habari (839)
-
DuniaPicha/ Tuzo ya Amani na Heshima kutoka JMAT yawaangukia Mashia
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania TIC Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge Ameshiriki katika Hafla ya Maulid ya Mtume Muhammad s.a.w.w iliyofanyika Jana Masjid Majmuatul Islamiya Kwa…
-
DuniaRais wa Colombia atenga dhahabu iliyokamatwa ili kuwsaidia watoto waliojeruhiwa Ghaza
Hawza/ Rais wa Colombia, Gustavo Petro, ametoa agizo kwamba dhahabu ya magendi iliyokamatwa ikihusishwa na “Jumuiya ya Mali Maalumu” itumike kutoa misaada ya kitabibu na kusaidia ujenzi upya…
-
Ayatullah A‘rafi katika mkutano wa wasaidizi wa utafiti wa Hawza:
DuniaTabliigh bila mchango wa utafiti haiwezi kufanikiwa/ Tusisahau umuhimu wa mtazamo wa ijtihaadi
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza, Ayatullah Alireza A‘rafi, amesisitiza kuwa kujitolea katika masuala ya utafiti ni sharti muhimu kwa mafanikio ya shughuli za kielimu na za tabligh (ulinganiaji), akibainish…
-
Mafunzo katika Sahifat Sajjadia:
DuniaDua inayowakuribisha vijana na wanafunzi kwenye kumuabudu Mwenyezi Mungu
Hawza/ Mwanadamu katika maisha yake anakutana na njia pamoja na chaguo tofauti, lakini ni ipi kati ya hizo inayoweza kumsaidia zaidi katika safari ya kuwa mja halisi wa Mwenyezi Mungu?
-
Ayatullah Saidii katika Swala ya Ijumaa Qom Iran:
DuniaMakubaliano na Marekani ni sawa na kukubali udhalili, fedheha na kujisalimisha bila masharti – Iran yenye nguvu inatimia kupitia uchumi thabiti
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom amesema: maana ya Marekani inaposema mazungumzo na makubaliano ya amani, si kitu kingine isipokuwa ni udhalili, fedheha na kujisalimisha bila masharti mbele ya…
-
Mjumbe katika Jumuiya ya Wabunge wa Muqawama:
DuniaUvamizi wa Israel dhidi ya Lebanon hautabadilisha kwa vyovyote mlingano wa ustahimilivu
Hawza/ Hasan ‘Izzuddin amesema kuwa: Adui wa Kizayuni katika siku za hivi karibuni amezisha mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, kwa kuwa anaamini kwamba kupitia shinikizo la kisiasa na kiuchumi,…
-
DuniaMkuu wa Majeshi ya Yemen auawa shahidi
Hawza/ Jeshi la Yemen siku ya Alhamisi limetoa tamko rasmi likitangaza kuuawa kishahidi jenerali wa ngazi ya juu Mohammad Abdulkarim al-Ghamari, aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Yemen, na kutoa salamu…
-
Ayatullah A‘rafi katika kikao cha walimu wa Taasisi ya Elimu ya Juu ya Fiqhi amezungumzia:
DuniaMisingi mitano ya maudhui katika ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi wa Iran kwa hawza / Wajibu wa kimataifa wa Hawza na maulama
Hawza/ Ayatullah Alireza A‘rafi amesisitiza kwamba “walengwa wa kwanza wa ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika kumbukumbu ya miaka mia moja ya kuasisiwa upya kwa Hawza ya kielimu ya Qum…
-
Mjumbe wa Hizbullah ya Lebanon:
DuniaUchaguzi ujao ni hatua muhimu ya kuhuisha imani kwa chaguo la muqawama
Hawza/ Hussein al-Nimr, kiongozi wa eneo la Biqā‘ ndani ya Hizbullah, amesema kuwa jamii ya muqawama katika kila uchaguzi imeonesha kuwa ni jamii imara, thabiti na isiyoshindwa, ambayo kamwe…
-
Mkuu wa kitengo cha utamaduni ya Iran mjini Quetta, Pakistan:
DuniaShahidi Sayyid Hassan Nasrallah alikuwa kiongozi mahiri na shule hai ya muqawama
Hawza/ Sayyid Abulhasan Miri, afisa wa kitamaduni na mkuu wa nyumba ya utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Quetta, Pakistan, amemuelezea Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah kama kiongozi…
-
Rais wa Umoja wa Maimamu wa Ahlulbayt (a.s) nchini Uturuki:
DuniaKikao cha Sharm al-Sheikh hakiwezi kubadilisha njia ya muqawama
Hawza/ Rais wa Umoja wa Maimamu wa Ahlulbayt nchini Uturuki (Ehlader), Qadir Akaras, katika mahojiano na televisheni ya Shabake Khabar ya Iran, ametoa tathmini kuhusu kikao cha hivi karibuni…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC) Ahudhuria Warasha Maalumu Mbezi Beach Daresalam
Hawza/ Sheikh Jalala Hemedi leo hii tareh 16 Oktoba, amehudhuria kwenye warsha maalumu ambayo ilikuwa ikielezea asili ya maendeleo na tamaduni za kimagharibi, iliyofanyika katika ukumbi wa Jaamiatul…
-
DuniaKuanza kwa sura mpya ya ushirikiano wa kitamaduni kati ya Iran na India baada kutiwa saini kwa mikataba miwili muhimu mjini Mumbai
Hawza/ Tukiwa tunakaribia maadhimisho ya miaka 70 tangia kuanzishwa kwa Nyumba ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Mumbai, mikataba miwili muhimu ya ushirikiano wa kielimu na kiutamaduni…
-
Rais wa zamani wa Kitivo cha Sheriah katika Chuo Kikuu cha Qatar:
Dunia“Uzayuni wa kisiasa unatumia fikra ya ‘taifa teule’ kwa ajili ya maslahi yake binafsi”
Hawza/ Rais wa zamani wa Kitivo cha Sheriah na Masomo ya Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Qatar, akizungumza katika kikao cha kielimu kilichobeba anuani isemayo “Maisha ya Kiakhlaqi katika Uislamu…
-
Kikao cha sayyid Ammar al-Hakim na balozi wa Iran mjini Baghdad:
DuniaMahojiano kuhusiana na uhusiano wa pande mbili na mabadiliko katika eneo
Hawza/ Sayyid Ammar al-Hakim, kiongozi wa harakati ya Hikmah al-Wataniyah ya Iraq, amekutana na Mohammad Kazem Al-Sadiq, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Baghdad, ambapo pande hizo…
-
DuniaUchaguzi wa Iraq waingia katika “hatua ya umwagaji damu”; mgombea mmoja auawa na athari zake zinazotarajiwa
Hawza/ Iraq imeingia katika awamu mpya na hatari ya kampeni za uchaguzi baada ya kutokea mauaji ya mgombea wa ngazi ya juu, tukio ambalo kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka kumi…
-
Ayatullah Araki akiwa pamoja na wasaidizi wa Tablegh wa Hawza ya Qum Iran
DuniaMkutano wa Sharm al-Sheikh Ulikuwa Uwanja wa Fedheha kwa Baadhi ya Viongozi wa nchi Mbele ya Trump
Hawza/ Ayatullah Mohsen Araki, mwanachama wa Baraza Kuu la Hawza na mjumbe wa Baraza la Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu, amesema kwamba mkutano wa kilele uliofanyika mjini Sharm al-Sheikh…
-
DuniaMwanasiasa Nguli Nchini Kenya Afariki Dunia Akiwa Nchini India
Hawza/ Mwanasiasa mashuhuri wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia leo hii tareh 15 Oktoba 2025 akiwa nchini India ambako alikuwa akipokea matibabu.…
-
DuniaIrani yaicharaza Tanzania Bakora 2 - 0 Bila ya Huruma
Hawza/ Mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya irani na tanzania umechezwa leo katika uwanja wa Rashid Stadium uliopo Mjini Dubai, falme za kiarabu (UAE), ambapo wenyeji Irani…
-
DuniaMaria Corina Machado ni nani?
Hawza/ Maria Corina Machado ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia kutoka Venezuela na moja ya sura kuu za upinzani nchini humo. Hata hivyo, licha ya kuwasilishwa kama “mgombea wa amani”, ana historia…
-
DuniaUchambuzi wa athari za maandamano ya kimataifa kuhusu suala la Ghaza
Hawza/ Sote tumeshuhudia mlipuko wa ghadhabu na chuki dhidi ya Israel kutokana na vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea Ghaza, hasa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Tukio hili limechochea…
-
DuniaMaandamano makubwa yafanyika mjini London kwa ajili ya kuiunga mkono Palestina
Hawza/ Zaidi ya nusu milioni ya waandamanaji waliopinga mauaji ya kimbari yanayoendelea Ghaza waliingia mitaani mjini London, wakitoa wito wa kusitishwa kabisa kwa mapigano na kuanzishwa kwa…
-
DuniaMsikiti wa Preston wafungua milango yake kwa umma wote
Hawza/ Msikiti wa Saleheen uliopo Preston, nchini Uingereza, umefungua milango yake kwa ajili ya ziara ya wazi kwa umma, ili kutoa fursa bora kwa wale wanaopenda kujifunza kuhusu Uislamu na Waislamu.
-
Mwakilishi wa Kata’ib Sayyid al-Shuhada:
DuniaMarekani ina hofu na ushawishi walionao watu wa muqawama nchini Iraq
Hawza/ Mwakilishi wa kitengo cha utamaduni wa Kata’ib Sayyid al-Shuhada ya Iraq mjini Qom Iran, amesema kuwa harakati hiyo imewekwa katika orodha ya vikwazo na Marekani kutokana na umaarufu wake…
-
DuniaBAKWATA yafunga Jalada la Singida/ Kilichobakia sasa ni utendaji tu
Hawza/ Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Singida limehitimisha rasmi mchakato wa uchaguzi wake mkuu, hatua iliyofunga rasmi jalada la uchaguzi katika mkoa huo baada ya kukamilika…
-
Msaidizi wa Kimataifa wa Hawza:
DuniaKile tulichokiona Lebanon ni Hizbullah imara, yenye mshikamano na muundo madhubuti wa kiuongozi
Hawza/ Msaidizi wa kimataifa wa hawza ameeleza shughuli za ujumbe wa kielimu uliotumwa kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki kwenye kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid…
-
HawzaMajukumu 14 ya kimkakati ya Hawza ya wanawake / Tofauti ya nafasi ya mwanamke katika Uislamu na Magharibi
Hawza/ Ayatollah A'rafi alieleza kuwa uongozi maalumu kwa wanawake nchini Iran na duniani ni jukumu mahsusi la Hawza ya wanawake na wanafunzi wa kike wa Hawza, na akasema: jukumu jingine ni katika…
-
Mshauri wa Mkurugenzi wa Hawza Iran, katika Masuala ya Madhehebu ya Kiislamu:
HawzaUislamu ndio dini pekee ya kimataifa yenye uwezo wa kujibu mahitaji ya binadamu katika zama zote
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Zamani, katika hafla ya uzinduzi wa vitabu "Fiqhul-Hukūmah na Fiqhul-Mujtama‘ al-Urūbī", alisema: “Uislamu ndio dini pekee duniani yenye uwezo wa kujibu mahitaji…
-
DuniaMwaliko kwa Waumini Kuhusiana na Itikafu Katika Msikiti Mtukufu wa Kufa Iraq
Hawza/ Ghaith Auwad Muhammad Al-‘Adli, Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Dini katika Msikiti Mtukufu wa Kufa, amewaalika waumini wote kushiriki katika ibada ya itikafu katika kituo hicho cha kiroho,…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki pia ni jambo la lazima. Wenye kunyongeshwa ulimwenguni…