Ijumaa 16 Mei 2025 - 12:01
Amejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa

Amejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa, na atakuwa ameridhika na udhalili mwenye kufichua matatizo yake, na ambaye anauacha ulimi wake kuitawala roho yake ameishusha hadhi nafsi yake.

 Shirika la Habari la Hawza - Imamu Ali, amani iwe juu yake, amesema:

«أَزْرَى بِنَفْسِهِ مَنِ اسْتَشْعَرَ الطَّمَعَ، وَ رَضِيَ بِالذُّلِّ مَنْ كَشَفَ عَنْ ضُرِّهِ، وَ هَانَتْ عَلَيْهِ نَفْسُهُ مَنْ أَمَّرَ عَلَيْهَا لِسَانَه.»

Amejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa, na atakuwa ameridhika na udhalili mwenye kufichua matatizo yake, na ambaye anauacha ulimi wake kuitawala roho yake ameishusha hadhi nafsi yake.

Nahj al-Balagha, Hekima no. 2

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha