-
DiniKwa nini Imam Mahdi (a.t.f.) anaitwa “Shariki al-Qur’an” (Mshirika wa Qur’ani)?
Hawza/ Maana ya kina ya neno “Sharik al-Qur’an” (mshirika wa Qur’ani) inaashiria uhusiano wa kudumu kati ya Imam Mahdi (aj) na Qur’ani Tukufu katika kuendeleza uongofu, kuifufua dini, na kulinda…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadiya:
DiniDaima ujihesabu kuwa ni mwenye kukosea
Hawza/ Kuyakuza matendo yako mema na kudharau dhambi au makosa yako, kunaweza kuwa kizuizi kikubwa katika njia ya uchamungu wa kweli. Ndiyo maana mafundisho ya Maimamu watoharifu (as) katika…
-
afunzo katika Nahjulbalagha:
DiniMKwa nini tamaa humfanya mwanadamu awe duni?
Hawzah/ Neno “tamaa” linamaanisha kutaka zaidi ya haki yako na kujaribu kupata neema za maisha kupitia mikono ya wengine. Ni dhahiri kuwa mtu mwenye tamaa hulazimika kujishusha, kuomba kwa kila…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiyya (53)
DiniMahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Mwisho)
Hawza/ Aya za Qur’ani wakati mwengine huwa na maana nyingi: moja ni ya dhahiri na ya wazi kwa watu wote, na nyingine ni ya ndani (maana ya batini), ambayo hakuna anayejua isipokuwa Mtume (saww),…
-
Mafunzo Katika Qur'ani:
DiniNjia ya Kukutana na Mtukufu Imam Mahdi (a.s)
Hawza/ Mwenyezi Mungu Mtukufu katika Hadithi ya Mi’raj anatufahamisha kipimo na kigezo ambacho kushikamana nacho kunaweza kuyaangazia macho yetu kuudiriki uzuri wa nuru ya Mtukufu Imam Mahdi…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadiyah:
DiniNi Vipi Tutafahamu Kwamba Mungu Peke Anatosha
Hawza/ Wakati miangaiko ya kidunia inapomtoa mwanadamu katika njia ya uja na utumishi wa Mwenyezi Mungu, Imam Sajjad (a.s) anatupa ufunguo wa dhahabu wa ukombozi: kuomba kutoshelezwa na Mwenyezi…
-
Mafunzo katika Nahjul Balagha:
DiniFadhila Saba za kunyamaza
Hawza News/ Imam Ṣādiq (a.s.) katika riwaya yenye maana pana, ameeleza kuwa kukaa kimya si tu njia ya watafiti, bali ni chanzo cha kupata radhi za Mwenyezi Mungu na kinga dhidi ya makosa.
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiya (52)
DiniMahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Mwenyezi Mungu amewaahidi waumini na watu wema ahadi ya utawala juu ya ardhi, utukufu wa dini ya haki, na usalama kamili. Hata hivyo, miongoni mwa wafasiri kuna mjadala kuhusiana na kuwa;…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (51)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Tatu)
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye dunia itakuwa ya wale wanaostahiki — yaani wacha…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
DiniKwa nini uaminifu ni muhimu zaidi kuliko swala ndefu?
Hawza/ “Msitazame mtu kwa urefu wa swala zake, bali tazameni uaminifu wake.” Kauli hii ya Imam Sadiq (as) inaonesha kwamba uaminifu ndicho kipimo cha msingi cha kumtambua mtu.
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki pia ni jambo la lazima. Wenye kunyongeshwa ulimwenguni…
-
Mafunzo katika Nahjul Balagha:
DiniUsijiuze kwa Chochote Kilicho Chini ya Pepo
Hawzah/ Ikiwa mtu atatambua thamani na hadhi ya juu ya utu wake, kamwe – na kwa hali yoyote ile – hatakubali kudhalilika wala kuwa mtumwa wa yeyote asiyekuwa Mungu.
-
Kuielekea Jamii ya Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (49)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Qur’ani Tukufu imezungumzia kwa ujumla juu ya kudhihiri na kisimami cha Hujjat Imam Mahdi (aj), na imeonesha bishara ya kuundwa serikali yenye uadilifu kimataifa na ushindi kwa watu wema.…
-
DiniAyatullahul-‘Uzma Jawadi Amuli: Jamii inaongozwa na maadili, si kwa elimu pekee
Hawza/ Mtume Mtukufu (saww) pamoja na kuwa na elimu pana, alisifiwa kwa sababu ya maadili yake adhim; kwani jamii inaongozwa na maadili, si kwa elimu pekee. Watu waliongozwa na mwenendo wa Mtume,…
-
Mafunzo katika Qur'ani:
DiniKwa nini tunapaswa kumkimbilia Mwenyezi Mungu? / Qur’ani inajibu Swali la Aflaton
Hawza/ Aflaton, anaufananisha ulimwengu na upinde wa mshale, ambapo Mungu ndiye mpiga mshale na binadamu ndiye shabaha. Lakini tofauti na uwindaji mwingine wote, njia pekee ya kuokoka katika…
-
Mafunzo katika Sahiifat Sajjaadiya:
DiniDua inayowakaribisha vijana na barobaro kwenye kumuabudu Mwenyezi Mungu
Hawza / Mwanadamu katika maisha yake anakabiliana na njia na chaguo mbalimbali, lakini swali muhimu ni hili: ni ipi kati ya hizo inayoweza kumsaidia zaidi na vizuri zaidi katika njia ya uja na…
-
DiniKama Kumfahamu Mwenyezi Mungu ni Asili (Fitrah), Kwa Nini Wapo Wanaomkataa?
Hawza/ Mwanadamu kukengeuka kutoka katika fitrah (asili safi ya maumbile) hutokea kwa sababu mbalimbali ambazo humzuia kujua ukweli na kumtambua Mwenyezi Mungu.
-
DiniKwa nini Majina ya Manabii Yametajwa katika Qur’ani Tukufu, lakini Majina ya Maimamu Hayakutajwa?
Hawza/ Moja ya maswali ya kimsingi katika tafsiri na elimu ya Qur’ani ni kuhusu sababu ya kutajwa majina ya baadhi ya manabii ndani ya Qur’ani Tukufu, ilhali majina ya Maimamu Maasumīn (as) hayajatajw…
-
Mafunzo katika Nahjul Balagha:
DiniKwa nini tunapaswa kukumbuka Mauti?
Hawza / Wakati dunia ikionekana kuwa duni na isiyo na thamani kwa mtazamo wa mwanadamu, macho yake hugeuka kuielekea Akhera, na huenda hapo ndipo mwanzo wa utumwa kwa Mwenyezi Mungu unaanzia.
-
Mafunzo katika Sahifat Sajjadia:
DiniKwa nini nia ni muhimu zaidi kuliko amali?
Hawza/ Ikiwa unataka kujua kwa nini nia safi ndiyo rasilimali kubwa ya mwanadamu katika Siku ya Kiyama, basi soma riwaya ya kusisimua kutoka kwa Imam Sajjad (a.s.).
-
Kuielekea Jamii Bora: Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 48
DiniWajibu na Majukumu Maalum ya Wenye kusubiri
Hawza / Katika zama hizi si haba watu ambao, kwa sababu mbalimbali, hawawezi kuvumilia katika kumuamini Imam aliye ghaibu na kumkumbuka yeye. Kwa kuwa moja ya mafundisho muhimu ya dini ni subira…
-
Mafunzo katika Qur'ani:
DiniKwa Amali hii mshindeni shetani
Hawza/ Qur’ani Tukufu kwa kusisitiza juu ya maneno mazuri, inatufundisha kwamba kauli nzuri si tu kwamba inapanda mbegu za mapenzi katika nyoyo, bali pia inazuia unafiki na uadui, kinyume chake…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 47
DiniWajibu na Majukumu ya Kawaida kwa Wanaosubiri (Al-Muntadhirīn)
Hawzah/ Wajibu na majukumu ya wanaosubiri hayako mahsusi kwa kipindi cha ghaiba tu; huenda kutajwa kwake miongoni mwa wajibu wa kipindi cha ghaiba ni kwa madhumuni ya kusisitiza tu.
-
Mafunzo katika Sahifat Sajjadia:
DiniMpango wa Siri wa Shetani
Hawzah/ Je, ni kwa jinsi gani muumini mwenye kusali anaweza taratibu kubadilika na kuwa mtu mwenye kughafilika? Mpango wa siri wa Iblisi huanza kwa kushambulia swala ya usiku na kuishia katika…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 46
DiniNafasi na Daraja la Wenye subira ya Kweli juu ya Imam Mahdi (aj)
Hawza/ Kwa sababu ya hali maalumu inayowakumba watu waliopo katika zama za kusubiri, iwapo watakuwa na subira ya kweli, watapata hadhi na cheo cha thamani kubwa mno.
-
DiniHukumu za Kisheria | Je, kuingia kwenye shamba la mtu mwingine bpasi na idhini ya mmiliki kunajuzu?
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu istiftaa kuhusiana na mada ya “Kuingia kwenye shamba la mtu mwingine bila idhini ya mmiliki.”
-
Mafunzo katika Qur'ani:
DiniKurejesha Ubaya kwa Wema
Hawza/ Kuishi vizuri na watu si fadhila za kimaadili tu, bali ni njia ya uongofu na kumbadilisha adui kuwa urafiki, kisa cha mtu kutoka Shamu na muamala wa upole wa Imam Hasan (a.s) ni mfano…
-
Mafunzo katika Sahifat Sajjadiya:
DiniJe! Ni vipi tunaweza kuufanya uwepo wetu wote kuwa waqfu kwa Mwenyezi Mungu?
Hawza/ Je, mtu anawezaje kuzielekeza chembe zote za uwepo wake kwa Mola? Imamu Sajjad (as) katika dua fupi lakini yenye maana ya ndani, anachora ramani ya njia ya kuifikia ikhlās; njia inayoanzia…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as)– 45
DiniNafasi ya Intidhar (Kusubiri ) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Intidhār (kusubiri kudhihiri) hakubatilishi wajibu wala hakutoi ruhusa ya kuchelewesha utekelezaji wa matendo, uzembe katika majukumu ya dini na kutojali dini, kwa namna yoyote ile, si…
-
Mafunzo kutoka katika Nahjul-Bal'agha:
DiniUkiachilia mbali adhabu, kwa nini hatutakiwi kufanya dhambi?
Hawza / Mtu anapofanya dhambi, hana budi kutumia neema zilezile ambazo Mwenyezi Mungu amempa ili amuabudu yeye; na hiki ni kitendo cha wazi cha kutokuwa na shukrani.