Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Maelfu ya waumini na wapenzi wa kiongozi huyo walijazana katika maeneo mbalimbali ya jiji la Mashhad, wakionesha hisia zao za majonzi na kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi ambaye alijitolea maisha yake katika kuutumikia Uislamu, Umma na Mapinduzi ya Kiislamu.

Video hii inaonesha wakati wa mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ulipoanza kuwasili katikati ya umati mkubwa wa waombolezaji, katika tukio lililogubikwa na huzuni, dua na mshikamano mkubwa wa wananchi wa Iran.

Maoni yako