Jumatano 9 Aprili 2025 - 14:52
Wosia wa Ayatollah al-Udhma Bahjat kwa ajili ya kuutakasha moyo dhidi ya Riaa

Je, unateseka kutokana na ria na majivuno? Kuna dhikri rahisi lakini yenye nguvu inayoweza kukuokoa dhidi ya sifa hizi mbaya.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, "Hawqala" au dhikri tukufu “Laa hawla wa laa quwwata illa billaah” ni miongoni mwa adhkari zilizosisitizwa na kuhimizwa sana na Ayatollah Bahjat Allah alitukuze daraja lake.

Yeye alikuwa akisisitiza umuhimu wa kudumu katika kuikariri dhikri hii kwa ajili ya kutibu majivuno na riaa.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha