Mash-had Irani (10)
-
Ayatollah Shab Zendehdar:
DuniaKiongozi Shahidi wa Mapinduzi aliiona Fiqhi kuwa msingi wa uendeshaji katika sekta zote za kijamii
Hawzah/ Mjumbe wa Baraza la Walinzi, huku akifafanua mfumo wa kifiqhi wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, amesema: Ayatullah Imam Khamenei aliiona fiqhi kuwa msingi wa uendeshaji kwenye nyanja…
-
DuniaMwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Wapumzishwa Katika Riwaq ya Dar al-Dhikr ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (as)
Hawza/ Mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi pamoja na miili ya familia yake mashahidi, baada ya kufanyika kwa ibada ya mazishi, maandamano ya kuuaga na kuswaliwa Swala ya Maiti, umepumzishwa…
-
VideoVideo | Taswira ya Kipekee Kutoka Angani ya Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ndani ya Mashhad Tukufu
Taswira ya kipekee iliyorekodiwa kutoka angani inaonesha umati mkubwa wa waombolezaji ulioshiriki katika mazishi ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanyika katika…
-
VideoVideo Kamili | Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi Yaongozwa na Mwanawe wa Kwanza
Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi imeongozwa na mwanawe wa kwanza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Mustafa Husseini Khamenei, na kufanyika katika Haram Tukufu ya Imam…
-
VideoVideo | Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as)
Mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, baada kusubiriwa na umati mkubwa wa wananchi wa Mashhad kwa mda mrefu, hatimae umeingia katika njia ya Imam Ridha na kuelekea kwenye…
-
VideoVideo | Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Barabarani na Wapokelewa kwa Heshima Kubwa na Umati waWaombolezaji
Hawza/ Mji mtukufu wa Mashhad umeshuhudia mandhari ya kipekee ya huzuni na uaminifu, baada ya umati mkubwa wa waombolezaji kujitokeza kuupokea mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ulipowasil…
-
VideoVideo| wakati mwili mtakatifu wa kiongozi aliyedhulumiwa, Shahid wa Mapinduzi Ulipokuwa Ukitolewa Katika Ndege
Hawza/ Video hii inaonesha moja ya nyakati zenye hisia na huzuni kubwa wakati mwili mtakatifu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, aliyedhulumiwa, ulipokuwa ukitolewa ndani ya ndege baada ya kuwasili…
-
VideoVideo | Sheikh Ibrahim Zakzaky Awasili Mashhad Kushiriki Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Iran
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amewasili muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashhad, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa…
-
VideoVideo | Ndege za kivita za jeshi zikiambatana na ndege iliyobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Video inayoonesha ndege za kivita za jeshi la Iran, zikiambatana na ndege inayobeba mwili mtakatifu wa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu na mashahidi wa familia yake, muda mfupi kabla…
-
Ayatullah A‘arafi katika Kongamano la Kumbukizi ya Ayatullah Al-‘Udhmaa Milani:
HawzaAyatullah Milani alikuwa miongoni mwa watu wanaoiunga harakati ya Imam Khomeini (ra)
Hawza/ Ayatullah A‘arafi, huku akirejea busara ya kisiasa na ya kimapinduzi ya marji' huyu mkubwa, alisisitiza: Ayatullah Milani alikuwa miongoni mwa maraji' wa kwanza kuiunga mkono harakati…