hadithi (5)
-
Hadithi ya leo:
DiniAmejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa
Amejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa, na atakuwa ameridhika na udhalili mwenye kufichua matatizo yake, na ambaye anauacha ulimi wake kuitawala roho yake ameishusha hadhi nafsi yake.
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivyo katika fitina
Katika fitina kuwa kama mwana wa ngamia; Hana mgongo wa kupandwa wala chuku ili akamuliwe maziwa.
-
Hadithi ya leo:
DiniSema haki, kwani kuokoka kwako kuko katika hilo
Mche (muogope) Mwenyezi Mungu na sema haki hata kama utaangamia, kwani (kwa hakika) kuokoka kwako kuko katika hilo. Mche Mwenyezi Mungu na acha batili hata kama kuokoka kwako kuko katika hilo,…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsicheleweshe kulipa ujira wa kibarua
Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.
-
Hadithi ya leo:
DiniLipe uzito suala la haki za watu
Mwenye kula mali ya nduguye kwa dhulma na asimrudishie mwenyewe, basi chakula chake Siku ya Kiyama ni miali ya moto.