najafu ashraf (14)
-
Imam wa Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaKuuwawa kishahidi Waziri Mkuu na viongozi mashuhuri wa Yemen hakukuathiri mwendelezo wa mapambano ya Yemen
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanji alisema: Kuuwawa kishahidi Waziri Mkuu wa Yemen pamoja na viongozi wengine 21 mashuhuri wa Yemen hakukuathiri mwendelezo wa mapambano…
-
DuniaAyatollah Al-‘Udhma Bashir Najafi akutana na mazuwari wa Kiirani huko Najaf
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Sheikh Bashir Hussein Najafi, mmoja wa Mar'aji‘ wa Najaf Ashraf, aliwapokea mazuwari wa Kiirani waliokuwa wamefika kwa ajili ya ziara ya Atabati Tukufu nchini Iraq
-
DuniaMmoja wa walimu wa Hawza ya Najaf Ashraf afariki dunia
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Muhammad Ali Bahr al-Ulum, mmoja wa walimu wa Hawza ya Najaf Ashraf, ameaga dunia
-
DuniaImamu wa Ijumaa Najafu Ashraf, Akosoa kuhusiana na kuenezwa baadhi ya upotovu wa kidini na kimaadili katika majlisi za Huseini
Hawza / Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi alisema: “Tunaamini kuwa Hashd al-Sha‘bi ni nukta ya nguvu ya Iraq na Hashd al-Sha‘bi ni alama ya heshima na fahari ya Iraq, kuvunjwa…
-
DuniaRaisi wa Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistani, akutana na Ayatullah al-Udhma Hafidh Bashir Hussein Najafi katika mji wa Najafu Ashraf
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Nasser Abbas Jafari, akiwa pamoja na ujumbe wa wajumbe wa baraza hilo katika safari rasmi ya Najaf Ashraf, wamekutana na Ayatullah al-Udhma Hafidh Bashir Hussein…
-
DuniaAyatollah Al-Udhma Sistani azitaka Nchi za Kiarabu na Kiislamu Kukomesha Janga la Ghaza
Hawza/ Katika kilele cha janga la kibinadamu linalozidi kuenea huko Ghaza, ambapo watoto na raia wasio na hatia wanahiliki kutokana na janga la njaa, Ofisi ya Ayatollah Al-Udhma Sayyid Ali Sistani…
-
Ofisi ya Ayatollah Al-Udhma Sistani:
DuniaJumapili ni Siku ya Kwanza ya Mwezi wa Safar 1447
Hawza/ Ofisi ya Ayatollah Al-Udhma Sistani huko Najaf Ashraf imetangaza kwamba Jumapili tarehe 5 Mordad, itakuwa ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Safar mwaka 1447 Hijria Qamaria.
-
DuniaAyatollah Yaqubi atoa wito kwa ajili ya kutoa msaada wa haraka wa chakula na dawa huko Ghaza
Hawza/ Ayatollah Sheikh Muhammad Yaqubi ametoa wito na kuchukuliwa hatua za haraka ili kuwaokoa watu wa Ghaza dhidi ya njaa inayowakabili na kifo, na akazitaka serikali ya Iraq na nchi za Kiislamu…
-
Mkurugenzi wa Ofisi ya Ayatollah al-‘Uzma Hafidh Bashir Najafi:
DuniaKuhuisha alama za Husseini ni jukumu la kidini na njia ya kuelekea kwenye kujikurubisha na Mwenyezi Mungu
Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sheikh Ali Najafi, katika hotuba yake huku akisisitiza upande wa islah (urekebishaji) wa harakati ya Imam Husayn (as), amekitambua kisimamo hicho kuwa ni mfano…
-
DuniaImam wa Ijumaa wa Najaf Ashraf atoa tahadhari Kuhusiana na Njama Iliyoandaliwa Dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Iraq
Hawza/ "Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi, akizungumzia ombi la Marekani la kutaka kuvunjwa kwa kikosi cha Hashdu al-Sha'bi nchini Iraq, alisema: Kwa nini Marekani inasisitiza…
-
HawzaAyatollahil-Udhma Jawadi Amuli: “Elimu, Akili na Malezi” ni nguzo tatu za ukombozi kwa Hawza na Vyuo Vikuu
Hawza/ Ayatollahil-Udhma Jawadi Amuli ametaja nguzo tatu za ukombozi, yaani “Elimu, Akili na Malezi”, kuwa ndio njia ya ustawi wa mtu binafsi na jamii katika hawza na vyuo vikuu katika ulimwengu…
-
DuniaMuqtada Sadr akutana na Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli katika mji mtukufu wa Najaf
Hawza/ Kiongozi wa harakati ya Sadr amemtembelea Ayatollah Abdullah Jawadi Amoli sehemu aliyo fikia huko mjini Najaf al-Ashraf na kufanya naye mazungumzo.
-
Ujumbe wa rambirambi kutoka Ofisi ya Ayatollah Al-Udhma Sistani kufuatia kufariki Kiongozi wa kanisa katoliki duniani:
HawzaPapa alitekeleza jukumu mashuhuri katika kuhudumia amani, kuvumiliana na kuleta mshikamano kwa wanyonge
Kufuatia kifo cha Papa Francis, kiongozi wa kanisa katoliki wa duniani, ofisi ya Hadhrqt Ayatollah Sistani imetoa ujumbe wa rambirambi.
-
Ayatollah Al-Jawahiri:
HawzaGhaza haitashindwa kamwe
Ayatollah al-Jawahiri amesisitiza “nafasi isiyo na mfano ya maulamaa katika kuilinda Umma”, ameuita ushindi wa Gaza kuwa hauepukiki, na aina yoyote ya kujisalimisha mbele ya adui ni khiyana kwa…