-
DuniaKatibu Mkuu wa Kamati ya Haki Binafsi za Mashia wa India alaani vikali propaganda za vyombo vya habari vya Kizayuni dhidi ya Iran na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Yasub Abbas, katika tamko lake, huku kulaani vikali uvumi na kauli za matusi za baadhi ya vyombo vya habari vya kielektroniki na vya kuchapishwa dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya…
-
Spika wa Bunge la Umoja wa Waislamu wa Pakistan:
DuniaMatusi ya chombo cha habari cha Kizayuni dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni shambulio dhidi ya muqawama na mwamko wa Kiislamu
Hawza/ Seneta Raja Nasir Abbas Jaafari, Spika wa Bunge la Umoja wa Waislamu wa Pakistan, katika ujumbe wake huku akilaani habari za uongo za mwandishi mmoja wa Kizayuni, alisisitiza kuwa; baadhi…
-
DuniaKiongozi mwandamizi wa Harakati ya Amal: Jeshi, taifa na muqawama bado ni nguzo muhimu na ya lazima
Hawza/ Khalil Hamdan alisisitiza kuwa eneo hili lipo juu ya moto; mahali ambapo misiba na changamoto zinaonekana kila upande—kuanzia Sudan hadi Yemen kuna migogoro ya ndani, na kuanzia Ghaza…
-
DuniaNajaf na Karbala zaandaa kongamano la urithi wa “Sayyid Mujahid”/ uzinduzi wa ensaiklopidia mbili
Hawza/ Kongamano la kimataifa la kielimu lenye anuani “Sayyid Mujahid na urithi wake wa kielimu” linafanyika kwa mwenyeji wa miji ya Najaf na Karbala, sambamba na uzinduzi wa ensaiklopidia mbili.