Kwa mujibu wa ripoti ya Idara ya tarjama kutoka katika Shirika la Habari la Hawza, katika hafla hiyo adhimu, pamoja na kutoa heshima kwa Hujjatul-Islam Mahdi Mahdavipour, mwakilishi mpya, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Dkt. Abdulmajid Hakim Elahi, alipokelewa kwa mapokezi yaliyo jawa na shauku.

Katika hafla ya iliyo fana ilifanyika katika kituo cha utamaduni cha Jamhuri ya kiislamu ya Iran jijini New Delhi, mchango wa miaka kumi na mitano wa huduma za dhati na zenye mafanikio ulio tolewa na Hujjatul-Islam wal-Muslimin Haj Mahdi Mahdavipour, aliyekuwa mwakilishi wa Kiongozi Mkuu wa Iran nchini India hapo awali, ulitambuliwa na kuheshimiwa.
Maoni yako