Jumapili 26 Julai 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Walio asisi vita vya kulazimishwa dhidi ya Iran hawataepuka kisasi cha watu huru duniani

    Video ya AI:

    VideoWalio asisi vita vya kulazimishwa dhidi ya Iran hawataepuka kisasi cha watu huru duniani

    Taswira ya mfano inayowakilisha ahadi ya Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei kuwahusu wahusika wa uhalifu uliotekelezwa katika vita viwili vya mwisho vilivyolazimishwa dhidi ya wananchi wa Iran,…

    2026-07-22 23:39
  • Ewe Trump! Kuanzia Sasa Utaanza Kuogopa Hadi Kivuli Chako Mwenyewe

    VideoEwe Trump! Kuanzia Sasa Utaanza Kuogopa Hadi Kivuli Chako Mwenyewe

    Hawza/ Kwa mnasaba wa kaulimbiu ya kudai kisasi iliyopazwa na wananchi katika hafla ya mazishi ya Shahidi wa Iran, filamu mpya ya uhuishaji ya mtindo wa Lego imechapishwa.

    2026-07-10 12:19
  • Video | Taswira ya Kipekee Kutoka Angani ya Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ndani ya Mashhad Tukufu

    VideoVideo | Taswira ya Kipekee Kutoka Angani ya Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ndani ya Mashhad Tukufu

    Taswira ya kipekee iliyorekodiwa kutoka angani inaonesha umati mkubwa wa waombolezaji ulioshiriki katika mazishi ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanyika katika…

    2026-07-10 00:05
  • Video Kamili | Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi Yaongozwa na Mwanawe wa Kwanza

    VideoVideo Kamili | Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi Yaongozwa na Mwanawe wa Kwanza

    Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi imeongozwa na mwanawe wa kwanza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Mustafa Husseini Khamenei, na kufanyika katika Haram Tukufu ya Imam…

    2026-07-09 23:56
  • Video | Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as)

    VideoVideo | Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as)

    Mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, baada kusubiriwa na umati mkubwa wa wananchi wa Mashhad kwa mda mrefu, hatimae umeingia katika njia ya Imam Ridha na kuelekea kwenye…

    2026-07-09 16:10
  • Video | Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Barabarani na Wapokelewa kwa Heshima Kubwa na Umati waWaombolezaji

    VideoVideo | Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Barabarani na Wapokelewa kwa Heshima Kubwa na Umati waWaombolezaji

    Hawza/ Mji mtukufu wa Mashhad umeshuhudia mandhari ya kipekee ya huzuni na uaminifu, baada ya umati mkubwa wa waombolezaji kujitokeza kuupokea mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ulipowasil…

    2026-07-09 15:46
  • Video| wakati mwili mtakatifu wa kiongozi aliyedhulumiwa, Shahid wa Mapinduzi Ulipokuwa Ukitolewa Katika Ndege

    VideoVideo| wakati mwili mtakatifu wa kiongozi aliyedhulumiwa, Shahid wa Mapinduzi Ulipokuwa Ukitolewa Katika Ndege

    Hawza/ Video hii inaonesha moja ya nyakati zenye hisia na huzuni kubwa wakati mwili mtakatifu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, aliyedhulumiwa, ulipokuwa ukitolewa ndani ya ndege baada ya kuwasili…

    2026-07-09 15:07
  • Video | Sheikh Ibrahim Zakzaky Awasili Mashhad Kushiriki Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Iran

    VideoVideo | Sheikh Ibrahim Zakzaky Awasili Mashhad Kushiriki Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Iran

    Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amewasili muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashhad, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa…

    2026-07-09 15:04
  • Video | Ndege za kivita za jeshi zikiambatana na ndege iliyobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    VideoVideo | Ndege za kivita za jeshi zikiambatana na ndege iliyobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Hawza/ Video inayoonesha ndege za kivita za jeshi la Iran, zikiambatana na ndege inayobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu na mashahidi wa familia yake, muda mfupi kabla…

    2026-07-09 14:37
  • Video | Mazishi ya kishujaa na ya heshima ya mwili wa kiongozi shahidi wa umma ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as)

    VideoVideo | Mazishi ya kishujaa na ya heshima ya mwili wa kiongozi shahidi wa umma ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as)

    Dakika za kishujaa na za heshima wakati wa mazishi ya kiongozi shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamia ndani ya haram takatifu na yenye nuru ya Imam Hussein (as). 18/04/1405 H.S sawa na July 9 2026.

    2026-07-09 07:56
  • Video | Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki  ukiingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) ukiwa umebebwa na waombolezaji

    VideoVideo | Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki  ukiingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) ukiwa umebebwa na waombolezaji

    Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki uliingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) huku ukiwa umebebwa na waombolezaji.

    2026-07-09 07:45
  • Video | Muonekano wa umati mkubwa wa watu katika mazishi ya kiongozi wa umma huko Karbala

    VideoVideo | Muonekano wa umati mkubwa wa watu katika mazishi ya kiongozi wa umma huko Karbala

    Umati mkubwa wa waombolezaji huko Karbala ulikuwa ukisubiri kwa masaa mengi katika hali ya joto ili kushuhudia kuwasili kwa jeneza la kiongozi shahidi katika eneo la Bayna al-Haramayn,Karbalaa.

    2026-07-09 07:36
  • Video| Wakati jeneza la kiongozi shahidi linaingizwa ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as) likiwa limebebwa na waombolezaji

    VideoVideo| Wakati jeneza la kiongozi shahidi linaingizwa ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as) likiwa limebebwa na waombolezaji

    Baada ya masaa mengi ya matembezi ya usindikizaji katika mji mtukufu wa Karbala, mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki ulizungushwa ndani ya haram ya Imam Hussein (as) huku…

    2026-07-09 07:27
  • Video | Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi

    VideoVideo | Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi

    Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi katika mitaa ya Karbala.

    2026-07-09 07:11
  • Video|  Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika mazishi ya kiongozi shahidi wa mapinduzi ndani ya haram takatifu ya Imam Ali (as)

    VideoVideo|  Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika mazishi ya kiongozi shahidi wa mapinduzi ndani ya haram takatifu ya Imam Ali (as)

    Mazishi makubwa na ya heshima ya kiongozi shahidi wa umma yamefanyika kwa kuhudhuriwa na wanazuoni pamoja na wananchi wa Iraq ndani ya haram ya Amir al-Mu'minin Ali (as).

    2026-07-09 07:04
  • Video Kamili ya Swala ya Maiti Juu ya Mwili Mtukufu wa Imam Mujahid Shahidi Iliyoongozwa na Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi al-Hakim katika Haram Tukufu ya Amirul-Muuminin (as)

    VideoVideo Kamili ya Swala ya Maiti Juu ya Mwili Mtukufu wa Imam Mujahid Shahidi Iliyoongozwa na Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi al-Hakim katika Haram Tukufu ya Amirul-Muuminin (as)

    Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Imam Mujahid Shahidi, Mtukufu Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei, imeongozwa na Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi al-Hakim katika Haram Tukufu ya Amirul-Muumini…

    2026-07-09 06:36
  • Wimbo wa Kiafrika (Uhuru-Mshale) unaowasemesha Simba wa Ardhi ya Uajemi (Iran)

    VideoWimbo wa Kiafrika (Uhuru-Mshale) unaowasemesha Simba wa Ardhi ya Uajemi (Iran)

    Hawza/ Sisi katika msitu tumeona simba wengi, lakini kwa sura ya mwanadamu, tumewaona ninyi. Nyinyi kwa dhamira mmeujenga ulimwengu mpya, Maombi ya watoto wa Mandella yapo nyuma yenu, Sauti ya…

    2026-04-28 14:30

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom