kiswahili (13)
-
Tafsiri ya Kituruki ya “Joto lisiloisha” Yachapishwa Nchini Uturuki:
DuniaSimulizi ya Mama Muirani Alie Sababisha Sauti ya Kujitolea Isikike Ulimwenguni
Hawza/ Fasihi ya kujitolea ya Iran imepiga hatua mpya kuwaelekea hadhira wa kimataifa baada ya kuchapishwa kwa tarjama ya Kituruki cha Istanbul.
-
Video:
VideoShambulizi la Iran dhidi ya Kituo cha Kijeshi cha Marekani huko Qatar
Iran imeishambulia kituo cha kijeshi cha Marekani kilichopo nchini Qatar kama jibu kutokana na uvamizi uliofanywa na Marekani dhidi ya mitambo ya kuzalisha nyuklia ya Iran.
-
Mufti wa Libya:
DuniaVita vya Iran na Israel ni mapambano baina ya Uislamu na Ukafiri
Mufti wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani amesema kuwa vita vinavyooendelea kati ya Iran na Israel ni vita baina ya Uislamu na ukafiri.
-
Video:
VideoKwa kifupi; kilichotokea mapema leo asubuhi katika eneo linalokaliwa, Israel
Kwa kifupi: Kilichotekea leo kupitia vikosi vya jeshi la Irani katika ardhi iliyokaliwa kimamabavu na Israeli. Mashambulizi haya yalikuwa kwa kiwango cha juu kuliko mashambulizi ya awali.
-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 25
DiniKurejeshwa kwa Wafu (raj'a) kwa mujibu wa Qur’ani na Riwaya
Hawza/ Kwa mujibu wa aya za Qur'ani na riwaya za Ahlulbayt as, kundi la watu waliokufa watarudi duniani katika zama za kudhihiri Imam Mahdi (as).
-
Hukumu za Kisheria:
DiniSwala na Funga kwa wanafunzi wa hawza na vyuo vikuu katika miji ya masomo
Hawza/ Ayatollah Khamenei amejibu swali la kifiqhi kuhusu “swala na funga kwa wanafunzi wa hawza na vyuo vikuu katika miji wanayosomea.”
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivi katika maingiliano na watu
Ingilianeni na watu kwa namna ambayo mkifa wakulilieni, na mkiwa hai (na ikawa hawajakuoneni kwa muda) wawe na shauku ya kukuoneni.
-
DuniaHawza ya Imaam Swadiq (as) yapokea ugeni kutoka katika maktaba ya Sayyed Hakim (ra) Najaf Ashraf nchini Iraqi
Hawza/ Madrasa na hawza ya Imaam Swadiq (as) leo hii imepokea ugeni mzito kutoka katika Maktaba ya Sayyid Hakim (ra), na ugeni huo umekaribishwa vizuri katika hawza hiyo.
-
Hadithi ya leo:
DiniAmejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa
Amejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa, na atakuwa ameridhika na udhalili mwenye kufichua matatizo yake, na ambaye anauacha ulimi wake kuitawala roho yake ameishusha hadhi nafsi yake.
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivyo katika fitina
Katika fitina kuwa kama mwana wa ngamia; Hana mgongo wa kupandwa wala chuku ili akamuliwe maziwa.
-
Maadili ya kiislamu:
DiniElimu isiyo ambatana na ufikiriaji, haina faida
Kuujaza ubongo wa mtu kanuni za kisayansi, mantiki na falsafa, au elimu yoyote kutakuwa na athari ndogo sana hadi hapo kutakapokuwa na misingi ya fikra sahihi, mtazamo wazi ulimwenguni na kuitambua…
-
Hadithi ya leo:
DiniSema haki, kwani kuokoka kwako kuko katika hilo
Mche (muogope) Mwenyezi Mungu na sema haki hata kama utaangamia, kwani (kwa hakika) kuokoka kwako kuko katika hilo. Mche Mwenyezi Mungu na acha batili hata kama kuokoka kwako kuko katika hilo,…
-
Video:
VideoMwanamke mwenye Miaka 70 Nchini Ujerumani akamatwa kwa kosa la kuwaunga mkono wapalestina
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 70 alikamatwa kwa nguvu na polisi wakati wa maandamano ya kuwaunga mkono wapalestina huko Berlin, tukio hilo lilitokea baada ya kunyanyua juu ya kichwa chake…