shirika la habari la hawza (1147)
-
Ayatullah A‘rafi katika Kongamano la Mirza Naa’ini nchini Iraq:
DuniaMarjaa wakubwa wa Najaf na Qum leo hii, kama ilivyokuwa kwa Naa’ini, ni ngome imara dhidi ya uvamizi wa madhalimu Iraq, Iran na ulimwengu wa Kiislamu
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza Iran, amesema: Mirza Naa’ini alisimama mara nyingi dhidi ya Waingereza, na kila mara uhuru wa Uislamu na heshima ya Umma ulipokuwa hatarini, wanachuoni wakuu wa Najaf,…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi Iran:
DuniaJamhuri ya Kiislamu imeonyesha kuwa ni kitovu cha azma na nguvu / Mbele ya adui wote mshikamane, kama katika vita vya siku 12
Hawza/ Ayatollah Ali Khamenei kuhusiana na masuala ya eneo na vita vya siku 12 amesema: Katika vita vya siku 12, taifa la Iran bila shaka liliwashinda Marekani na utawala wa Kizayuni. Walikuja…
-
DuniaHaram Tukufu ya Alawi yapokea Ujumbe wa Iran Unaoshiriki Kwenye Kongamano la Kimataifa la Allama Mirza Na’ini
Hawza/ Katika muktadha wa ushirikiano wa kitamaduni kati ya Iran na Iraq, Haram Tukufu ya Alawi siku ya Jumatano imeupokea ujumbe wa Iran uliokwenda kwenye Kongamano la Mirza Na’ini, ambalo linafanyik…
-
DuniaRipoti Kuhusiana na Kuanza Rasmi Kongamano la Kimataifa la Kumuenzi Ayatullah Mirza Na’ini Huko Najaf Ashraf
Hawza/ Kongamano la kimataifa la kumuenzi Allama Na’ini limefanyika kwa ushiriki wa wanazuoni na watu mashuhuri kwenye Haram Tukufu ya Alawi, na katika hafla hiyo pia kumezinduliwa mkusanyiko…
-
Katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Kituo cha Tafiti za Kimkakati cha Al-Mindhar ilielezwa:
DuniaMtazamo nyuma ya pazia kuhusiana na mauaji ya “Shahidi Haytham Tibataaba’i”
Hawza/ Dkt. Hasan Al-Abbaadi, Mkurugenzi wa Kituo cha Tafiti za Kimkakati cha Al-Mindhar amesema: Shahidi Tabataaba’i alikuwa na nafasi ya msingi katika kusimamia vita kwa ajili ya kusaidia Muqawama…
-
Mafunzo Katika Sahifa Sajjadia:
DiniDaima Jione Kuwa ni Mwenye Mapungufu
Hawza/ Kuona matendo mema kuwa makubwa na kuyafanya makosa na madhambi yaonekane kuwa ni madogo, kunaweza kuwa kikwazo katika njia ya ucha-Mungu wa mwanadamu; kwa hiyo, usia wa Maa’sumina (amani…
-
DuniaHawza ya Imam Swa'diq Kigogo yatangaza kuanza usajili wa masomo kwa mwaka 2026
Hawza ya Imam Swa'diq (AS), iliyopo eneo la Kigogo Post jijini Dar es Salaam, imetangaza rasmi kuanza kwa utaratibu wa usajili mpya wa wanafunzi kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuwapokea vijana…
-
DuniaJiji la Nairobi Lawa Mwenyeji wa Maonesho Maalumu ya Sanaa kwa Vijana wa Kenya 2025
Hawza/ Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupitia Baraza lake la Utamaduni umetangaza rasmi kufanyika Maonesho ya sanaa mahsusi kwa vijana wa Kenya 2025, yatakayofanyika kuanzia tarehe 1…
-
DuniaMashia Nchini Kenya Waadhimisha Kumbukumbu ya Shahada ya Bibi Fatma Zahra (as)
Hawza/ Kufuatia na kuadhimisha masiku ambayo yanasadifiana na siku aliyopata shada Binti wa Mtume, Bibi Zahraa (as) Mashia nchini Kenya nao pia waliadhimisha tukio hilo la kuhuzunisha.
-
Kutokana na Mnasaba wa Kushiriki Katika Kongamano la Kimataifa la Mirzai Naa’ini (r.a):
HawzaMkuu wa Hawza Iran, Azuru Katika Ataba Tukufu
Hawza/ Mkuu wa Hawza za Kielimu Iran, kutokana na mnasaba wa kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Mirzai Naa’ini (r.a), alisafiri kwenda nchini Iraq.
-
DuniaUamuzi Mpya wa Marekani Kuhusu Baadhi ya Matawi ya Ikhwani Muslimin
Hawza/ Donald Trump, Rais wa Marekani, amesaini amri ambayo kwa mujibu wake baadhi ya mihimili ya Ikhwani Muslimin katika baadhi ya nchi itaongezwa kwenye orodha ya “Magenge ya Kigaidi ya Kigeni”.
-
DuniaRais wa Al-Mustafa Ashiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Wahitimu wa Uwawakilishi wa Indonesia
Hawza/ Mkutano wa Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa cha Indonesia (IKMAL) umefanyika huju Rais wa Chuo Kikuu cha Al-Mustafa akishiriki kwenye kongamano hilo, lililofanyika…
-
DuniaAtaba Tukufu ya Imamu Hussein (a.s) Yajenga Makazi ya Bure kwa Watu Wenye Uhitaji
Hawza/ Atabat Takatifu ya Imamu Hussein (a.s) imetangaza kukamilika kwa mfano wa kipekee wa makazi kwa watu wenye uhitaji kama awamu ya kwanza kwa ngazi ya Iraq, unaojumuisha nyumba 3000 katika…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (57)
DiniTawkī‘āt za Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Miongoni mwa njia zinazobainisha mas-ala na kuondoa shubha ni kutumia mwongozo na kunufaika na tawkī‘āt na maandiko ya mkono ambayo Imam Mahdi (a.s.) alikuwa akiyaandika kwa watu waliokuwa…
-
DiniUtukufu wa ibada ya Bibi Zahraa (a.s) Kulingana na Mtazamo wa Ayatullah A-Udhma Javadi Amoli
Hawza/ Ayatullah Javadi Amoli amebainisha kuwa: Bibi Zahraa (a.s) alipokuwa akisimama kuswali alikuwa akijikita kiasi kikubwa kwenye utukufu wa Mwenyezi Mungu na kupotea kabisa katika jalali…
-
DuniaMaonesho ya Kwanza ya Sanaa ya Kiislamu nchini Korea Kusini Yawashangaza Wahudhuriaji
Hawza/ Jumba la Makumbusho la Taifa la Korea Kusini limeitenga sehemu ya ghorofa ya tatu ya jengo lake kuwa hifadha ya sanaa za Kiislamu, na imepangwa kuwa kuanzia Ijumaa sehemu hii itakuwa wazi…
-
DuniaRais wa Lebanon Alaani Vikali Shambulio la Israel huko Dhahia
Hawza/ Joseph Aoun ametangaza kuwa shambulio la Dhahia kusini mwa Beirut na Israel, na kuingiliana kwa shambulio hili na maadhimisho ya Siku ya Uhuru, ni uthibitisho mwingine kwamba Israel haiutilii…
-
DuniaSheikh Ahmad Qablan, Aikosoa Vikali Serikali ya Lebanon
Hawza/ Mwanazuoni mashuhuri wa Lebanon katika tamko lake amelaani shambulio la jinai lililofanywa na jeshi la Kizayuni huko Dhahia kusini, ambalo lililenga moyo wa uamuzi wa kitaifa wa Lebanon—yaani…
-
DuniaMjumbe Mwandamizi wa Hizbullah: Tutachukua Uamuzi Mwafaka Kuhusiana na Uvamizi wa Israel
Hawza/ Mahmoud Qomati amesisitiza kuwa shambulio la Israel dhidi ya Dhahia kusini mwa Beirut ni ujumbe wa uhasama na ni uvunjaji wa mamlaka ya Lebanon.
-
DuniaIran Yalaani Vikali Mauaji ya Kamanda Mkubwa wa Muqawama
Hawza/ Wizara ya Mambo ya Nje na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa wamelaani vikali uhalifu wa kigaidi uliofanywa na utawala wa Kizayuni katika shambulio dhidi ya maeneo ya makazi huko…
-
DuniaSemina ya Siku Mbili Yenye Lengo la Kuimarisha Sekta ya Elimu na Utafiti Yafanyika Nchini Tanzania, Huku Ikishirikisha Nchi Mbalimbali
Hawza/ Katika jitihada za kuboresha ubora wa elimu na kukuza ushirikiano wa kikanda, Jamiat Al-Mustafa (s) – Tanzania, kupitia tawi lake la Dar es Salaam, imeandaa semina ya siku mbili iliyowakutanish…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Baghdad: Matokeo ya Uchaguzi ni Ujumbe Bayana wa Uelewa wa Umma / Utawala wa Kizayuni Unaongoza Mradi Mpya wa Kuugawa Upya Ukanda
Hawza/ Imamu wa Ijumaa wa Baghdad ameeleza kuwa matokeo ya uchaguzi wa Iraq ni ishara ya uelewa wa wananchi na kushindwa kwa mitazamo tegemezi, na akatahadharisha kuwa utawala wa Kizayuni unalenga…
-
DuniaMoscow Yafanya Hafla ya Kumbukizi ya Shahada ya Bibi Zahraa (a.s) katika Kituo cha Kiislamu
Hawza/ Hafla ya kila wiki inayofanywa katika Kituo cha Kiislamu nchini Moscow imefanyika sambamba na kuadhimisha siku za Fatimiyya.
-
DuniaWaandamanaji Wanaotaka Amani Watawanywa na Polisi Uingereza
Hawza/ Polisi wa Uingereza kwa mara nyingine imewatawanya kwa nguvu waandamanaji wapenzi wa amani na kuwakamata baadhi yao. Waandamanaji hawa walikuwa wakipinga hukumu ya mahakama iliyopiga marufuku…
-
DuniaUswisi Yawa Mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili Nafasi ya Misikiti
Hawza/ Uswisi imekuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa kuchunguza nafasi ya misikiti na mchango wake unaozidi kuongezeka katika maendeleo ya kijamii ya jamii za Ulaya.
-
Hukumu za Kisheria:
DiniJe, kuvaa nguo nyeusi katika siku za Fatimiyya ni makruh?
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu swali kuhusiana na hukumu ya kisheria ya kuvaa nguo nyeusi katika siku za Fatimiyya, (Siku ambazo watu wanaadhimisha kumbukizi ya kuuwawa kishahidi Bibi…
-
DiniJawabu kwa Shubha ya Kihistoria: Je, ni Kweli Nyumba ya Bibi Zahraa (a.s) Ilichomwa Moto?
Hawza/ Katika kipindi kilichoandaliwa huku akihudhuria Hujjatul-Islam Muhammadi Shahroudi, palisisitizwa juu ya kupata maarifa ya Fatimiyyah kama ufunguo wa kufumbua fumbo la historia, na kuchambua…
-
Uchambuzi na Utafiti wa Fatwimiyya Uliofanywa na Ustadh Husseini Qazwini:
HawzaDaraja na Hadhi ya Bibi Fatima Zahra (a.s) Katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Utafiti ya Hujjat Wali al-Asr (a.t.f.s) amesema: Miongoni mwa hadithi nyingi zilizopo katika vitabu visivyo vya Kishia kuhusu daraja ya Bibi Fatima Zahra (a.s), ni hadithi…
-
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Lebanon:
DuniaMauaji ya halaiki ya Aynu al-Hilwah hayataachwa bila jibu na adhabu
Hawza/ “Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu” Lebanon, katika tamko walilolitoa, umelaani vikali mauaji ya halaiki yaliyofanywa na adui Myahudi katika kambi ya Aynu al-Hilwah.
-
DuniaWatoto Wanaolipa Gharama za Vita
Hawza/ Mwaka huu Siku ya Kimataifa ya Mtoto imewadia huku mamilioni ya watoto katika maeneo ya migogoro wakipitia mojawapo ya nyakati ngumu zaidi katika historia ya kisasa.