Katika mkusanyiko huo, waandamanaji walionesha upinzani wao dhidi ya sera na hatua za pande hizo mbili kwa kuzikanyaga na kuzichoma moto bendera za Marekani na utawala wa Kizayuni.
Hawza/ Katika mwendelezo wa maandamano dhidi ya sera za Marekani na utawala wa Kizayuni katika maeneo mbalimbali duniani, mji wa Lyon nchini Ufaransa pia umeshuhudia kufanyika mkusanyiko wa maandamano ya kupinga sera hizo.
Maoni yako