Jumapili 30 Machi 2025 - 05:37
Usicheleweshe kulipa ujira wa kibarua

Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.

Shirika la Habari la Hawza - Mtume (s.a.w.w) amesema:

«أَعطِ الأَجیرَ اَجرَهُ قَبلَ أَن یَجِفَّ عَرقُهُ.»

Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.

Sahifat al-Ridha (a.s), Jz 1, uk 88

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha