Wanamichezo wanawake wa Kiislamu nchini Ufaransa wamejitokeza kupinga muswada mpya wa sheria unaolenga kupiga marufuku uvaaji wa Hijabu katika mashindano ya michezo ya kitaifa, wakisema hatua…