Shirika la Habari la Hawza - Imamu al-Kadhim (a.s) amesema:
«اِتَّقِ اَللَّهَ وَ قُلِ اَلْحَقَّ وَ إِنْ كَانَ فِيهِ هَلاَكُكَ، فَإِنَّ فِيهِ نَجَاتَكَ. اِتَّقِ اَللَّهَ وَ دَعِ اَلْبَاطِلَ وَ إِنْ كَانَ فِيهِ نَجَاتُكَ، فَإِنَّ فِيهِ هَلاَكَكَ.»
Mche (muogope) Mwenyezi Mungu na sema haki hata kama utaangamia, kwani (kwa hakika) kuokoka kwako kuko katika hilo. Mche Mwenyezi Mungu na acha batili hata kama kuokoka kwako kuko katika hilo, kwani (kwa hakika) kuangamia kwako kuko katika hilo.
Tuhaf al-Oghul, Jz 1, uk 408
Maoni yako