Jumanne 6 Mei 2025 - 00:20
Mwanamke mwenye Miaka 70 Nchini Ujerumani akamatwa kwa kosa la kuwaunga mkono wapalestina

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 70 alikamatwa kwa nguvu na polisi wakati wa maandamano ya kuwaunga mkono wapalestina huko Berlin, tukio hilo lilitokea baada ya kunyanyua juu ya kichwa chake alama iliyokuwa inaashiria Palestina.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha