Taasisi ya Sayyid al-Shuhadaa (a.s) Jijini Arusha, Tanzania, imezindua Kituo muhimu cha Qur'an Tukufu.
Shirika La Habari La Hawza - Kwa mujibu wa ABNA, taasisi ya Sayyid al-Shuhadaa (a.s) Jijini Arusha, Tanzania, jana tarehe 16 Machi, 2025, imezindua Kituo muhimu cha Qur'an Tukufu katika maeneo ya Ngarinaro.
Maoni yako