Alhamisi 12 Februari 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Jamhuri ya Kiislamu haitaafikiana juu ya haki yake ya kupata na kutumia teknolojia ya nyuklia ya amani

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon:

    DuniaJamhuri ya Kiislamu haitaafikiana juu ya haki yake ya kupata na kutumia teknolojia ya nyuklia ya amani

    Hawza/ Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon alisema: katika njia ya maendeleo, Jamhuri ya Kiislamu kamwe haitapuuzia haki yake halali na isiyoweza kujadiliwa ya kupata na kutumia…

    2026-02-12 16:30
  • Iran inatekeleza nafasi ya unabii katika kukabiliana na Firauni wa zama hizi, yaani Uzayuni-Marekani

    Mkondo wa Kiislamu wa Muqawama nchini Lebanon:

    DuniaIran inatekeleza nafasi ya unabii katika kukabiliana na Firauni wa zama hizi, yaani Uzayuni-Marekani

    Hawza/ Mkondo wa Kiislamu wa Muqawama nchini Lebanon ulitoa pongezi kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika maadhimisho ya miaka arobaini na saba ya ushindi wake, huku ukipongeza uongozi wake…

    2026-02-12 15:30
  • Wanazuoni wa Kiislamu na wasomi ulimwenguni watoa wito wa kuitikia kauli ya Kiongozi wa Waislamu duniani

    DuniaWanazuoni wa Kiislamu na wasomi ulimwenguni watoa wito wa kuitikia kauli ya Kiongozi wa Waislamu duniani

    Hawza/ Baadhi ya shakhsia mashuhuri za kielimu na kifikra katika ulimwengu wa Kiislamu, wakijibu kauli ya Kiongozi wa Mapinduzi, kwa kutuma ujumbe wa pamoja wa video, wameitaja tarehe 22 Bahman…

    2026-02-12 14:46
  • Ripoti kuhusiana na hamasa isiyo na mfano iliyo oneshwa na taifa la Iran; 22 Bahman 1404; siku iliyozinduliwa ngome kubwa zaidi katika Taifa la Iran

    DuniaRipoti kuhusiana na hamasa isiyo na mfano iliyo oneshwa na taifa la Iran; 22 Bahman 1404; siku iliyozinduliwa ngome kubwa zaidi katika Taifa la Iran

    Hawza/ Wananchi wa Qum wakiwa sambamba na watu wa maeneo yote ya Iran walithibitisha kwamba ngome muhimu zaidi ya nchi ya Iran na silaha yenye athari kubwa zaidi ya ulinzi ni uwepo huu mpana…

    2026-02-12 08:20
  • Sherehe ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu imefanyika katika makazi ya ubalozi wa Vatican

    DuniaSherehe ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu imefanyika katika makazi ya ubalozi wa Vatican

    Hawza/ Sherehe ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu imefanyika katika makazi ya ubalozi wa Vatican, huku baadhi ya maafisa wa Vatican na mabalozi kadhaa pamoja na wakuu wa uwakilishi wa nchi mbalimbali…

    2026-02-12 06:00
  • Umoja wa Ulaya walaani mpango wa kuongeza nguvu ya Israel katika Ukingo wa Magharibi

    DuniaUmoja wa Ulaya walaani mpango wa kuongeza nguvu ya Israel katika Ukingo wa Magharibi

    Hawza/ Umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ulitangaza kulaani uamuzi wa hivi karibuni wa utawala wa Israel wa kuimarisha udhibiti katika Ukingo wa Magharibi.

    2026-02-12 01:30
  • Sherehe ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yafanyika nchini Armenia

    DuniaSherehe ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yafanyika nchini Armenia

    Hawza/ Sherehe ya Mapinduzi kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu imefanyika katika mji wa Kapan nchini Armenia kwa ushiriki wa Wairani na Waarmenia wenye…

    2026-02-12 01:00
  • Wananchi wa Australia wameghadhibika kutokana na ziara ya maafisa wa Israel nchini mwao

    DuniaWananchi wa Australia wameghadhibika kutokana na ziara ya maafisa wa Israel nchini mwao

    Hawza/ Maelfu ya wananchi wa Australia katika maandamano makubwa walilaani vikali ziara ya Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni, nchini mwao. Herzog anatuhumiwa kwa kuchochea na kuihamasisha…

    2026-02-12 00:30

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom