi wa mapinduzi ya kiislamu kama hatua muhimu katika historia ya uislamu na kusema kuwa: Mapinduzi hayo yametimiza ndoto ya serikali ya kidini…
-
HawzaUjumbe wa Ayatollah Al-Udhma Bashir Najafi kwa Watoto na Walimu wa Shule ya Qur’ani
Hawza: Hadhrat Ayatollah Al-Udhma Haj Hafidh Bashir Hussein Najafi katika Markaz yake Najaf, alipokea kundi la wageni wakiwemo walimu na watoto kutoka bara ndogo la Hindi waliokuwa wakisoma katika…
-
HawzaMwakilishi wa Ayatollah Udhma Sistani akutana na Ayatollah Udhma Nouri Hamedani
Mwakilishi wa Ayatollah Udhma Sistani amekutana na kufanya mazungumzo pamoja na Ayatollah Udhma Nouri Hamedani.
-
Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi:
HawzaViongozi na Wakuu wa Kiislamu wanapaswa kusimama dhidi ya uhalifu wa Wazayuni /wito wa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Quds
Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi aliwaambia Waislamu washiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Quds, aliweka wazi kuwa: Viongozi na marais wa nchi za kiislamu wanapaswa kuwa na azma thabiti…
-
Ayatollah Udhmah Nouri Hamadan:
HawzaSiku ya Quds ni siku ya kutangaza mshikamano wa waislamu dhidi ya uhalifu unaofanywa na utawala wa kizayuni
Ayatollah Nouri Hamadani katika ujumbe wake kuhusu Siku ya Quds aliiomba jamii ya waislamu duniani kuonyesha mshikamano wao na umoja dhidi ya uhalifu unaofanywa na utawala wa kinyama wa Kizayuni…
-
J'amiatul-Mudarisn katika tamko lao kuelekea kuadhimisha ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesema:
HawzaSiku ya Quds, ni siku ya kuufufua umma wa Kiislamu na kuonyesha nguvu ya umma mmoja
Watu wa Palestina waliokandamizwa kwa ajili ya uhuru wa Quds tukufu na ardhi zao za asili, wamepigania kwa umaskini na upweke kwa miaka mingi, na leo hii licha ya usaliti na kukosa ushirika kutoka…
-
HawzaAmirul-Muminin Ali (a.s) ni Qur'ani inayozungumza na ni mithili wa elimu ya Kimungu
Ayatollah Ulama alisema: "Imam Ali (a.s) mwenyewe alisema: 'Mimi ni Qur'ani inayozungumza," ambapo inamaanisha kwamba yeye ni Qur'ani inayosema kwa sauti, yeye ni mfano wa elimu ya Kimungu na…
-
Ayatollah Husseini katika mazungumzo yake na Shirika la habari la Hawza alisema:
HawzaMwezi wa Ramadhani; Ni fursa ya Diplomasia ya kitamaduni kati ya umma wa kiislamu
Mwakilishi wa Kiongozi mkuu wa mapinduzi nchini Irak, alizungumzia kuhusiana na jukumu la Mwezi wa Ramadhani katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa ya Kiislamu, na alisisitiza…
-
Ayatollah A'arafi akilaani mauaji ya wasio na hatia nchini Syria:
HawzaNjia pekee ya kumaliza mgogoro wa Syria ni juhudi za kuleta amani na umoja wa kitaifa / Ulamaa wenye basira ulimwenguni na viongozi wa dini zote wakemee mauaji ya kikatili
Naomba vikundi vyote vyenye silaha nchini Syria, kuheshimu misingi ya Kiislamu na binadamu na kujiepusha na vurugu na mauaji ya wasio na hatia, katika kipindi hiki nyeti ambapo Marekani pamoja…
-
HawzaUjumbe wa Ayatollah Subhani kuhusu maadhimisho ya Kumbukizi ya Ujenzi wa Msikiti wa Jamkaran
Ayatollah Subhani alitoa jumbe tofauti katika kuadhimisha miaka 1073 tangia ujenzi wa Msikiti mtukufu wa Jamkarani kwa amri ya Imaam wa zama (aj).
-
HawzaUjumbe wa Ayatollah Makarem Shirazi kuhusu maadhimisho ya miaka 1073 ya ujenzi wa Msikiti wa Jamkaran
Ayatollah Makarem Shirazi alitoa jumbe tofauti katika kuadhimisha miaka 1073 tangia ujenzi wa Msikiti Mtakatifu wa Jamkaran kwa amri ya Imam wa zama (aj).
-
HawzaUjumbe wa Ayatollah Nouri Hamedani kuhusu maadhimisho ya ujenzi wa Msikiti wa Jamkaran
Ayatollah Nouri Hamedani alitoa ujumbe maalum katika kuadhimisha miaka 1073 tangia ujenzi wa Msikiti Mtukufu wa Jamkaran kwa amri ya Imam wa zama (a.f).
-
HawzaJe! Ni vipi mwanadamu anweza kulelewa na Qur'ani?
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Rostamnejad alisema: Qur’ani kwa kutumia mbinu mbalimbali, kama vile kuelezea misingi inayoongoza maisha ya binadamu, inajihusisha na malezi na uundaji wa tabia ya…
-
Ayatullah Arafi:
HawzaJumuiya za kielimu zina mchango mkubwa katika kutoa mawazo ya kimabadiliko katika Hawza za kidini
Tunaamini kuwa suala zima la kukuza, kustawi na mabadiliko katika Hawza lina misingi muhimu na nyeti, ambapo jambo hili linapaswa kuchunguzwa kwa kutumia akili ya pamoja na si kwa kujificha,…
-
AYATOLLAH SEYFI MAZANDARANI:
HawzaKusaidia Wanyonge wa Yemen ni Jukumu la Kisheria na Kibinadamu
Mwalimu wa Hawza ya Kiislamu ya Qom ameweka wazi kuwa: "leo hii ni jukumu la kisheria na kibinadamu kwa Waumini na Waislamu wote duniani kuisaidia Yemen ambayo inapigana Jihadi kwa ajili ya Mwenyezi…
-
MFUASI WA JOPO LA WANAZUONI WA TAMADUNI NA FIKRA YA KIISLAMU:
HawzaIkiwa hatutaipata akili mnemba tutabakia nyuma kimaendeleo
Mwanachuoni Izdehi amesisitiza kuwa Hawza ya kiislamu ni ya kila zama, alisema: "Masuala ya akili mnemba si kwamba ni teknolojia mpya tu, bali ni mlango mpya wa uwanja wa maarifa, na kama hatutafaulu…
-
Ayatollah al_udhma Nouri Hamedani:
HawzaMahakama inapaswa kuingia katika kutatua matatizo ya watu kwa kuwasimamia Viongozi
Hadhrat Ayatollah Nouri Hamedani ameeleza kuwa Mahakama inapaswa kuingilia kati kutatua matatizo ya wananchi kwa kuwasimamia viongozi na akasema: Matarajio ya mwisho ya wananchi ni kupata Haki…
-
Ayatollah Arafi katika Kongamano la kila mwaka la vitabu:
HawzaFiqh iko juu ya nyanja za Kisayansi na Maarifa za Seminari (Hawza) / Matumizi ya Teknolojia mpya ya Kisayansi ni muhimu kwa Wanafunzi na watafiti wote
Mkurugenzi huyo wa Seminari (Hawza) za nchi hiyo amesisitiza juu ya ulazima wa kuwa na mazingatio ya Wanafunzi na nafasi katika uandishi wa athari zinazoendana na mahitaji ya kila siku na mahitaji…
-
HawzaPongezi maalum kwa miaka ya juhudi za Kisayansi za Ayatollah Mkuu Shobeiri Zanjani na Ayatollah Ray Shahri (r.a)
Katika Kongamano la 26 la Kitabu cha mwaka cha Hawza, Mamlaka ya Kisayansi iliwatunuku Ayatollah al_Udhma Shobeiri Zanjani na Hayati Ayatollah Ray Shahri.
-
Ayatollah Al_Udhma Nouri Hamedani katika hafla ya kuvisha kilemba kwa Wanafunzi:
HawzaHebu tuimarishe uhusiano wetu na Hadhrat Waliyyul al_Asr (a.s) / Tujue thamani na nafasi ya mavazi ya kiroho
Hadhrat Ayatollah Nouri Hamedani amesema: Alisisitiza kuwa ni jambo la lazima kwa Mwanafunzi kuwa na maadili mema, ikhlasi, elimu na akili na akasema: Tujivunie kuwa askari wa Imam wa Zama (Mwenyezi…
-
Ayatollah Al_Udhma Nouri Hamedani:
HawzaRisala ya Imam Sajjad kuhusu Sheria ni dhihirisho la uadilifu
Ayatollah Nouri Hamedani amesema: Kwa mujibu wa ushahidi wa historia, moja ya nukta angavu katika maisha ya Hadhrat Sajjad (amani iwe juu yake) ni kwamba alikuwa hakubaliani na watawala madhalimu,…
-
Ayatollah Subhani:
HawzaMtazamo wa Fikra za Kiislamu na Tablighi za Kidini vinapaswa kuegemezwa kwenye Aya za Qur'an Tukufu na ufafanuzi unaotokana na Shule (Madrasat) ya Ahlul-Bayt (a.s)
Ayatollah Subhani amesema: Mhimili wa Fikra za Kiislamu na Tablighi za Kidini inatakiwa iwe ni kwa kutumia Aya za Qur'an Tukufu na ufafanuzi unaotokana na Madhehebu ya Ahlal-Bayt (a.s), hivyo…
-
HawzaUtoaji wa zawadi ya Bendera ya Haram Tukufu ya Imam Hossein (amani iwe juu yake) kwa Ayatollah Jawad A'mouli
Kundi la wawakilishi wa Madhabahu / Haram Tukufu ya Imam Hussein walitembelea nyumba ya Ayatollah Jawad A'mouli na kumkabidhi zawadi ya Bendera iliyobarikiwa ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (Amani…
-
Ayatollah Makarem Shirazi:
HawzaMuujiza mkubwa wa utume wa Mtume wa Uislamu (SAW) ulikuwa ni kuunganisha nyoyo
Hadhrat Ayatollah Makarim Shirazi alisema katika Mnasaba wa Utume wa Mtume (s.a.w.w): Lau wale ambao wamegombana wao kwa wao wangeombana msamaha tangu mwanzo, matatizo ya baadaye yasingetokea.…
-
Ayatollah A'rafi katika hafla ya kuvalisha kilemba katika Seminari ya Iravan Jijini Tehran:
HawzaSeminari / Hawza ya Kielimu ni mahali pa kujitolea na mapambano
Sherehe ya kuvalisha vilemba kwa Wanafunzi kadhaa wa masomo ya kidini wa Seminari (Hawzat) ya Iravan Mjini Tehran katika Mnasaba wa Mab'athi / Kutumwa kwa Mtume Muhammad al_Mustafa (Rehma na…
-
Naibu Mkurugenzi wa Seminari (Hawzah) ya Qom:
HawzaKuanzisha athari (kazi) za Wasomi wa zamani ni muhimu ili kuijua jamii
Hojjat-ul-Islam wal-Muslimin Maleki alisema: Mataifa mengine yanatunga Hikaya (Historia) kutokana na shakhsia zao, lakini kwa bahati mbaya, sisi hatufanyi mengi katika kuwatambulisha wanafikra…
-
Syed Hossein Muumini alisema katika Haram ya Bibi wa Karama:
HawzaJinsi Imam al-Kadhim (a.s) alivyotenda kwa ajili ya Mashia katika zama za ghaibu
Msemaji wa Haram Tukufu ya Bibi wa Karama (Sayyidat Fatima Maasoumah, amani iwe juu yake) alisema kwamba Imam Kadhim (amani iwe juu yake) alisema: “Wamebarikiwa Mashia (Wafuasi) wetu ambao wana…
-
Mtafiti na Mwandishi wa Italia:
HawzaUjumbe wa Ayatollah Khamenei kuhusu Kristo / Masih (a.s) ni kuunda amani na uadilifu Duniani
Bibi Mijano alisema: Ujumbe huu unaonyesha kufanana kwa Uislamu na Ukristo katika kumheshimu Yesu, Masih (a.s) na kujaribu kuunda amani na haki Duniani. Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu…
-
HawzaKukubalika kwa jumla kwa mkutano wa kimataifa wa Hadhrat Jafar bin Abi Talib (a.s)
Hujjat al-Islam wal-Muslimin Rafiei alisisitiza juu ya umuhimu wa kuzingatia mafundisho ya Dini katika sherehe za kuthamini mambo ya kongamano la Hadhrat Jafar bin Abi Talib (a.s) huku akiashiria…
-
HawzaKozi ya juu "Akili Bandia katika Utafiti" ya Wasomi wa Seminari (Hawzat) ya Khuzestan huko Qom
Kozi ya juu "Akili Bandia katika Utafiti" kwa Maprofesa na Wasomi wa Seminari (Hawzat) ya Mabinti ya Mkoa wa Khuzestan ilifanyika kutoka January 18 hadi January 20 katika mji Mtukufu wa Qom.