shirika la habari (1844)
-
Mchambuzi wa Kilebanon:
DuniaKushindwa Utegemezi wa Nguvu za Kigeni wa Saudia, ni Anguko la Kimkakati; Kurekebisha Mahusiano na Israel Itakuwa Kujitoa Kafara
Hawzah/ Samir Ayoub amesisitiza kwamba njia sahihi ya Saudi Arabia na nchi za eneo hilo kujinasua kutoka kwenye mtego wa Yemen ni kuanzisha mawasiliano na mazungumzo na kushughulikia sababu za…
-
Rais wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen:
DuniaMadai ya Saudi Arabia Kuhusu Kulengwa Makka ni Jaribio la Kudanganya Mataifa
Hawzah/ Mahdi Muhammad al-Mashat, amesema kwamba; madai yasiyo na msingi ya utawala wa Saudi Arabia kwamba Yemen imelenga Makka, ni jaribio la kukata tamaa la kuyachochea mataifa ambayo yamefikia…
-
Mwanaharakati wa Palestina:
DuniaMgogoro wa Ghaza Unaonesha Umuhimu wa Kuzitathmini Upya Haki za Kibinadamu Katika Dunia ya Leo
Hawzah/ Anwar al-Tawil, akieleza vipengele vya kibinadamu na kisheria vya vita vya Ghaza na kurejelea kukatwa maji, umeme, chakula na nishati katika eneo hilo, amesema: “Mgogoro wa Ghaza umeweka…
-
DuniaMasomo ya Dini Yanapaswa Kuambatana na Uelewa wa Kisiasa na Kuutete Uislamu
Hawzah/ Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi katika Mkoa wa Khorasan Razavi (Mash-had) Iran, huku akisisitiza kwamba umoja kati ya Shia na Ahlus-Sunna leo umegeuka kuwa uhalisia uliotekelezwa,…
-
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza:
VideoMashia wa Kishirazi Ndio Walioeneza Uislamu Tanzania + Video
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa; Waislamu wenye asili ya Kishirazi kutoka Uajemi walikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo waliofika katika maeneo ya Tanganyika…
-
DuniaIran ni Mfano wa Kujitegemea Mbele ya Mashinikizo ya Nje
Sheikh Saleh Malbi, mhadhiri wa chuo kikuu nchini Tanzania, akirejea uzoefu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameieleza nchi hiyo kuwa ni mfano wa jamii ambayo imeweza kupiga hatua katika njia…
-
Usta'dh Qara’ati mbele ya wanazuoni wa Hawzah:
Dunia“Utaalamu wa dini na uhubiri” ni majukumu mawili makuu ya wanazuoni wa Hawzah/ Tusisome kwa ajili ya kupata “cheti”
Hawza/ Hujatul-Islam wal-Muslimin Muhsen Qara’ati amesema kuwa “taffaquh katika dini na uhubiri” ni majukumu mawili makuu ya wanafunzi na wanazuoni wa Hawzah, akisisitiza kwamba lengo la Hawza…
-
DuniaWaislamu ni nguvu inayochipuka mjini New York
Hawza/ Waislamu ni nguvu inayochipuka mjini New York, na Palestina ina umuhimu mkubwa kwao; jambo ambalo linachukuliwa kuwa kengele ya tahadhari kwa matajiri na Wazayuni.
-
VideoRadi kali kutikana na kuchomwa Qur’ani nchini Italia/ Msisitizo wa kukabiliana na uchochezi wa chuki za kidini
Hawza/ Hatua ya mpinzani wa dini katika mitandao ya kijamii katika jiji la Reggio Emilia nchini Italia ya kuirarua na kisha kuichoma nakala ya Qur’ani Tukufu imekabiliwa na radi amali ya kisiasa…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaGhaza ni mtihani mkubwa kwa wanaodai kutetea demokrasia duniani
Hawza/ Hujatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sa'jid Ali Naqvi, katika ujumbe wake wa kuikosoa jumuiya ya kimataifa kwa kunyamazia jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza, amesisitiza kwamba: Siku…
-
Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansarullah:
DuniaJuhudi za Saudi Arabia kutafuta msaada wa utawala wa Kizayuni hazitabadilisha mlingano wa vita vya Yemen
Hawza/ Muhammad Al-Farah, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansarullah, amesema kuwa; wananchi wa Yemen hawakuchagua vita wala hawakuvifuata, bali walilazimishwa kuingia katika vita hivyo kutokana…
-
Uongozi wa Husseiniya za Bahrain:
DuniaHatua za serikali zinalenga uhuru wa kutekeleza ibada za kidini za Mashia
Hawza/ Uongozi wa Husseiniya nchini Bahrain umelaani hatua iliyotolewa na taasisi rasmi inayowataka makhatibu, waimbaji na waombolezaji kupata vibali vya awali kabla ya kushiriki katika shughuli…
-
-
DuniaChuo Kikuu cha Marekani chawapiga marufuku wanafunzi wa Kiislamu kuswali
Hawza/ Chuo Kikuu cha Marekani cha New York, katika tawi lake la kampasi ya Lebanon, hivi karibuni kimewapiga marufuku wanafunzi wake wakiislamu kuswali.
-
DuniaViongozi wa Harakati ya Amal na Hizbullah wathibitisha umuhimu wa ushiriki wa kitaifa na ulazima wa Serikali ya Lebanon kubeba majukumu
Hawza/ Viongozi wa Hizbullah na Harakati ya Amal wamefanya mkutano ambapo walijadili maendeleo na matukio ya hivi karibuni nchini Lebanon.
-
DuniaWaziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Iraq: Saudi Arabia inawahamishia Yemen mamluki wa Syria
Hawza/ Baqir Jabr al-Zubaidi amesisitiza kuwa wapiganaji kutoka makundi ya kigaidi ya Syria wamehamishiwa nchini Yemen.
-
DuniaMashindano ya Utafiti kwa Vijana katika Tawi la Al-Mustafa, Iraq
Hawza/ Tawi la Al-Mustafa nchini Iraq limendaa kwa wanafunzi vijana wa masomo ya Hawzah mashindano ya utafiti wa kielimu kwa vijana, yenye kaulimbiu isemayo “Shahidi Sayyid Ali Khamenei.”
-
Muhammad Abdul-Salam:
DuniaSana’a inawakaribisha wananchi wote na milango yake ipo wazi kwa kila mtu
Hawzah/ Mkuu wa Ujumbe wa Kitaifa wa Mazungumzo wa Yemen amesema: “Sana’a inawakaribisha wananchi wote, na milango yake iko wazi kwa watu wote ili warejee.”
-
Abu Raas:
DuniaKushughulikia kesi kesi za watu ni ufunguo wa kutatua kesi nyingine; hali katika pwani ni thabiti na usafiri wa baharini ni salama
Hawzah/ Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Wahamiaji wa Yemen amesisitiza msimamo thabiti wa Yemen katika juhudi za kufikia amani ya haki na kukomesha uvamizi pamoja na mzingiro uliowekwa dhidi…
-
Sheikh Zakzaky:
DuniaMaadui hunufaika na migawanyiko na kukosekana umoja miongoni mwa Waislamu
Hawzah/ Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, amesisitiza umuhimu wa umoja miongoni mwa Waislamu na kurejea katika mafundisho halisi ya Uislamu, akisema: “Maadui…
-
Chama cha Ustawi wa Taifa Afghanistan:
DuniaKuvamiwa Hawzah ya Khatam al-Nabiyyin ni dharau kwa jamii ya Mashia milioni kumi
Hawzah/ Chama cha Ustawi wa Taifa Afghanistan, kimekemea vikali kuvamiwa Hawzah ya Khatam al-Nabiyyin (saww) mjini Kabul na kundi la Taliban, huku kikitaja hatua hiyo kuwa ni dharau kwa wananchi…
-
Abu Hamraa:
DuniaVikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimewaachilia huru wafungwa waliokaa zaidi ya miaka 8 katika magereza ya Saudi Arabia
Hawzah/ Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Masuala ya Wafungwa wa Yemen amesisitiza kwamba Vikosi vya Wanajeshi vya Yemen vimefanikiwa kuwaachilia huru baadhi ya wafungwa wa Yemen ambao walikuwa…
-
DuniaBahrain yaendelea kuwafunga wanazuoni wa Kishia kwa lengo la kuufuta Ushia nchini humo
Hawzah/ Mahakama ya Bahrain imemhukumu Sheikh Abdulnabi Al-Nashaba, mwanazuoni wa dini wa Kishia, kifungo cha mwaka mmoja.
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aungana na Viongozi wa Kiislamu katika Khitma ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, amehudhuria dua na kisomo cha khitma kwa ajili ya kumuombea marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan,…
-
Naibu Mkurugenzi wa Hawzah ya Qom:
DuniaKumlea “Mwanafunzi wa Hawzah Mwenye Uwezo Mpana” ni Miongoni mwa Masharti ya Kuifikisha Hawzah katika Nafasi ya Uongozi na Ubora
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Malekii, huku akisisitiza umuhimu wa kujenga ari ya kielimu na kimaanawi katika madrasa za kielimu, amesema: “Hawzah inayoongoza na kuwa kielelezo” itatimia…
-
Mtaalamu wa Kijeshi wa Yemen:
DuniaOperesheni ya “Sharurah” lilikuwa ni shambulizi la kushtukiza la kimkakati; Kukata njia za ugavi wa adui ni ufunguo wa mabadiliko yajayo
Hawzah/ Meja Jenerali Khalid Gharab amesema kuwa kumalizika kwa vita vya pwani ya magharibi ndani ya siku saba, kudhibiti wilaya sita na kuvunja mikusanyiko ya majeshi ya adui wa Saudi Arabia,…
-
Mjumbe wa Baraza la Nineveh:
DuniaHashd al-Shaabi ni nguzo kuu ya usalama wa eneo
Hawzah/ Rabii Soran, mjumbe wa Baraza la Mkoa wa Nineveh kutoka katika jamii ya Wakristo, amesisitiza kwamba; silaha kuwa chini ya mamlaka ya serikali hakumaanishi kwa namna yoyote kuvunjwa au…
-
Siri ya makubaliano yafichuliwa:
DuniaMamluki 3,500 wa Syria watumwa Saudi Arabia na Yemen kwa kujificha kama “watalii”
Hawzah/ Chanzo kimoja chenye taarifa ndani ya Syria kimefichua siri ya mkutano wa ngazi ya juu na wa kiusalama uliofanyika kwa usiri, ambao ulisababisha makubaliano ya kuwafundisha na kuwahamisha…
-
Vikosi vya Hizbullah Iraq:
DuniaKukombolewa pwani ya magharibi ya Yemen ni kofi kubwa kwa miradi ya Kizayuni na Marekani
Hawzah/ Vikosi vya Hizbullah Iraq, vimeelezea kuwa ushindi wa kimkakati wa Vikosi vya Wanajeshi na watu huru wa Yemen katika mapambano ya kuwasafisha wavamizi katika maeneo ya pwani ya magharibi…
-
Hadithi ya Leo:
DiniKuizungumzia Neema Unayopewa na Mwenyezimungu
Hawzah/ Imam Musa al-Kadhim (as), katika riwaya, ameeleza kuwa kusimulia na kutaja neema za Mwenyezi Mungu ni ishara ya kumshukuru Yeye.