Shirika la Habari la Hawza, - limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim.
Amirul-Muuminina Ali (as) amesema:
«ذَوُو الْعُیُوبِ یُحِبُّونَ إِشَاعَةَ مَعَایِبِ النَّاسِ لِیَتَّسِعَ لَهُمُ الْعُذْرُ فِی مَعَایِبِهِمْ.»
"Wenye kasoro hupenda kueneza kasoro za watu wengine ili wapate kisingizio cha kuficha au kuhalalisha kasoro zao wenyewe."
Chanzo: Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim, Juz. 1, uk. 548.
Maoni yako