Hawza/ Katika kitabu "Bahjat al-Du‘a", pameelezwa ushauri wenye athari kubwa kutoka kwa Ayatollah Bahjat kuhusiana na kupokelewa dua.
Je, unateseka kutokana na ria na majivuno? Kuna dhikri rahisi lakini yenye nguvu inayoweza kukuokoa dhidi ya sifa hizi mbaya.