Alhamisi 12 Februari 2026 - 21:30
Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki kwa mnasaba wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

Hawza/ Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki, kutokana na mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imetoa ujumbe wa pongezi.

Kwa mujibu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Habari la Hawza, Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki ilichapisha ujumbe wa pongezi kutokana na mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Katika taarifa iliyoandikwa ya wizara hiyo imeelezwa kuwa: “Tunatoa pongezi zetu kwa moyo wa dhati Siku ya Kitaifa ya jirani yetu, Iran.”

Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki kwa mnasaba wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha