Jumanne 1 Aprili 2025 - 11:54
Kuwa hivi katika maingiliano na watu

Ingilianeni na watu kwa namna ambayo mkifa wakulilieni, na mkiwa hai (na ikawa hawajakuoneni kwa muda) wawe na shauku ya kukuoneni.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Ali (a.s) amesema:

«خالِطوا النّاسَ مُخالَطَةً إن مِتُّم مَعَها بَكَوا عَلَيكُم، و إن عِشتُم (غِبتُم) حَنُّوا إلَيكُم.»

Ingilianeni na watu kwa namna ambayo mkifa wakulilieni, na mkiwa hai (na ikawa hawajakuoneni kwa muda) wawe na shauku ya kukuoneni.

Nahaj al-Balagha, hekima ya 10

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha