Hawza/ Farid Is-haq amesema: Tajriba ya Afrika Kusini inaonesha kuwa hotuba ya Mapinduzi ya Kiislamu, kwa kurejea upya na kufasiri upya dhana za Qur’ani Tukufu, zilichukua nafasi muhimu katika…
Hujjatul Islam wal Muslimin Zamani, ameelezea ushindi wa mapinduzi ya kiislamu kama hatua muhimu katika historia ya uislamu na kusema kuwa: Mapinduzi hayo yametimiza ndoto ya serikali ya kidini…