India (6)
-
Mratibu wa Bunge la Kitaifa la Dini za Kihindi:
Dunia“Khamenei” ni jina lililowakusanya pamoja wanaoitafuta haki kutoka kila pembe ya dunia
Hawza/ Mratibu wa Bunge la Kitaifa la Dini nchini India amesema: “Mapenzi yetu kwa Shahidi Ayatullah al-Udhma Khamenei (ra) yanavuka mipaka ya siasa; yanafafanuliwa kwa kuenzi ubinadamu. Alikuwa…
-
Mhadhiri na Mwanaharakati wa Dini ya Kihindu:
DuniaDunia ya leo inawahitaji zaidi kuliko wakati mwingine wowote viongozi kama Ayatullah Khamenei (ra)
Hawza/ Mhadhiri na mwanaharakati wa kidini wa kutoka Bara Hindi amesema: “Dunia ya leo inahitajia zaidi kuliko wakati mwingine wowote viongozi kama Ayatullah Khamenei (ra), ambao kwa maisha yao…
-
DuniaKumbukizi ya Mashahidi wa Shule ya Shajarat Tayyiba Minab Yahuishwa Katika Maonyesho ya Kielimu ya Mumbai
Hawza/ Maonesho ya “Mega Education Fair” ya Taasisi ya Anfal yaliandaliwa kwa ushiriki mpana wa wanafunzi wa vyuo, wazazi, walimu na watu wa tamaduni katika ukumbi wa Qaisar Bagh Dongri mjini…
-
Katibu Mkuu wa Baraza la Wanazuoni wa India Asema:
DuniaNafasi ya Siri ya Israel Katika kuvishambuli vitu vitakatifu vya Mashia Nchini India
Hawza/ Syed Kalbe Jawad Naqvi, Katibu Mkuu wa Majlis Ulama-e-Hind, katika hotuba yake huku alizungumzia tukio la kuvunjiwa heshima Husseiniya moja wakati wa operesheni ya vikosi vya polisi mjini…
-
DuniaMaelfu ya watu mjini Kargil, India, waandamana kwa jili ya kupinga ugaidi na vurugu
Hawza/ Maelfu ya watu wa Kargil, India, walishiriki katika maandamano makubwa na ya amani huku wakilaani shambulio la kigaidi dhidi ya Msikiti wa “Khadija al-Kubra (ra)” wa Mashia mjini Islamabad,…
-
DuniaIndia yawa mwenyeji wa mkutano wa “Njia za kuuwezesha na kuuendeleza Umma wa Kiislamu katika hali ya sasa”
Hawza/ Mkutano wa kielimu wenye anuani isemayo “Njia za kuuwezesha na kuuendeleza Umma wa Kiislamu katika hali ya sasa” ulifanyika mjini Mumbai, India, kwa ushiriki wa wanazuoni wa dini, viongozi…