Alhamisi 9 Julai 2026 - 16:10
Video | Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as)

Mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, baada kusubiriwa na umati mkubwa wa wananchi wa Mashhad kwa mda mrefu, hatimae umeingia katika njia ya Imam Ridha na kuelekea kwenye Haram Tukufu ya Imam Ridha (as) kwa ajili ya Mazishi.

Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as):

Taswira Inayoonesha Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Ukiingia Katika Barabara ya Imam Ridha (as):

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha