Mazishi ya Kiongozi wa mapinduzi (87)
-
DuniaMazishi ya Sayyid Ali Khamenei Yalibeba Ujumbe Mkubwa kwa Umma; Maulana Hemed Jalala Aainisha Mafunzo Matano Muhimu Rufiji
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, jana alihudhuria na kusoma Majlisi ya kumbukumbu ya Sayyid Ali Khamenei iliyofanyika katika Husseiniyat…
-
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Alishukuru Taifa la Iraq kwa Heshima Yake Katika Mazishi ya Imam Shahidi
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa kulishukuru taifa la Iraq kwa heshima ya tukio kubwa la mazishi ya Imam Muja'hid Shahidi.
-
Imam Sayyid Mujtaba Khamenei:
DuniaTaifa la Iran Lina Mafunzo Yasiyosahaulika kwa Adui wa Marekani
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Uvunjaji wa makubaliano kwa mara nyingine umethibitisha kutokuwa na thamani na kutokuwa na uhalali wa saini ya Rais wa Marekani."
-
DuniaMkutano Mkubwa wa Wanazuoni wa Lebanon, Wafanyika kwa Kumuenzi Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei
Hawza/ Nchini Lebanon, hafla kubwa na ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ushiriki wa wanazuoni wa dini kutoka madhehebu na makundi mbalimbali imefanyika kwa ajili ya kumuenzi na kutoa rambirambi kufuatia…
-
DuniaHafla ya "Imamu wa Mashahidi" Yafanyika huko Al-Hermel, Lebanon kwa Kumuenzi Imam Khamenei
Hawza / Harakati ya Hizbullah ya Lebanon pamoja na Jumuiya ya Vituo vya Utamaduni vya Imam Khomeini (qs) zimeandaa hafla iliyopewa jina la "Imamu wa Mashahidi" kwa ajili ya kumuenzi Kiongozi…
-
Tamko la Uchambuzi la Ayatullah A'rafi Kuhusu Ujumbe wa Mazishi ya Mamilioni ya Watu ya Imam Shahidi;
DuniaKulipiza kisasi na kudai damu ya Imam Shahidi hakuhusiani na kubadilishana serikali au watu wanaohusika/ Makubaliano yamekwisha; mazungumzo yasiendelezwe/ Taifa la Iran halitatoa hongo kwa adui
Kwa mujibu wa ujumbe wa hivi karibuni wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, madai ya kulipiza kisasi na kudai damu ya Imam Shahidi pamoja na mashahidi wengine wa vita viwili vya karibuni…
-
Ayatullah Sheikh Issa Qassim:
DuniaWairaq Wamewasilisha Mfano wa Kipekee katika Mapokezi na Mazishi ya Imam Khamenei
Hawza/ Ayatullah Sheikh Issa Qassim, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, ametoa shukrani na pongezi kwa wananchi wa Iraq kwa kuandaa mapokezi na mazishi makubwa na yenye kugusa hisia…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaUshiriki Mkubwa wa Wananchi katika Mazishi ya Ayatullah Khamenei Umeonesha Uelewa wa Umma na Kushikamana na Msimamo wa Muqawama
Hawza/ Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, amesema kuwa ushiriki wa mamilioni ya watu katika mazishi ya Ayatullah Sayyid Ali Husseini Khamenei umeonesha kiwango…
-
DuniaMazishi ya Mamilioni ya Watu ya Kiongozi Shahidi Yaonesha Nguvu ya Ushawishi na Kushindwa kwa Mradi wa Maadui wa Kuleta Mgawanyiko
Hawza/ Mkurugenzi wa Kituo cha Masuala ya Kifikra na Kiutamaduni cha Ataba Tukufu ya Imam Hussein (as) mjini Karbala amesema kuwa; mazishi makubwa yaliyohudhuriwa na mamilioni ya watu nchini…
-
Ayatullah Shab Zendehdar:
DuniaWaislamu Wote Walipize Kisasi cha Damu ya Imam Shahidi
Hawza/ Mjumbe wa Mafaqihi wa Baraza la Walinzi wa Katiba amesema: Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema: «Hakika sisi ni wenye kulipa kisasi kwa waovu». Hya ni matakwa ya haki. Inshaallah, Waislamu,…
-
DuniaKongamano la Kumuenzi Imam Shahidi Lafanyika Dar es Salaam; Wanazuoni Wasisitiza Kuendeleza Njia Yake ya Haki na Uadilifu
Hawza/ Taasisi ya Maendeleo ya Kiislamu ya Falah imefanikiwa kuandaa kongamano maalumu la kielimu na kumbukizi kwa ajili ya kumuenzi Imam Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (ra),…
-
Mwandishi wa Tanzania Asimulia Aliyojifunza Iran:
Dunia"Uzalendo wa Wananchi Hujengwa na Uzalendo wa Viongozi"
Hawza/ Mwandishi wa habari mashuhuri nchini Tanzania, Zungu Mgalilaya, ameshiriki uzoefu wake alioupata baada ya kuhudhuria mazishi ya Imam Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (ra),…
-
DuniaMajlisi ya Maombolezo na Kumuenzi Imam Shahidi Yafanyika Mombasa, Kenya
Hawza/ Jumuiya ya Ahlulbayt ya Kenya, kwa ushirikiano na Bilal Muslim Mission ya Kenya, imeandaa Majlisi ya Maombolezo na Kumuenzi Imam Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (ra), iliyofanyi…
-
Wanazuoni wa Bangladesh Wasema:
DuniaImam Shahidi Amedumisha Ujumbe wa Muqawama na Kuwatetea Wanaodhulumiwa Kwa Kuitoa Nafsi Yake Sadaka
Hawza/ Wanazuoni wa Bangladesh wamesema kuwa; Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Husseini Khamenei (ra), kwa kuitoa nafsi yake na familia yake sadaka katika njia ya Mwenyezi Mungu, ameonesha kwamba…
-
Ayatullah Khatami Katika Hafla ya Kumuenzi Imam Shahidi:
DuniaKulipiza Kisasi na Kudai Damu ya Imam Shahidi ni Matakwa Makubwa ya Umma wa Kiislamu
Hawza/ Mjumbe wa Mafaqihi wa Baraza la Kulinda Katiba amesisitiza kuwa; kupandishwa kwa bendera nyekundu na kaulimbiu zilizopazwa na wananchi kumeonesha kwamba damu ya Kiongozi Shahidi haitasahaulika…
-
DuniaJumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qum Yalishukuru Taifa la Iraq Kwa Mazishi ya Kihistoria ya Imam Shahidi
Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qum imetoa shukrani zake za dhati kwa taifa kubwa la Iraq, serikali yake, Hawza, wanazuoni watukufu na Mara'jii Wakuu wa Taqlid wa Iraq, hususan Ayatullah…
-
Ayatullah Jawad Marawi akiwa katika mkutano wa wanazuoni wa Najaf na Qum:
DuniaMazishi ya Kiongozi wa Umma yanauthibitishia ulimwengu kwamba mataifa ya Iraq na Iran ni roho moja katika miili miwili / Uhusiano huu unapaswa kuendelea kuimarika na kuwa imara zaidi siku baada ya siku
Hawza/ Katibu wa Pili wa Baraza Kuu la Hawza nchini Iran, amesema: "Mazishi haya makubwa yanayoshuhudiwa na uwepo wa wanazuoni wakubwa, Mara'jii wakuu wa Taqlid, wasomi wa fikra, viongozi wa…
-
Sheikh Jabri:
DuniaMazishi Makubwa ya Imam Khamenei Yameonesha Nafasi Yake Kubwa kwa Umma
Hawza/ Sheikh Abdullah Jabri amesisitiza kuwa: "Uaminifu kwa mashahidi unapatikana kwa kushikamana na njia ya jihadi na muqawama, kuimarisha umoja wa Umma na kuendelea kujitahidi kwa ajili ya…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaMazishi ya Mwili wa Imam Khamenei nchini Iraq na Iran Yalikuwa Ni Kuhuisha Bai'a na Tangazo la Msimamo wa Kidini na Kisiasa
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanchi amesema: "Kwa kufanyika mazishi ya mwili wa Shahidi Imam Khamenei nchini Iraq na Iran, kambi ya haki ilipata ushindi katika kiwango…
-
Ayatullah al-Udhma Muzahirii:
DuniaKuilinda Amana ya Imam Shahidi Kunapatikana kwa Kumfuata Kiongozi Mwenye Baswira na Ukomavu wa Mapinduzi/ Ashukuru Hamasa ya Wananchi katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi
Hawza/ Ayatullah al-Udhma Muzahirii amesema: "Sasa tumebaki na majonzi ya kuondokewa na Imam wetu mtukufu aliyefariki pamoja na Kiongozi wetu Shahidi mwenye cheo cha juu, na amana hii yenye thamani…
-
Ayatullah Khatami Afafanua:
DuniaJumbe Saba za Kimkakati za Tukio Lisilo na Mfano la Karne/ Kwa Nini Kulipiza Kisasi cha Damu ya Imam Shahidi ni Haki Isiyopingika kwa Umma?
Hawza/ Mjumbe wa Maulama wa Baraza la Kulinda Katiba amesema kuwa; mazishi ya Imam Shahidi ni "tukio lisilo na mfano katika karne" na "udhihirisho wa mshikamano kati ya dini na taifa." Akiwashukuru…
-
DuniaRais wa Tano wa Indonesia: Imam Shahidi Hakuwa Kiongozi wa Iran Pekee, Bali Alama ya Mapambano na Uadilifu
Hawza/ Rais wa tano wa Indonesia amesema: "Kwa mtazamo wangu, shakhsia ya Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei haikuwa tu ya kiongozi wa kisiasa au mwanazuoni wa kidini kutoka taifa la Iran…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika Ujumbe Wake Kutokana na Mnasaba wa Mazishi na Kuzikwa "Bwana Shahidi wa Iran":
DuniaTutalipiza kisasi cha damu takatifu ya mashahidi kutoka kwa wauaji wahalifu na waliopoteza heshima / Shukrani za dhati kwa mahudhurio ya kihistoria ya wananchi wa Iran na Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, katika ujumbe wake, ametoa shukrani za dhati kwa mamilioni ya wananchi wa Iran na Iraq waliohudhuria mazishi ya "Bwana Shahidi wa Iran", na…
-
Ayatullah A'rafi Afafanua Katika Swala ya Ijumaa ya Qum:
DuniaNukta 12 na Mafunzo ya Kistaarabu ya Tukio la Kihistoria la Mazishi ya Imam Shahidi/ Kulipiza Kisasi kwa Damu ya Bwana Shahidi ni Haki ya Kisheria na ya Kikanuni ya Umma
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa wa Qum, akifafanua nukta na mafunzo yaliyotokana na ushiriki wa mamilioni ya watu katika mazishi ya kishujaa ya Imam Shahidi, alisisitiza kuwa: Umati wa mamilioni…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaNukta Tano Muhimu Tunazojifunza Kutokana na Mazishi Makubwa ya Imam Shahidi Khamenei (ra)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesema kuwa; maisha na mazishi ya Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra) yamebeba mafunzo makubwa kwa Waislamu na…
-
DuniaKwa Nini Swala ya Maiti ya Imam Shahidi Haikuongozwa na Ayatullah al-Udhma Nouri Hamadani?
Hawza/ Ofisi ya Ayatullah al-Udhma Nouri Hamedani imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kutokuwepo kwa Marjii huyo wa Taqlid katika hafla ya mazishi na kuuaga mwili mtukufu wa Imam Shahidi.
-
DuniaMwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Wapumzishwa Katika Riwaq ya Dar al-Dhikr ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (as)
Hawza/ Mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi pamoja na miili ya familia yake mashahidi, baada ya kufanyika kwa ibada ya mazishi, maandamano ya kuuaga na kuswaliwa Swala ya Maiti, umepumzishwa…
-
DuniaNairobi Yaungana na Iran Kumuenzi Kiongozi Shahidi; Mamia Wajitokeza Katika Hafla ya Kumbukumbu
Hawza/ Mamia ya waombolezaji nchini Kenya walikusanyika siku ya Jumatano tarehe 8 katika Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jijini Nairobi, kushiriki hafla maalumu ya kumuenzi…
-
VideoEwe Trump! Kuanzia Sasa Utaanza Kuogopa Hadi Kivuli Chako Mwenyewe
Hawza/ Kwa mnasaba wa kaulimbiu ya kudai kisasi iliyopazwa na wananchi katika hafla ya mazishi ya Shahidi wa Iran, filamu mpya ya uhuishaji ya mtindo wa Lego imechapishwa.
-
HawzaAyatullah A'rafi Apongeza Tukio la Kihistoria la Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Imam Shahidi Nchini Iraq
Yaliyotokea nchini Iraq na katika miji ya Najaf na Karbala wakati wa kuusindikiza mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi na Kiongozi wa Umma, Imam Khamenei (ra), yanaonesha kina cha imani, ikhlasi,…