-
Ayatollah Saeedi:
DuniaVitisho vya Trump dhidi ya Iran ni dalili ya kukwama kwake kimkakati
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mji wa Qom Iran, amesema: vitisho vya Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, zaidi ya kuashiria nia ya kuchukua hatua, ni ishara ya wazi ya kufungwa…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaKuishambulia Iran litakuwa kosa kubwa zaidi la Marekani/ Taifa la Iran na Pakistan yamesimama bega kwa bega
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika hotuba yake huku akionesha wasiwasi kuhusu maendeleo ya hivi karibuni katika eneo, alisisitiza kuwa hatua yoyote ya kijeshi na…