kiongozi Mkuu wa mapinduzi (5)
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika kikao na waandaaji wa Hija na kundi la mahujaji wa nyumba tukufu ya Mwenyezi Mungu:
DuniaHakuna manufaa yoyote kwa Umma wa Kiislamu yaliyo juu zaidi kuliko umoja
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika kikao na waandaaji wa Hija pampja na kundi la mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, alisema kuwa lengo la Mola kwenye ibada ya Hija ni kuwasilisha…
-
DuniaWazayuni wanapaswa kusubiri adhabu ya Mwenyezi Mungu
Chapisho jipya katika akaunti ya Kiongozi wa Mapinduzi kwenye mtandao wa X.
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika kikao na viongozi waandamizi wa mihimili mitatu ya dola:
DuniaTusiyafunge masuala ya nchi kwenye mazungumzo/ Tuna mashaka makubwa mno na upande wa pili lakini tuna matumaini makubwa na uwezo wetu.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Mawaziri, wabunge wa Bunge la Kiislamu, viongozi waandamizi wa taasisi ya mahakama, na maafisa wa baadhi ya taasisi, leo mchana walikutana na Kiongozi wa Mapinduzi…
-
Hukumu za kisheria:
DiniKugusa maandishi ya Qur'ani mtoto mdogo
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu swali la kifiqhi kuhusu "mtoto mdogo kugusa Qur'ani.
-
DuniaHafla ya kumtambulisha mwakilishi mpya wa kiongozi Mkuu wa mapinduzi Iran nchini India, imefanyika
Katika hafla ya iliyo fana ilifanyika katika kituo cha utamaduni cha Jamhuri ya kiislamu ya Iran jijini New Delhi, mchango wa miaka kumi na mitano wa huduma za dhati na zenye mafanikio ulio tolewa…